Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

jojobet

holiganbet

jojobet

sahabet giriş

betsat

https://www.newstrendline.com/

grandpashabet

ultrabet giriş

lunabet

norabahis

setrabet

jojobet giriş

holiganbet giriş

timebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

vipslot

vipslot

realbahis

mavibet giriş

mavibet

royalbet giriş

mavibet giriş

norabahis giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

norabahis giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

norabahis

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

mariobet

jojobet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

maxwin

sahabet

dinamobet giriş

casibom

vaycasino

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

vaycasino

ultrabet

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betzula

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

betixir

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu veren siteler

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

casibom

royalbet

casibom

kafacasino

betface

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

pokerklas

bets10

betsat

vdcasino

jojobet

casibom

matbet

Jojobet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

royalbet

artemisbet

artemisbet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

betwild

Featured Makala

SERIKALI KUWEKEZA NGUVU ZAIDI KATIKA KUPAMBANA NA MADAWA YA KULEVYA

Written by Alex Sonna

 

WAZIRI  wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) Mhe. George Simbachawene,akizungumza na waandishi wa habari   wakati  akielezea vipaumbele vya bajeti  katika Wizara hiyo na taasisi zilizochini yake kwa mwaka wa fedha 2022/2023.

…………………………………………

Na Alex Sonna– Dodoma.

Serikali imesema itawekeza nguvu zaidi katika kupambana na madawa ya kulevya ambapo zaidi ya shilingi bilioni 11.9  zimeidhinishwa  katika mwaka wa fedha 2022/23 kwa Mamlaka ya Kupambana na Kudhibiti Dawa za Kulevya Nchini kwa ajili ya kutekeleza majukumu yake ukilinganisha na kiasi cha Shilingi bilioni 8.5 kilichoidhinishwa mwaka wa fedha 2021/22 sawa na ongezeko la asilimia 28.8.

Hayo yamebainishwa leo Julai 29,2022 Jijini Dodoma na Waziri  wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) Mhe. George Simbachawene  wakati akielezea vipaumbele vya bajeti  katika Wizara hiyo na taasisi zilizochini yake kwa mwaka wa fedha 2022/2023.

Ambapo amesema ongezeko hilo la bajeti ya mamlaka hiyo litaendelea kuimarisha udhibiti wa biashara na matumizi ya dawa za kulevya nchini, kuimarisha ushirikiano miongoni mwa vyombo vinavyojihusisha na udhibiti wa dawa za kulevya kitaifa na kimataifa.

Mhe. Simbachawene amesema kuwa fedha hizo zitatumika katika kubadilishana taarifa na kuimarisha ukusanyaji wa taarifa za kiintelijensia zinazohusu biashara haramu ya Dawa za kulevya na kuendesha operesheni za pamoja.

“Ofisi itaboresha huduma za tiba kwa waathirika wa dawa za kulevya kwa kuongeza idadi ya vituo vya tiba na urekebishaji wa tabia ya waathirika wa Dawa za Kulevya nchini” amesema Simbachawene

Ameongeza kuwa  “pamoja na kuweka programu maalum ya elimu ya maisha (Life skills) na mafunzo ya ufundi pamoja na kuwapatia vifaa (startup kits) ili waweze kuajiriwa au kujiajiri na hivyo kuwa na shughuli za kiuchumi za kufanya” amesema

Mhe.Simbachawene amesema kwa upande wa Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania imeidhinishiwa na Bunge zaidi ya Shilingi bilioni 14.9 ambapo zaidi ya shilingi bilioni 2.9 ni kwa ajili ya matumizi ya Kawaida na Shilingi bilioni 12.0 kwa ajili ya utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo ukiilinganisha na bajeti ya Shilingi bilioni 3.17 zilizotengwa mwaka 2021/22 kwa ajili ya kutekeleza shughuli za matumizi ya kawaida na maendeleo sawa na ongezeko la asilimia 71.2.

Amesema kuwa shughuli zitakazotekelezwa kwa mwaka wa fedha 2022/23 ni pamoja na kuratibu upatikanaji wa huduma za VVU na UKIMWI kwenye Mikoa ya kipaumbele ikiwemo; Iringa, Kagera, Katavi, Mbeya, Mwanza, Njombe, Pwani, Ruvuma, Shinyanga, Dodoma, Geita, Tabora na Songwe pamoja na kuweka kipaumbele katika kuzuia maambukizi ya VVU kwa vijana wa miaka 15 – 24.

Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2022/2023 imeidhinishiwa zaidi ya shilingi 101,030,914,000 kwa ajili ya matumizi kati ya fedha hizo shilingi bilioni 15.74 ni mishahara, bilioni  47.85 ni matumizi mengineyo na bilioni 17.56 ni ruzuku kwa vyama vya siasa na bilioni 19.87 ni katika miradi ya maendeleo.

Amesema bajeti hii ni sawa na ongezeko lazaidi ya asilimia 20.61 ukilinganisha na bajeti ya shilingi bilioni 80.17 iliyotengwa kwa mwaka wa fedha 2021/2022.

About the author

Alex Sonna