marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

mersin escort

sapanca escort

sapanca escort

vdcasino

vdcasino

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

milanobet

holiganbet

casibom

dizipal

1xbet giriş

1xbet

tambet

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

perabet giriş

imajbet

grandbahis giriş

imajbet

grandbahis

imajbet giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

ultrabet, ultrabet giriş

tlcasino, tlcasino giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

meritking giriş

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

starzbet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

aaa

pokerklas

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

deneme bonusu veren siteler

taksimbet

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

vaycasino

trendbet

bets10

Milanobet

jojobet

cratosroyalbet

deneme bonusu

İkimisli

onwin

betsat

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

padişahbet

holiganbet

perabet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

ankara escort

cratosroyalbet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

jojobet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

esbet

vdcasino

bets10 giriş

perabet

efesbet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

perabet

สล็อตเว็บตรง

zirvebet

casibom giriş

jojobet

bets10

jojobet

trust score weak 3

jojobet

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

marsbahis giriş

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

sorgu paneli

galabet, galabet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

roketbet, roketbet giriş

betsat

holiganbet

betsat

betsat giriş

deneme bonusu veren siteler

tipobet giriş

casibom

kralbet

en iyi slot siteleri

Featured Kitaifa

MSD YAIMARISHA USHIRIKIANO NA VYOMBO VYA HABARI, YAANIKA MAFANIKIO SEKTA YA AFYA

Written by Alex Sonna


‎Na Edward Winchislaus
‎Bohari ya Dawa (MSD) imeweka bayana mafanikio na mwelekeo wake katika kuboresha upatikanaji wa huduma za afya nchini kupitia semina ya siku mbili kwa wahariri wa vyombo vya habari iliyofanyika jijini Dodoma.

‎Semina hiyo imelenga kuimarisha ushirikiano kati ya MSD na vyombo vya habari, sambamba na kutoa mrejesho wa utekelezaji wa majukumu ya taasisi hiyo, huku wahariri wakipata fursa ya kujionea hali halisi ya utoaji huduma kupitia ziara katika vituo vya afya vya mikoa ya Dodoma, Singida na Pwani.

‎Akizungumza katika semina hiyo, Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Mavere Tukai, amesema lengo kuu ni kuhakikisha kila Mtanzania anapata bidhaa bora za afya kwa wakati, huku akisisitiza nafasi ya vyombo vya habari katika kufikisha taarifa sahihi kwa umma.

‎“Tunapokutana na wahariri tunapata nafasi ya kubadilishana uzoefu na kutoa mrejesho wa yale tuliyopanga na kuyatekeleza, lakini zaidi ni kuhakikisha jamii inaelewa juhudi zinazofanyika katika sekta ya afya,” amesema Tukai.

‎Amefafanua kuwa MSD ina jukumu la kuzalisha, kununua, kuhifadhi na kusambaza bidhaa za afya kwa hospitali, vituo vya afya na zahanati kote nchini, ambapo kwa sasa zaidi ya bidhaa 3,000 zipo katika mzunguko wa usambazaji.

‎Kwa mujibu wa Tukai, kiwango cha upatikanaji wa bidhaa za afya kupitia MSD kimefikia kati ya asilimia 81 hadi 83, huku mifumo ya ununuzi katika ngazi za mikoa ikisaidia kukamilisha mahitaji yaliyobaki ili kuhakikisha huduma zinawafikia wananchi kwa ufanisi zaidi.

‎Hata hivyo, amekiri kuwepo kwa changamoto ndogo katika baadhi ya maeneo, akieleza kuwa bado kuna kazi ya kufanya ili kufikia lengo la huduma jumuishi. “Unaweza kukuta wagonjwa 10, mmoja akakosa dawa; hiyo inaonesha bado tunapaswa kuongeza juhudi ili kufikia kila mmoja,” amesema.

‎Ameongeza kuwa katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, serikali imefanikiwa kupunguza kwa kiasi kikubwa uhaba wa bidhaa za afya, ambapo kiwango cha upatikanaji kimeongezeka na kufikia wastani wa asilimia 80 kutokana na uwekezaji mkubwa katika miundombinu na rasilimali za sekta hiyo.

‎Kwa upande wao, wahariri walioshiriki semina hiyo wameeleza kuridhishwa na hatua zilizofikiwa, wakisema mafunzo hayo yamewawezesha kuelewa kwa kina hali halisi ya utoaji huduma za afya nchini.

‎Mwandishi wa habari wa EFM na TVE, Scolastica Mazura, amesema semina hiyo imewapa uwezo wa kutekeleza wajibu wao kwa ufanisi zaidi kwa kuifikia jamii kwa taarifa sahihi. “Kupitia semina hii, tumeelewa kwa undani MSD ilipotoka, ilipo na inapokwenda, jambo linalotuwezesha kuandika na kusambaza taarifa sahihi kwa umma na kupunguza upotoshaji,” amesema Mazura.

‎Washiriki wengine wamepongeza uwekezaji wa vifaa tiba katika vituo vya afya walivyovitembelea, wakieleza kuwa umeboresha utoaji wa huduma, kupunguza msongamano wa wagonjwa na kuongeza imani ya wananchi katika sekta ya afya.

About the author

Alex Sonna