marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

jojobet

vdcasino

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

jojobet

holiganbet

casinomilyon

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

cratosroyalbet

marsbahis

marsbahis

artemisbet

artemisbet

kavbet giriş

mislibet

betra

kavbet

aresbet

jojobet

betasus giriş

holiganbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

betparibu, betparibu giriş

bekabet, bekabet giris

interbahis

Superbetin giriş

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

betcio

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet güncel giriş

betebet

betgar, betgar giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

dinamobet güncel giriş

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

starzbet

Gamdom

grandpashabet giriş

bets10

bets10

bets10

bets10 giriş

bets10

netbahis

netbahis giriş

casibom

royalbet

savoybetting

https://pasands.com/

يلا شوت

hantavirus token

restbet

deneme bonusu 2026

kralbet

Lisanslı Casino Siteleri

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

parmabet

kavbet

kavbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet

artemisbet giriş

parmabet

parmabet giriş

mislibet

parmabet

vdcasino

marsbahis

Featured Kitaifa

WAZIRI KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA 13 WA KAMATI TENDAJI YA SHIRIKISHO LA MAMLAKA ZA KUPAMBANA NA RUSHWA BARANI AFRIKA ATAJA MAENEO MANNE YATAKAYOSAIDIA KUKABILIANA NA RUSHWA

Written by Alex Sonna

 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza wakati akifungua Mkutano wa 13 wa Kamati Tendaji ya Shirikisho la Mamlaka za Kupambana na Rushwa Barani Afrika uliofanyika leo tarehe 13 Aprili, 2026 katika Hoteli ya Forest Hill jijini Arusha.

Sehemu ya Washiriki wa Kamati Tendaji ya Shirikisho la Mamlaka za Kupambana na Rushwa Barani Afrika wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (hayupo pichani) alipokuwa akifungua Mkutano wa 13 wa Kamati hiyo uliofanyika leo tarehe 13 Aprili, 2026 katia Hoteli ya Forest Hill jijini Arusha.

Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Bw. Crispin Chalamila (kulia) akizungumza jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA), Bw. Ali Ali kabla ya kuanza kwa Mkutano wa 13 wa Kamati Tendaji ya Shirikisho la Mamlaka za Kupambana na Barani Afrika uliofanyika leo tarehe 13 Aprili, 2026 katika Hoteli ya Forest Hill jijini Arusha.

Sehemu ya Washiriki wa Kamati Tendaji ya Shirikisho la Mamlaka za Kupambana na Rushwa Barani Afrika wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (hayupo pichani) alipokuwa akifungua Mkutano wa 13 wa Kamati hiyo uliofanyika leo tarehe 13 Aprili, 2026 katia Hoteli ya Forest Hill jijini Arusha.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (kulia) akifurahia jambo na Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Bw. Crispin Chalamila (kushoto) kabla Waziri huyo kufungua Mkutano wa 13 wa Kamati Tendaji ya Shirikisho la Mamlaka za Kupambana na Rushwa Barani Afrika uliofanyika leo tarehe 13 Aprili, 2026 katika Hoteli ya Forest Hill jijini Arusha.

Sehemu ya Washiriki wa Kamati Tendaji ya Shirikisho la Mamlaka za Kupambana na Rushwa Barani Afrika wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (hayupo pichani) alipokuwa akifungua Mkutano wa 13 wa Kamati hiyo uliofanyika leo tarehe 13 Aprili, 2026 katia Hoteli ya Forest Hill jijini Arusha.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza wakati akifungua Mkutano wa 13 wa Kamati Tendaji ya Shirikisho la Mamlaka za Kupambana na Rushwa Barani Afrika uliofanyika leo tarehe 13 Aprili, 2026 katika Hoteli ya Forest Hill jijini Arusha.

Sehemu ya Washiriki wa Kamati Tendaji ya Shirikisho la Mamlaka za Kupambana na Rushwa Barani Afrika (mstari wa mbele) wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (hayupo pichani) alipokuwa akifungua Mkutano wa 13 wa Kamati hiyo uliofanyika leo tarehe 13 Aprili, 2026 katia Hoteli ya Forest Hill jijini Arusha. Wengine ni Watendaji na Wakurugenzi wa TAKUKURU.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akifuatilia Mkutano wa 13 wa Kamati Tendaji ya Shirikisho la Mamlaka za Kupambana na Rushwa Barani Afrika mara baada ya kufungua mkutano huo uliofanyika leo tarehe 13 Aprili, 2026 katika Hoteli ya Forest Hill jijini Arusha.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (aliyekaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Sehemu ya Washiriki wa Kamati Tendaji ya Shirikisho la Mamlaka za Kupambana na Rushwa Barani Afrika mara baada ya Waziri huyo kufungua Mkutano wa 13 wa Kamati hiyo uliofanyika leo tarehe 13 Aprili, 2026 katika Hoteli ya Forest Hill jijini Arusha.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (aliyekaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi, Watendaji na Wakurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mara baada ya Waziri huyo kufungua Mkutano wa 13 wa Kamati hiyo uliofanyika leo tarehe 13 Aprili, 2026 katika Hoteli ya Forest Hill jijini Arusha.

