Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

Hacklink panel

betturkey

nerobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

marsbahis

marsbahis

kendin tasarla mousepad

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

pusulabet

grandpashabet

pusulabet

betlivo

betra

piabellacasino giriş

marsbahis

slot siteleri

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet giriş

betpark

betpark

vdcasino

jojobet

Jojobet

tipobet

Redwin

deneme bonusu

bahis siteleri

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Jojobet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

grandpashabet

Hacking Forum

modabet

vdcasino giriş

casibom

lunabet

Featured Kitaifa

NAIBU WAZIRI WA FEDHA AKUTANA NA UONGOZI WA SHELTER AFRIQUE DEVELOPMENT BANK KUIMARISHA USHIRIKIANO

Written by Alex Sonna

 

Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb), akizungumza na  Ujumbe kutoka Shelter Afrique Development Bank (ShafDB), ulioongozwa na  Bw. Charles Kazuka, pembezoni mwa Mkutano Mkuu wa 26 wa Wanahisa wa Taasisi ya Bima ya Biashara na Uwekezaji Afrika (ATIDI), unaoendelea jijini Nairobi, Kenya.

Mwakilishi wa Shelter Afrique Development Bank (ShafDB), Bw. Charles Kazuka, akizungumza na Ujumbe kutoka Tanzania uliyoongozwa na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb), pembezoni mwa Mkutano Mkuu wa 26 wa Wanahisa wa Taasisi ya Bima ya Biashara na Uwekezaji Afrika (ATIDI), unaoendelea jijini Nairobi, Kenya.

Mazungumza yakiendelea yaliyowahusisha Ujumbe kutoka Tanzania uliyoongozwa na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb), na Ujumbe kutoka Shelter Afrique Development Bank (ShafDB) ulioongozwa na Bw. Charles Kazuka, pembezoni mwa Mkutano Mkuu wa 26 wa Wanahisa wa Taasisi ya Bima ya Biashara na Uwekezaji Afrika (ATIDI), unaoendelea jijini Nairobi, Kenya.

Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb), akifafanua jambo kwa Ujumbe kutoka Shelter Afrique Development Bank (ShafDB) ulioongozwa na Bw. Charles Kazuka, pembezoni mwa Mkutano Mkuu wa 26 wa Wanahisa wa Taasisi ya Bima ya Biashara na Uwekezaji Afrika (ATIDI), unaoendelea jijini Nairobi, Kenya.

Mwakilishi wa Shelter Afrique Development Bank (ShafDB), Bw.Charles Kazuka, akifafanua jambo kwa Ujumbe kutoka Tanzania ulioongozwa na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb), pembezoni mwa Mkutano Mkuu wa 26 wa Wanahisa wa Taasisi ya Bima ya Biashara na Uwekezaji Afrika (ATIDI), unaoendelea jijini Nairobi, Kenya.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha, Nairobi, Kenya)

Na. Josephine Majura, WF, Nairobi, Kenya.

Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Shelter Afrique Development Bank (ShafDB) pembezoni mwa Mkutano Mkuu wa 26 wa Wanahisa wa Taasisi ya Bima ya Biashara na Uwekezaji Afrika (ATIDI), unaoendelea jijini Nairobi, Kenya.

Mazungumzo hayo yalilenga kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Benki hiyo, hususan katika maeneo ya uwekezaji, maendeleo ya makazi na uhamasishaji wa rasilimali za kifedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo.

Pande zote mbili zilikubaliana kuendeleza ushirikiano wa kimkakati utakaongeza  fursa za uwekezaji, upatikanaji wa fedha kwa ajili ya miradi ya makazi na miundombinu inayohusiana na sekta hiyo, pamoja na kuchochea maendeleo endelevu ya uchumi.

Kwa upande wake, Serikali ya Tanzania ilieleza utayari wake wa kuendelea kushirikiana na ShafDB katika kubaini na kutumia fursa mbalimbali za maendeleo zitakazochangia kuimarisha upatikanaji wa makazi bora, kukuza sekta ya makazi na kuongeza ustahimilivu wa miundombinu, kwa kuzingatia sheria, taratibu na vipaumbele vya maendeleo vya Taifa.

Naye mwakilishi wa Shelter Afrique Development Bank (ShafDB) Bw. Charles Kazuka, alieleza utayari wa Benki hiyo kuendelea kuimarisha ushirikiano na Serikali ya Tanzania katika kufadhili miradi ya maendeleo ya makazi na miundombinu, akibainisha kuwa Tanzania itaendelea kuwa mshirika muhimu katika utekelezaji wa dhamira ya Benki ya kuchochea maendeleo endelevu barani Afrika.

Shelter Afrique Development Bank (ShafDB) ni taasisi ya kifedha ya kimataifa inayomilikiwa na nchi za Afrika pamoja na taasisi za fedha za maendeleo, ikiwa na dhamira ya kuhamasisha uwekezaji na kutoa ufadhili wa miradi ya makazi na miundombinu inayohusiana na sekta hiyo barani Afrika. Tanzania ni miongoni mwa nchi waanzilishi wa Benki hiyo na imeendelea kushiriki kikamilifu katika shughuli zake tangu ilipoanzishwa, hatua inayoendelea kuimarisha nafasi yake katika kuendeleza ushirikiano wa kikanda kwa manufaa ya maendeleo ya Taifa.

Katika mkutano huo Mhe. Munde, aliambatana na Kaimu Kamishna Idara ya Uendelezaji Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha Bi. Dionisia Mjema na wataalamu kutoka Wizara hiyo.

About the author

Alex Sonna