Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATETA NA WAZIRI MKUU WA JAPAN

Written by mzalendoeditor

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa Japan Fumio Kishida kwa njia ya mitandao kwenye ukumbi wa Palais des Congres, jijini Tunis, Tunisia Agosti 27, 2022. Mheshimiwa Majaliwa amemshukuru Waziri Mkuu wa Japan  kwa misaada ambayo nchi yake inaipatia Tanzania ili kuleta unafuu kwenye maisha ya Watanzania. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor