Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

betsmove, betsmove giriş

nakitbahis, nakitbahis giriş

perabet, perabet giriş

matbet, matbet giriş

belugabahis

restbet

deneme bonusu veren siteler

meritking

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

royalbet

trimology review

deneme bonusu

jojobet

jojobet güncel

meritking

holiganbet

jojobet adres

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

tarafbet giriş

betebet

casibom, casibom giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

flower disease

jojobet güncel giriş

jojobet güncel

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

hititbet giriş

hititbet

tümbet

hititbet giriş

sahabet

madridbet

grandpashabet giriş

casibom

pokerklas

jojobet giriş

marsbahis

marsbahis

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

royalbet giriş

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

hititbet

betpark giriş

trendbet

jojobet güncel giriş

ilbet giriş

ilbet

ilbet

ilbet giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

Cratosroyalbet

casibom

İkimisli

onwin

bets10

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

goldenbahis

artemisbet

imajbet

artemisbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

onlyfans leaks

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

cratosroyalbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

mislibet

goldenbahis giriş

kavbet

mislibet giriş

kavbet giriş

artemisbet giriş

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

royalbet

holiganbet

jojobet

meritking

trust score weak 3

jojobet

ikimisli giriş

tipobet

mislibet

kavbet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet

pokerklas

jojobet giriş

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

mobilbahis

casibom

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

betpas

1xbet

holiganbet giriş

restbet

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

dizipal

casibom

interbahis, interbahis giriş

truvabet, truvabet giriş

pokerklas, pokerklas giriş

bets10

superbetin

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

royalbet giriş

cratosroyalbet

betpark

bets10 güncel giriş adresi

madridbet

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

interbahis

pokerklas, pokerklas giriş

grandpashabet

millibahis

piabet

palacebet

dental implants turkey

robinbet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

casibom giriş

casibom giriş

holiganbet

holiganbet

turkey dental implants

dental implants turkey

betturkey

sekabet

pusulabet

imajbet

marsbahis

matbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino giriş

jojobet

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

pokerklas

pokerklas

meritking

meritking giriş

jojobet giriş

jojobet

marsbahis

marsbahis giriş

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

marsbahis

jojobet giriş

pokerklas

holiganbet

marsbahis

holiganbet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

jojobet

grandpashabet

madridbet

holiganbet

holiganbet

holiganbet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

marsbahis

jojobet

meritking

bahsegel

bahsegel giriş

betturkey

betturkey giriş

tipobet

meritking

meritking giriş

truvabet

betgaranti

betoffice

perabet

Bet365 Giriş

ilbet

ilbet giriş

turkey dental implants

roketbet 2026

vdcasino

casibom

deneme bonusu

safirbet

pokerklas

galabet

bets10

tipobet

bets10

casibom

tipobet

runtobet

runtobet giriş

Featured Kitaifa

DKT. DUGANGE: USHIRKIANO SJMT, SMZ NI NGUZO HIFADHI YA MAZINGIRA

Written by Alex Sonna

 

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Festo Dugange akizungumza wakati wa kikao cha ushirikiano kati ya Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SJMT) na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ngazi ya Mawaziri kilichofanyika leo Februari 17, 2026, Zanzibar.

Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Hassan Mitawi akiongoza kikao cha ushirikiano kati ya Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SJMT) na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ngazi ya Makatibu Wakuu kilichofanyika leo Februari 17, 2026, Zanzibar.

Wajumbe wakifuatilia kikao cha ushirikiano kati ya Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SJMT) na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ngazi ya Mawaziri kilichofanyika leo Februari 17, 2026, Zanzibar.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Festo Dugange (mbele katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na wataalamu kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SJMT) na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) mara baada ya kikao kilichofanyika leo Februari 17, 2026, Zanzibar.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Festo Dugange akisikiliza maelezo kuhusu kikao cha ushirikiano wa Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SJMT) na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kutoka kwa Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Hassan Mitawi. Katikati ni Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Bw. Ilyasa Pakacha Haji.

mara baada ya kikao kilichofanyika leo Februari 17, 2026, Zanzibar.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Festo Dugange ushirikiano wa Tanzania Bara na Zanzibar ni nguzo muhimu katika kukabiliana na athari za mazingira.

Amesema hayo wakati wa kikao cha ushirikiano kati ya Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SJMT) na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kilichofanyika leo Februari 17, 2026, Zanzibar.

Katika kikao hicho ngazi ya Mawaziri, Dkt. Dugange ambaye ni Mwenyekiti Mwenza alihimiza ushirikiano madhubuti baina ya Ofisi ya Makamu wa Rais na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais katika utekelezaji wa shughuli za kimazingira ambao utasaidia katika kukabiliana na changamoto za uharibifu wa mazingira.

Alisema suala la mazingira halina mipaka linaihusu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hata kama changamoto zinatokea nje ya mipaka ya taifa bado SJMT na SMZ zinashirikiana kwa karibu katika kuweka mazingira vizuri.

“Lazima tushikamane mara kwa mara kuhusu masuala ya biashara ya kaboni mazingira, chochote cha Bara na Zanzibar lazima tuongee lugha moja, hatuwezi kufanya vizuri sana kama hatushirikiani, hivyo niwapongeze Makatibu Wakuu kwa kuona umuhimu wa kukutana na kujadili masuala ya mazingira na kufikia malengo,” alisisitiza.

Hivyo, Naibu Waziri alitoa rai kwa wajumbe wa kikao hicho kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais na Ofisi ya Makamu wa Kwanza hicho kuyafanyia kazi yale yote yaliyoafikiwa katika kikao cha ngazi ya Makatibu Wakuu.


Kwa upande Wake Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais (Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi) Mhe. Hamza Hassan Juma alishauri elimu ya Muungano iendelee kutolewa hususan kwa kundi la vijana.

Alishauri kuwatumia wasanii mbalimbali nchini katika kutoa elimu ya Muungano, kwani wengi wao ni vijana hatua itakayoisaidia kufikisha ujumbe kwa haraka zaidi katika kundi hilo. 

Halikadhalika, Mhe. Hamza alitoa rai kwa watendaji kutoka Ofisi hizo mbili kutangaza zaidi fursa zinazopatikana katika Muungano badala ya changamoto akisema kuwa Serikali zote zinazishughulikia ili kuzimaliza.

Awali akizungumza wakati wa kikao cha ushirikiano ngazi ya Makatibu Wakuu, Kwa upande wake Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Bw. Ilyasa Pakacha Haji alisema kuwa kuna haja kubwa ya kuendeleza ushirikiano huo kukabiliana na athari za mazingira.

Alisema athari za mazingira hususan mabadiliko ya tabianchi yanagusa dunia na kuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni mojawapo ya nchi ambazo zinakumbwa na changamoto hiyo.

Hivyo, vikao vya ushirikiano ni hatua nzuri ya kuandaa na kutekeleza mapendekezo yote yaliyotolewa ngazi ya Makatibu Wakuu, kisha kufuatilia na kufanya tahmini kutambua ni zipi changamoto na kuzifanyia kazi.

Kikao hicho kilihudhuriwa na Kaimu Katibu Mkuu kilishirikisha pia wajumbe kutoka Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC)

About the author

Alex Sonna