Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

holiganbet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

SERIKALI YASISITIZA MAGEUZI YA KIDIJITI KUBORESHA HUDUMA KWA WANANCHI

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe,akizungumza  leo  Juni 23, 2026 jijini Dodoma wakati akimwakilisha Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka, katika kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yaliyofanyika katika Viwanja vya Chinangali Park.

Na.Alex Sonna,Mzalendo blog-DODOMA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amezitaka taasisi zote za umma nchini kuimarisha matumizi ya mifumo ya kidijiti ili kuboresha utoaji wa huduma kwa Wananchi, kuongeza uwajibikaji na kuimarisha ufanisi katika utumishi wa umma.

Prof. Shemdoe ametoa kauli hiyo leo  Juni 23, 2026 jijini Dodoma wakati akimwakilisha Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka, katika kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yaliyofanyika katika Viwanja vya Chinangali Park.

Amesema, matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) yamekuwa nguzo muhimu katika kuimarisha utendaji wa Serikali kwa kurahisisha upatikanaji wa huduma, kuongeza uwazi na kupunguza gharama za utoaji wa huduma kwa wananchi.

Prof. Shemdoe amebainisha kuwa maadhimisho ya mwaka huu yamehusisha Taasisi 226 za umma zilizotoa huduma mbalimbali kwa wananchi, zikiwemo huduma za hati za viwanja, vyeti vya kuzaliwa, vitambulisho vya Taifa, huduma za afya za kibingwa pamoja na huduma mbalimbali za kiutumishi.

“Utaratibu huu wa kuwaletea Wananchi huduma karibu nao ni mzuri na unapaswa kuendelezwa kwa kuwa unarahisisha upatikanaji wa huduma, kuimarisha mawasiliano kati ya Serikali na Wananchi na kuongeza imani ya wananchi kwa Serikali yao,” amesema Prof. Shemdoe.

Katika hafla hiyo, Prof. Shemdoe alizindua mifumo ya GSD na NGAO inayolenga kuboresha utoaji wa huduma za Serikali na kuimarisha usalama wa mifumo ya kidijiti.

Ameeleza kuwa mfumo wa GSD utawawezesha wananchi kupata huduma mbalimbali za Serikali kupitia dirisha moja kwa urahisi na kwa wakati, huku mfumo wa NGAO ukiimarisha usalama wa taarifa za Serikali kwa kutumia teknolojia ya uthibitishaji wa vipengele vingi (Multi-Factor Authentication).

Aidha, ameielekeza Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) kuendelea kusimamia uunganishaji wa mifumo ya Serikali ili kuhakikisha Taasisi za Umma zinabadilishana taarifa kwa ufanisi, kupunguza urudufu wa taarifa na kuongeza tija katika utoaji wa huduma.

Aidha Prof. Shemdoe ameagiza kufanyika kwa tathmini ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa kipindi cha miaka mitatu iliyopita ili kubaini mafanikio yaliyopatikana, changamoto zilizojitokeza na kuweka mikakati madhubuti ya kuboresha maadhimisho yajayo.

Kwa upande wake, Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – UTUMISHI, Bw. Juma Mkomi, alisema maadhimisho hayo yamelenga kuimarisha uwajibikaji, uwazi na ubora wa huduma kwa wananchi kupitia matumizi ya teknolojia za kisasa zinazowezesha utoaji wa huduma kwa haraka na kwa ufanisi zaidi.

Ameongeza kuwa maadhimisho hayo yameipa Serikali fursa ya kuonesha mafanikio ya uwekezaji uliofanyika katika sekta ya umma, hususan katika matumizi ya TEHAMA ambayo yamechangia kuboresha huduma na kuongeza kuridhika kwa wananchi.

About the author

Alex Sonna