marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

marsbahis giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

matbet

teosbet

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

gameofbet

kavbet

marsbahis

perabet giriş

kavbet

mavibet giriş

mavibet giriş

imajbet

mavibet

pashagaming

marsbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

betgar, betgar giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

betkolik, betkolik giriş

jojobet

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

bettilt

trimology review

celtabet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

betosfer

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

ultrabet

starzbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

kıbrıs escort

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

ilbet

ilbet giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

bets10 giriş

Fixbet

jojobet

türk ifşa

galabet

İkimisli

onwin

bets10

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10 giriş

casibom

lunabet

lunabet giriş

imajbet

bahiscasino

perabet

lunabet

kavbet

artemisbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

ifşa

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

sahabet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

grandpashabet

Hacklink Panel

nesinecasino

vdcasino

bets10

perabet

perabet

perabet giriş

artemisbet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

imajbet

สล็อตเว็บตรง

bets10 giriş

bettilt giriş

holiganbet giriş

jojobet

jojobet

trust score weak 3

jojobet

Holiganbet

ligobet

kavbet

kavbet

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

dinamobet

netbahis

1xbet giriş

vipslot

galabet giriş

interbahis

agb99

galabet

norabahis

Featured Kitaifa

DKT.MWAMBA AZINDUA MKAKATI WA MUDA WA KATI WA UKUSANYAJI MAPATO

Written by Alex Sonna

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (wa pili kulia), akiwa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Zanzibar, Dkt. Juma Malik Akil (wa pili kushoto), Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Jenifa Christian Omolo (wa kwanza kulia) na Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Dkt. Fred Msemwa (wa kwanza kushoto), wakionesha Mkakati wa Muda wa Kati wa Ukusanyaji wa Mapato wa Miaka mitatu (Medium Term Review Strategy) baada ya hafla ya uzinduzi wa Mkakati huo uliopangwa kutekelezwa kuanzia mwaka 2025/2026 hadi 2027/2028, pamoja na Kamati za usimamizi na utekelezaji wa Mkakati huo jijini Dodoma.

……

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amezindua Mkakati wa Muda wa Kati wa Ukusanyaji wa Mapato wa Miaka Mitatu (Medium Term Review Strategy) uliopangwa kutekelezwa kuanzia mwaka 2025/2026 hadi 2027/2028 na Kamati za usimamizi na utekelezaji wa Mkakati huo.

Akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mkakati huo, ukumbi wa Kambarage Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma, Dkt. Mwamba alisema kuwa Mkakati huo unalengo la kuweka msingi imara ya ukusanyaji wa mapato, kuweka utabirifu wa sera za mapato na kuongeza makusanyo ya mapato.

 

Alisema kuwa utekelezaji wa Mkakati huo utasaidia kuongeza uhiari wa ulipaji kodi, kutambua na kuziba mianya ya ukwepaji kodi, kupunguza nakisi ya bajeti na kuimarisha imani ya wananchi na uwekezaji katika mfumo wa mapato.

 

“Utekelezaji wa kazi hii utaboresha usimamizi wa mapato ya Serikali na kuhakikisha tunakuwa na bajeti endelevu itakayowezesha Serikali kuongeza kasi ya utoaji wa huduma muhimu kwa wananchi kwa kutumia mapato ya ndani”, alisema Dkt. Mwamba.

 

Dkt. Mwamba alisema kuwa Mkakati umeainisha maboresho ya mikakati na hatua mbalimbali ambazo zimekuwa zikiendelea kutekelezwa na Serikali katika kuhakikisha Serikali inakusanya  mapato  mengi  kutoka kwenye  vyanzo  vyake vya  ndani.

 

Alisema kuwa hatua hizo zimegawanyika katika makundi matatu ambayo ni mapendekezo ya maboresho ya sera, maboresho ya usimamizi wa ukusanyaji wa mapato na maboresho ya Sheria.

Dkt. Mwamba alisema kuwa Mkakati huo ulioandaliwa na Wizara ya Fedha kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wakiwemo washirika wa maendeleo na wadau wengine kutoka taasisi za Serikali na sekta binafsi, unapendekeza kuandaliwa kwa sera ya kodi kitaifa itakayotoa mwongozo wa kuandaa na kuboresha sera za kodi na  kuboresha mifumo ya kielektroniki inayotumika katika ukusanyaji wa mapato.

