Featured Kitaifa

DKT. MWIGULU AKUTANA NA MAWAZIRI WA MAJI NA FEDHA

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 03, 2026 amefanya mazungumzo na Waziri wa Maji, Jumaa Aweso na Waziri wa Fedha, Balozi, Khamis Omar katika kikao cha kazi kilichofanyika ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Januari 3, 2026.

Kikao hicho pia kiliwahusisha viongozi na watendaji kutoka TAMISEMI, Wizara ya Fedha na Wizara ya Maji.

About the author

Alex Sonna