RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamad Khamis Hamad, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kijitambulisha, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Kamishna wa Polisi Zanzibar. Hamad Khamis Hamad, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 4-8-2022, alipofika kujitambulisha.(Picha na Ikulu)