Alisema kuwa Mkakati huo utaongeza utii na uhiari wa ulipaji kodi, kuimarisha na kuboresha usajili wa walipakodi, kuboresha usimamizi wa misamaha ya kodi, kuboresha marejesho ya kodi, kuboresha viwango vya kodi, kuboresha na kuongeza ufanisi katika ukusanyaji wa mapato yanayotokana na uchumi wa kidigitali na kuboresha usimamizi wa ukusanyaji wa mapato yanayotokana na forodha.

Kwa upande mwingine amewapongeza wajumbe wote walioteuliwa kwa kukubali uteuzi huo ili kushiriki katika kazi hiyo muhimu ambayo  imejumuisha wajumbe wenye ujuzi na uzoefu katika masuala ya uchumi, kodi na fedha kutoka Serikalini na sekta binafsi.

Kwa upande wake Kamishna wa Idara ya Usimamizi wa  Sera, Wizara ya Fedha, Dkt. Jonson Nyella, alisema kuwa  uandaaji wa Mkakati ulianza na mashauriano yakiongozwa na wataalamu wa ndani na kisha Wataalamu kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF)  ambao walitoa msaada wa kiufundi.

Alisema kuwa Mkakati huo ni muhimu katika kupunguza nakisi ya bajeti na hivyo kuwezesha kugharamia miradi ya maendeleo kwa kupitia fedha za ndani, lengo ni kuisaidia nchi kujitegemea ikizingatiwa Nchi imetoka uchumi wa chini kwenda uchumi wa kati ambao unahitaji kujitegemea kwa kiasi kikubwa.

Mwenyekiti wa Kamati iliyozinduliwa ni  Katibu Mkuu Hazina  na Katibu ni   Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha anayesimamia Uchumi, Wajumbe wa Kamati ni pamoja na Katibu Mkuu Ofisi ya Mipango na Uwekezaji, Katibu Mkuu Ofisi ya Rais  Fedha na Mipango Zanzibar, Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI, Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Makazi, Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii na Katibu Mkuu Wizara ya  Mawasilino na Teknolojia ya Habari.

Wengine ni Gavana wa Benki Kuu, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Msajili wa Hazina, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, rais wa Chemba ya Biashara,  Viwanda na Kilimo (TCCIA) na Mwenyekiti wa  Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF)
Utaratibu wa kuandaa na kutekeleza Mkakati huo umekuwa ukitumika katika nchi mbalimbali ikiwemo Kenya, Uganda, Malawi, Siera Leone, Ghana, Morocco na Rwanda.

