slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

sapanca escort

google algoritma hack

escort sapanca

jojobet

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

jojobet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

teosbet

madridbet

marsbahis

artemisbet giriş

artemisbet giriş

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

holiganbet giriş

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

timebet

trimology review

holiganbet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

dinamobet giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

Pusulabet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

trendbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

slot siteleri

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet giriş

artemisbet

kavbet

matbet

savoybetting

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

palacebet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

mavibet

imajbet

artemisbet

klasbahis

artemisbet giriş

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

timebet giriş

casibom giriş

holiganbet

jojobet

trust score weak 3

jojobet giriş

slot siteler

deneme bonusu 2026

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

betgar, betgar giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

timebet

tarafbet

casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

padişahbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

casinowon

wbahis

betpuan

sekabet

bahiscasino

vdcasino giriş

vdcasino

piabet

Featured Kimataifa

JAPAN YAAHIDI KUTOA DOLA BILIONI 30 KUZISAIDIA NCHI ZA AFRIKA

Written by Alex Sonna

SERIKALI ya Japan imeahidi kutoa dola za Marekani bilioni 30 ili kuziwezesha nchi za Afrika kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo na kuimarisha utunzaji wa mazingira.

Ahadi hiyo imetolewa jana (Jumamosi, Agosti 27, 2022) na Waziri Mkuu wa Japan, Fumio Kishida wakati akitoa hotuba kwenye Mkutano wa Nane wa Kimataifa wa Wakuu wa Nchi na Serikali unaohusu Maendeleo ya Japan na Afrika (TICAD8) unaofanyika jijini Tunis nchini Tunisia.

Akizungumza kwa njia ya mitandao wakuu hao kwenye ukumbi wa Palais des Congres, jijini Tunis, Waziri Mkuu Kishida alisema kiasi hicho cha sh. bilioni 30 kitatolewa kwa kipindi cha miaka mitatu ili kuimarisha utunzaji wa mazingira, uwekezaji hasa kwa vijana, sekta za afya, viwanda na elimu.

“Ijapokuwa siko pamoja nanyi kwenye mkutano huo, bado dhamiri yangu ya kuendeleza bara la Afrika iko palepale, haijabadilika. Kwa kuanzia, Japan itaanzisha “Japan’s Green Growth Initiative with Africa” ambapo itatoa dola za Marekani bilioni nne kwa taasisi za umma na za binafsi barani Afrika ili kuziwezesha kutekeleza mpango huo,” alisema.

Alisema Japan imelenga kukuza uwekezaji ambapo safari hii wamelenga kuwainua vijana. Katika awamu hii, alisema watawalenga zaidi vijana wanaoanzisha makampuni na hatua hiyo itawapa fursa vijana wa Afrika na wa Japan kufanya kazi kwa karibu.

Kuhusu kuboresha maisha ya Waafrika, Mhe. Kishida alisema kupitia Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) watatoa dola za Marekani bilioni tano ambazo zinajumuisha mkopo mpya wa dola za Marekani bilioni moja zinazolenga kuzisaidia nchi hizo kumudu madeni.

Waziri Mkuu huyo alisema kujitokeza kwa janga la corona kumetoa funzo kuwa kuna haja ya kujiandaa kukabiliana na magonjwa ya mlipuko. Na kwa kuzingatia hilo, Serikali yake itachangia kiasi dola za Marekani bilioni 1.08 ili kuiwezesha Afrika kukabiliana na UKIMWI, Kifua Kikuu, Malaria na kuimarisha mifumo ya afya. 

“Vilevile, tutaimarisha rasilmali watu kwa kuwajengea uwezo wataalamu barani Afrika. Katika kipindi cha miaka mitatu ijayo, Japan inatarajia kuwajengea uwezo zaidi ya watu 300,000 kutoka bara la Afrika katika sekta za viwanda, afya, utabibu, elimu, kilimo, sheria na utawala.”

Kuhusu kilimo, alisema hivi karibuni Japan kwa kushirikiana na AfDB imeamua kutoa dola za marekani milioni 300 ili kuzisaidia nchi za Afrika kuzalisha chakula kwa wingi na kuwajengea uwezo watu 200,000 walioko kwenye sekta ya kilimo. Aidha watatoa msaada wa chakula wenye thamani ya dola za marekani milioni 130 ili kuzisaidia nchi hiyo kukabiliana na upungufu wa chakula.

Mapema, akifungua mkutano huo, Rais wa Tunisia, Mhe. Kais Saied ambaye ni Mwenyekiti wa Mkutano wa TICAD 8 alisema nchi za Afrika zina rasilmali nyingi lakini watu wake bado wanakabiliwa na umaskini.

“Kupitia kikao hiki, tuangalie tunaweza vipi kutumia rasilmali hizo ili kuondokana na umaskini kwa watu wetu. Hili si suala la nchi moja tu, bali ni letu wote. Na katika hatua hii, inabidi tuje na njia mpya ya kutuwezesha kusonga mbele na zaidi tuwe na ushirikiano wa kisiasa ulio imara,” alisema.

Naye Rais wa Senegal na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU), Mhe. Macky Sall ambaye pia alitoa hotuba ya ufunguzi sambamba na Waziri Mkuu wa Japan, alisema bara la Afrika linahitaji kuwezeshwa kuwa na nishati ya uhakika ili liweze kuzalisha bidhaa zake.

“Tunahitaji kuona nchi za Kiafrika zikizalisha mbolea ya kutosha ili tuwe na uhakika wa kilimo, kwa hiyo tunakaribisha wabia kutoka Japan katika sekta hii muhimu ya uzalishaji katika nchi nyingi,” alisema.

Kuhusu amani, alisema uwepo wa amani ni mada ambayo haihitaji mjadala na kitu muhimu kwa ukuaji na maendeleo barani Afrika. “Kupitia mkutano wa nane wa TICAD, na kupitia ubia, tunaweza kupata maendeleo ya uhakika na endelevu,” alisema.

Kaulimbiu ya mkutano wa nane wa TICAD ambao umehudhuriwa na washiriki 3,000 kutoka nchi za Afrika na mashirika ya kimataifa ni: “Kukuza Maendeleo Endelevu ya Afrika kwa ajili ya Waafrika” (Promoting Africa-led, Africa-owned Sustainable Development).

 

About the author

Alex Sonna