Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

avrupabet

vipslot

betcool

betlivo

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

kareasbet

hazbet

betra

meritking giriş

marsbahis

meritking

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

betra

gobahis

casival

casival

betcool

avrupabet

celtabet

jojobet

Hacklink panel

norabahis

kingroyal

Google

holiganbet

marsbahis

luxbet

hepbet

millibahis giriş

gobahis

vipslot

betface

elitbahis giriş

betcool

primebahis

betturkey

betturkey giriş

otobet

otobet giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

betlike

holiganbet

jojobet

betpark giriş

holiganbet

betpark

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

betewin

jojobet

vipslot

betnis

betmarino giriş

aresbet

aresbet

avrupabet giriş

betface

luxbet

betmarino

casival giriş

betlivo giriş

realbahis

gallerbahis

gallerbahis

aresbet giriş

parmabet

betnis

elitbahis

vaycasino giriş

betra giriş

celtabet giriş

parmabet giriş

vipslot giriş

hazbet giriş

elitbahis

luxbet giriş

hepbet

lordcasino

parmabet

lordcasino

kareasbet

betcool giriş

realbahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

slot siteleri

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

parmabet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

madridbet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

jojobet

casino siteleri

holiganbet

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

betsat

jojobet giriş

marsbahis

sweet bonanza

realko

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

betlivo

millibahis

millibahis

celtabet

millibahis

parmabet giriş

mavibet giriş

coinbar

coinbar

mislibet giriş

mavibet

parmabet giriş

parmabet

bahiscasino

mavibet

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

marsbahis

betsat

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

betcio

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

Featured Kitaifa

SERIKALI YANG’ARA MAHAKAMANI: YASHINDA ZAIDI YA ASILIMIA 88 YA MASHAURI, YAOKOA MABILIONI YA FEDHA ZA UMMA

Written by Alex Sonna

Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Juma Homera, akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara hiyo  na Taasisi zake kwa Mwaka wa Fedha 2026/27, leo, tarehe 24 Aprili 2026, Bunge jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna,Mzalendo blog-DODOMA

Serikali imeendelea kuonesha uimara wake katika kulinda maslahi ya taifa kupitia usimamizi madhubuti wa mashauri ya madai na usuluhishi, huku mafanikio makubwa yakirekodiwa katika kipindi cha miezi tisa kuanzia Julai 2025 hadi Machi 2026.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Juma Homera, akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Nishati na Taasisi zake kwa Mwaka wa Fedha 2026/27, leo, tarehe 24 Aprili 2026, Bunge jijini Dodoma.

Dkt.Homera ameeleza  kuwa kupitia Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, juhudi zimeelekezwa katika kuratibu, kusimamia na kuiwakilisha Serikali katika mashauri mbalimbali ndani na nje ya nchi. Lengo kuu likiwa ni kuhakikisha rasilimali za umma zinalindwa na haki inapatikana kwa ufanisi.

Katika kipindi hicho, jumla ya mashauri ya madai 10,401 yaliendeshwa ongezeko la asilimia 15.4 ikilinganishwa na mashauri 9,013 ya mwaka uliopita. Kati ya mashauri hayo, 9,663 yalikuwa ya kitaifa, 34 ya kimataifa, na 704 yakihusu masuala ya kikatiba na haki za binadamu.

 “Mashauri 641 yalihitimishwa, ambapo Serikali ilishinda mashauri 565 sawa na asilimia 88.1 ya mashauri yote yaliyomalizika. Mafanikio hayo yameiwezesha Serikali kuokoa zaidi ya shilingi bilioni 316 ambazo zingelipwa endapo ingetoka kushindwa katika kesi hizo.”amesema Dkt.Homera 

Kati ya fedha hizo, zaidi ya shilingi bilioni 313 zilitokana na ushindi katika mashauri yaliyosikilizwa mahakamani, huku zaidi ya shilingi bilioni 2.8 zikiokolewa kupitia majadiliano ya nje ya mahakama ikiashiria umuhimu wa njia mbadala za utatuzi wa migogoro.

Katika uwanja wa kisiasa, Ofisi hiyo ilisimamia mashauri 76 ya uchaguzi yaliyopinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Kati ya hayo, mashauri 39 yaliyomalizika Tanzania Bara, Serikali ilishinda yote, huku mengine yakiendelea kusikilizwa katika mahakama mbalimbali Bara na Zanzibar.

Aidha, mashauri 13 ya mapitio ya kimahakama yaliwasilishwa, yakihusiana na mchakato wa uchaguzi, ingawa hayakulenga moja kwa moja kupinga matokeo ya ubunge au udiwani.

Kwa upande wa usuluhishi, mashauri 251 yaliendeshwa, ikiwa ni ongezeko la asilimia 20.1 kutoka mwaka uliopita. Kati ya hayo, 221 yalikuwa ya ndani na 30 ya kimataifa. Mashauri 18 yalihitimishwa, na kuiwezesha Serikali kuokoa zaidi ya shilingi bilioni 6.8 pamoja na dola za Marekani zaidi ya milioni 418.

Hatua hizi zinaakisi mkakati wa Serikali wa kuimarisha matumizi ya majadiliano na maridhiano kama njia mbadala ya kupunguza gharama na muda wa mashauri.

Katika kuzuia migogoro kabla haijafika mahakamani, Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali ilifanyia kazi notisi 765 za siku 90 zilizowasilishwa na wadai waliokuwa na nia ya kuishtaki Serikali. Kupitia majadiliano na taasisi husika, baadhi ya migogoro hiyo ilimalizika kwa muafaka bila kufikishwa mahakamani.

Mbinu hiyo, inayozingatia falsafa ya 4R (Maridhiano, Ustahimilivu, Mageuzi na Ujenzi Mpya), imeisaidia Serikali kuepuka gharama kubwa za riba, faini na fidia ambazo zingetokana na kushindwa kwa mashauri.

Kwa mwenendo huu, ni wazi kuwa Serikali inaendelea kujijengea taswira ya taasisi inayosimamia sheria kwa umakini, huku ikiweka mbele maslahi ya wananchi na maendeleo endelevu ya Taifa.

About the author

Alex Sonna