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, akizungumza wakati akizindua Mkakati wa Muda wa Kati wa Ukusanyaji wa Mapato wa Miaka mitatu (Medium Term Review Strategy) uliopangwa kutekelezwa kuanzia mwaka 2025/2026 hadi 2027/2028, pamoja na Kamati za usimamizi na utekelezaji wa mkakati huo, katika ukumbi wa Kambarage, Treasury Square, jijini Dodoma, ambapo pamoja na mambo mengine alisema kuwa alisema kuwa Mkakati huo utaweka misingi imara ya ukusanyaji wa mapato, kuweka utabirifu wa sera za mapato na kuongeza makusanyo ya mapato, kuongeza uhiari wa ulipaji kodi, kutambua na kuziba mianya ya ukwepaji wa kodi, kupunguza nakisi ya bajeti na kuimarisha imani ya wananchi na uwekezaji katika mfumo wa mapato.
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Zanzibar, Dkt. Juma Malik Akil, akizungumza jambo wakati wa halfa ya uzinduzi wa Mkakati wa Muda wa Kati wa Ukusanyaji wa Mapato wa Miaka mitatu (Medium Term Review Strategy) uliopangwa kutekelezwa kuanzia mwaka 2025/2026 hadi 2027/2028, pamoja na Kamati za usimamizi na utekelezaji wa mkakati huo, katika ukumbi wa Kambarage, Treasury Square, jijini Dodoma.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (wa pili kulia), akiwa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Zanzibar, Dkt. Juma Malik Akil (wa pili kushoto), Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Jenifa Christian Omolo (wa kwanza kulia) na Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Dkt. Fred Msemwa (wa kwanza kushoto), wakionesha Mkakati wa Muda wa Kati wa Ukusanyaji wa Mapato wa Miaka mitatu (Medium Term Review Strategy) baada ya hafla ya uzinduzi wa Mkakati huo uliopangwa kutekelezwa kuanzia mwaka 2025/2026 hadi 2027/2028, pamoja na Kamati za usimamizi na utekelezaji wa Mkakati huo, katika ukumbi wa Kambarage, Treasury Square, jijini Dodoma.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (wa pili kushoto), akizindua Mkakati wa Muda wa Kati wa Ukusanyaji wa Mapato wa Miaka mitatu (Medium Term Review Strategy) kwa kutumia kishkwambi, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mkakati huo uliopangwa kutekelezwa kuanzia mwaka 2025/2026 hadi 2027/2028, pamoja na Kamati za usimamizi na utekelezaji wa mkakati huo, katika ukumbi wa Kambarage, Treasury Square, jijini Dodoma. Wengine katika picha ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Zanzibar, Dkt. Juma Malik Akil (wa kwanza kushoto), Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Jenifa Omolo (katikati), Kamishna wa Idara ya Uchambuzi wa Sera, Dkt. Johnson Nyella (wa pili kulia) na Mchumi Mwandamizi Idara ya Uchambuzi wa Sera, Dkt. Zuberi Kayumba.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (Kulia), akimkabidhi Mkakati wa Muda wa Kati wa Ukusanyaji wa Mapato wa Miaka mitatu (Medium Term Review Strategy), Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Zanzibar, Dkt. Juma Malik Akil, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mkakati huo ambao umepangwa kutekelezwa kuanzia mwaka 2025/2026 hadi 2027/2028 pamoja na Kamati za usimamizi na utekelezaji wa mkakati huo, katika ukumbi wa Kambarage, Treasury Square, jijini Dodoma.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (Kulia), akimkabidhi Mkakati wa Muda wa Kati wa Ukusanyaji wa Mapato wa Miaka mitatu (Medium Term Review Strategy), Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Dkt. Fred Msemwa, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mkakati huo ambao umepangwa kutekelezwa kuanzia mwaka 2025/2026 hadi 2027/2028 pamoja na Kamati za usimamizi na utekelezaji wa mkakati huo, katika ukumbi wa Kambarage, Treasury Square, jijini Dodoma.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (Kulia), akimkabidhi Mkakati wa Muda wa Kati wa Ukusanyaji wa Mapato wa Miaka mitatu (Medium Term Review Strategy), Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mkakati huo ambao umepangwa kutekelezwa kuanzia mwaka 2025/2026 hadi 2027/2028 pamoja na Kamati za usimamizi na utekelezaji wa mkakati huo, katika ukumbi wa Kambarage, Treasury Square, jijini Dodoma.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (Kulia), akimkabidhi Mkakati wa Muda wa Kati wa Ukusanyaji wa Mapato wa Miaka mitatu (Medium Term Review Strategy), Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Jenifa Christian Omollo, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mkakati huo ambao umepangwa kutekelezwa kuanzia mwaka 2025/2026 hadi 2027/2028 pamoja na Kamati za usimamizi na utekelezaji wa mkakati huo, katika ukumbi wa Kambarage, Treasury Square, jijini Dodoma.
Baadhi ya Washiriki wa halfa ya uzinduzi wa Mkakati wa Muda wa Kati wa Ukusanyaji wa Mapato wa Miaka mitatu (Medium Term Review Strategy) uliopangwa kutekelezwa kuanzia mwaka 2025/2026 hadi 2027/2028, pamoja na Kamati za usimamizi na utekelezaji wa mkakati huo, wakimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (hayupo pichani), akihutubia katika hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Kambarage, Treasury Square, jijini Dodoma.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (Katikati aliyeketi), Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Zanzibar, Dkt. Juma Malik Akil (kushoto aliyeketi) na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Jenifa Christian Omollo (kulia aliyeketi), wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya usimamizi na utekelezaji wa Mkakati wa Muda wa Kati wa Ukusanyaji wa Mapato wa Miaka mitatu (Medium Term Review Strategy), baada ya hafla ya uzinduzi wa Mkakati huo ambao umepangwa kutekelezwa kuanzia mwaka 2025/2026 hadi 2027/2028 pamoja na Kamati za usimamizi na utekelezaji wa mkakati huo, katika ukumbi wa Kambarage, Treasury Square, jijini Dodoma.

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (Katikati aliyeketi), Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Zanzibar, Dkt. Juma Malik Akil (kushoto aliyeketi) na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Jenifa Christian Omollo (kulia aliyeketi), wakiwa katika picha ya pamoja na Sekretarieti ya maandalizi ya hafla ya uzinduzi wa Mkakati wa Muda wa Kati wa Ukusanyaji wa Mapato wa Miaka mitatu (Medium Term Review Strategy), pamoja na Kamati za usimamizi na utekelezaji wa mkakati huo, iliyofanyika katika ukumbi wa Kambarage, Treasury Square, jijini Dodoma.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Dodoma)

About the author

Alex Sonna