Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

holiganbet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

TANESCO KUPELEKA UMEME JIKONI, WANANCHI KUPATA MAJIKO KWA MKOPO WA LUKU

Written by Alex Sonna
Na.Alex Sonna,Mzalendo blog-DODOMA
Serikali imezindua rasmi mpango wa kihistoria wa ukopeshaji wa majiko ya umeme kwa wateja wa TANESCO na mradi wa ujenzi wa vituo vya kuchajia vyombo vya usafiri vinavyotumia umeme, hatua inayolenga kuharakisha matumizi ya nishati safi nchini na kupunguza gharama za maisha kwa wananchi.
Akizungumza leo Juni 11,2026 jijini Dodoma wakati wa hafla ya utiaji saini wa makubaliano hayo, Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi, amesema  Tanzania imefikia hatua mpya ya maendeleo ambapo umeme hautatumika kwa kuwasha taa pekee, bali utakuwa nyenzo muhimu ya kuboresha maisha ya wananchi kupitia kupikia na usafiri.
Dkt. Deogratius Ndejembi,
Mhe.Ndejembi amesema  mpango huo utawezesha wananchi kupata majiko ya umeme yaliyoidhinishwa kwa mkopo na kurejesha fedha kidogo kidogo kupitia manunuzi ya umeme wa LUKU, jambo litakaloondoa kikwazo cha gharama za awali za ununuzi wa majiko.
“Tunamwondolea mwananchi kikwazo kikubwa kilichokuwa kinamzuia kuingia katika matumizi ya nishati safi ya kupikia. Kwa mara ya kwanza duniani, Tanzania inatekeleza mfumo wa On-Bill Financing ambapo gharama za jiko zitalipwa taratibu kupitia matumizi ya umeme,” amesema Mhe. Ndejembi.
Amebainisha kuwa hatua hiyo ni sehemu ya utekelezaji wa Mkakati wa Taifa wa Nishati Safi ya Kupikia wa mwaka 2024–2034 unaolenga kuhakikisha asilimia 80 ya Watanzania wanatumia nishati safi ya kupikia ifikapo mwaka 2034, huku asilimia 20 wakitumia umeme kupikia.
Waziri huyo amesema mafanikio ya mpango huo yamechochewa na uwekezaji mkubwa uliofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika sekta ya umeme, ambao umeongeza uzalishaji wa nishati na kufikisha zaidi ya megawati 4,000.
Amesema kukamilika kwa Mradi wa Umeme wa Julius Nyerere wenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 kumetoa uhakika wa umeme wa kutosha, hivyo hatua inayofuata ni kuongeza matumizi yenye tija ya nishati hiyo katika shughuli za kila siku za wananchi.
Katika hatua nyingine, TANESCO imezindua kituo chake cha kwanza cha kuchajia magari ya umeme, ikiwa ni mwanzo wa utekelezaji wa mradi wa kufunga mashine 50 za kisasa za kuchajia vyombo vya usafiri vinavyotumia umeme katika ofisi zake za mikoa yote nchini.
Mhe.Ndejembi amesema  mradi huo umefadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) kwa ushirikiano na kampuni ya AUTEL, inayotengeneza mifumo ya kisasa ya kuchajia magari ya umeme.
“Tunazindua si mashine pekee ya kuchajia magari, bali mfumo mpya wa usafiri nchini. Huu ni mwanzo wa safari ya kuifanya Tanzania kuwa miongoni mwa vinara wa matumizi ya usafiri wa umeme katika Afrika Mashariki,” amesema.
Ameongeza kuwa kuanzishwa kwa vituo hivyo kutapunguza gharama za usafiri, kuongeza imani kwa wawekezaji na watumiaji wa teknolojia za usafiri wa umeme, pamoja na kuchochea uwekezaji mpya katika uchumi wa kijani.
Kwa mujibu wa Waziri huyo, matumizi ya kuni na mkaa bado ni tishio kubwa kwa mazingira, ambapo zaidi ya hekta 469,000 za misitu hupotea kila mwaka kutokana na mahitaji ya nishati hizo.
Amesema matumizi ya majiko ya umeme yatachangia kupunguza uharibifu wa mazingira, kulinda afya za wananchi dhidi ya madhara ya moshi na kuokoa maisha ya wanawake na watoto ambao wamekuwa waathirika wakubwa wa matumizi ya nishati zisizo safi.
Katika kuhakikisha wananchi wananufaika na miradi hiyo,Ndejembi ameiagiza TANESCO kusambaza huduma za ukopeshaji wa majiko katika maeneo yote nchini, kuongeza elimu kuhusu matumizi ya umeme kupikia na kuhakikisha vituo vya kuchajia vinakamilika kwa wakati.
Pia amewataka wananchi kuchangamkia fursa hiyo ya mikopo ya majiko yenye masharti nafuu, huku akitangaza kuwa kwa siku 30 za mwanzo wananchi watapata huduma za kuchaji vyombo vya usafiri vinavyotumia umeme bure kabla ya kuanza kutozwa gharama nafuu.
“Miaka ijayo tutakapoandika historia ya mapinduzi ya nishati safi nchini, tutakumbuka kuwa safari hii ilianza pale tulipoamua kuupeleka umeme jikoni na barabarani. Hapo ndipo tulipoamua kuufanya umeme kuwa sehemu ya maisha ya kila Mtanzania,” amesema Mhe. Ndejembi.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO),Bw. Lazaro Twange, amesema shirika hilo limejipanga kukopesha majiko ya umeme milioni moja kwa wateja wake ndani ya kipindi cha miaka mitatu ili kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia nchini.

Twange amesema TANESCO inaendelea kukua kwa kasi na kufikia wateja takribani milioni 6.5, huku pia ikiwa na uwezo wa kuzalisha zaidi ya megawati 4,000 za umeme kufuatia uwekezaji mkubwa wa serikali katika sekta ya nishati.

Ameeleza kuwa mpango huo tayari umeanza kutekelezwa kupitia ufadhili kutoka Uingereza, ambapo wateja wapya 1,032 tayari wamepata majiko ya umeme kwa mkopo.

Aidha, amesema matumizi ya umeme yanapaswa kupanuka zaidi ya matumizi ya kawaida ya nyumbani na kujumuisha kupikia pamoja na kuendesha vyombo vya usafiri kama treni, magari, bajaji na pikipiki, ili kuendana na mabadiliko ya teknolojia na ajenda ya nishati safi nchini.

About the author

Alex Sonna