Na. Veronica Mwafisi-Arusha

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema ili Afrika iweze kuwa na uwezo uliojitosheleza ni lazima kuwe na azimio endelevu la pamoja la kukabiliana na rushwa.

Mhe. Kikwete ameyasema hayo leo tarehe 13 Aprili, 2026 wakati akifungua Mkutano wa 13 wa Kamati Tendaji ya Shirikisho la Mamlaka za Kupambana na Rushwa Barani Afrika ulioanza leo katika Hoteli ya Forest Hill jijini Arusha.

Waziri Kikwete ameainisha maeneo manne ya kuchukua hatua za makusudi za kukabiliana na rushwa Barani Afrika ikiwemo kuendelea kuimarisha ushirikiano mipakani kwani rushwa imekuwa ni tatizo la kimataifa ambalo linahusisha mtiririko wa fedha haramu na masuala ya kimtandao, huku akisisitiza kubadilishana habari katika maeneo ya urejeshaji wa mali na uchunguzi wa kifedha.

Amesema ni lazima kukubali kuwa teknolojia ina nguvu katika kukuza uwazi na kupunguza mianya ya rushwa ambapo mifumo ya kidijiti imeongeza uwajibikaji kwa kiasi kikubwa katika ununuzi wa umma, ukusanyaji wa mapato na utoaji wa huduma .

Amesisitiza kuwa ni lazima kukuza uongozi wa kimaadili na uadilifu katika ngazi zote za kijamii kwani vita dhidi ya rushwa huanza na maadili ambayo lazima yaonekane katika utumishi wa umma na tabia binafsi.

Aidha, ameongeza kuwa ni muhimu kushirikisha wananchi, mashirika ya kiraia, na sekta binafsi kama washirika hai katika mapambano dhidi ya rushwa kwani suala hili sio la mtu mmoja au taasisi moja pekee.

Amesema rushwa ni kikwazo katika utoaji haki na huduma muhimu kama vile afya, elimu na miundombinu kwa wananchi wa kawaida, vilevile ni tishio katika mabadiliko ya kiuchumi na inapunguza kasi ya maendeleo katika mataifa yetu.

Ni imani yangu kwamba mkutano huu utatumika kama jukwaa muhimu la kuimarisha ushirikiano, kubadilishana uzoefu, na kuimarisha azimio letu la pamoja katika kushughulikia mojawapo ya changamoto sugu zinazoendelea kuikabili Afrika, Mhe. Kikwete amesisitiza.

Amesema katika kupambana na rushwa, Tanzania chini ya uongozi wa Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, imekuwa na dhamira thabiti ya kuendeleza uwazi, uwajibikaji na utawala bora kwa kuimarisha mifumo ya kisheria na kitaasisi, mifumo ya usimamizi wa fedha za umma na kuboresha utoaji wa huduma katika sekta zote, Mhe. Kikwete amesisitiza.

Ameongeza kuwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ina jukumu muhimu katika kutekeleza ajenda ya kitaifa ya kupambana na rushwa kwa kuhakikisha rasilimali za umma zinasimamiwa kwa manufaa ya wananchi wote.

Amesema kwa pamoja, tunaweza kuijenga Afrika inayofafanuliwa si kwa rushwa, bali kwa uadilifu, si kwa fursa zilizopotea, bali kwa mafanikio ya pamoja, si kwa mifumo dhaifu, bali na taasisi imara na zinazoaminika. Mkutano huu ukaashirie hatua nyingine muhimu kuelekea siku zijazo.

Akitoa neno la utangulizi, Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Bw. Crispin Chalamila, amesema lengo la mkutano huo ni kujadili na kubadiliashana uzoefu kuhusu namna bora ya kukabiliana na rushwa ambalo ni tatizo kubwa katika Bara la Afrika.

Tutabadilishana uzoefu kwani tunatamani rushwa itokomezwe kabisa katika Bara la Afrika, amesisitiza.
Wajumbe wa Kamati Tendaji ya AAACA ni Wakuu wa Mamlaka za Kuzuia na Kupambana na Rushwa kutoka Nchi 9 Wanachama ambazo ni Egypt, Mali, Cameroon, Congo Brazaville, Algeria, SieraLeone, Burundi, Zimbabwe pamoja na Tanzania.

About the author

Alex Sonna