Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari juu ya Mwelekeo wa Wizara, Vipaumbele na Maeneo ya Kimkakati katika Utekelezaji kwa Mwaka wa Fedha 2022/23 leo tarehe 29 Julai 2022 Jijini Dar es Salaam.
BAADHI ya wahariri wakimsikiliza Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda (hayupo pichani) wakati akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari juu ya Mwelekeo wa Wizara, Vipaumbele na Maeneo ya Kimkakati katika Utekelezaji kwa Mwaka wa Fedha 2022/23 leo tarehe 29 Julai 2022 Jijini Dar es Salaam.