Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS AMTEMBELEA RAIS MSTAAFU DKT.SHEIN

Written by Alex Sonna

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amtembelea na kumjulia hali, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein katika makazi yake Unguja, Zanzibar leo tarehe 03 Januari 2026.

About the author

Alex Sonna