Featured Kitaifa

KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI AONGOZA SEKTA YA MAJI KUMUAGA MAREHEMU BI.SABINA FAYA,ULANGA MOROGORO

Written by Alex Sonna

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Mwajuma Waziri, akiongoza watumishi wa Sekta ya Maji katika maombolezo ya msiba wa marehemu Bi. Sabina Faya, aliyekuwa Afisa Sheria Mwandamizi wa Wizara ya Maji, ambapo maziko yanatarajiwa kufanyika leo jioni katika makaburi ya Kwangwega, Mwaya kijiji cha Mwaya, Ulanga mkoani Morogoro

About the author

Alex Sonna