marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

bets10

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

nesinecasino

tambet

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

grandpashabet

holiganbet

sekabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

palacebet

marsbahis

royalbet

elexbet giriş

kavbet

milanobet

restbet

imajbet

betoffice

imajbet

interbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

betparibu, betparibu giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betebet

restbet

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

betcup

holiganbet

holiganbet giriş

nakitbahis

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet giriş

betebet

gonebet, gonebet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriş

dinamobet

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

sahabet

starzbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas

pokerklas giriş

pokerklas giriş

kingroyal giriş

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

kıbrıs escort

jojobet

jojobet güncel giriş

ilbet

ilbet giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10

bets10 giriş

Tipobet

jojobet

türk ifşa

casinoroyal

İkimisli

casinofast

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10 giriş

jojobet

lunabet

lunabet giriş

betpas

betpas giriş

pokerklas

pokerklas giriş

mislibet

mislibet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Featured Kitaifa

BILIONI 51 ZA MRADI WA TACTIC KUONGEZA THAMANI YA JIJI LA MBEYA

Written by Alex Sonna
Na Mwandishi Wetu, Mbeya 
Mradi wa Uendelezaji Miji Tanzania (TACTIC) unatekeleza miradi yenye thamani ya Shilingi Bilioni 51 katika halmashauri ya jiji la Mbeya ikiwa ni uendelezaji wa jiji hilo katika eneo la miundombinu ya barabara, masoko na stendi.
Hayo yamesemwa na Mratibu wa mradi wa TACTIC jiji la Mbeya, Mhandisi Yunus Nsegobya wakati akielezea hali ya utekelezaji wa mradi huo unaogharamiwa na mkopo nafuu toka Benki ya Dunia ambapo jiji la Mbeya ni miongoni mwa majiji yanayonufaika na mradi huo.
Ameeleza kuwa mradi wa TACTIC katika jiji la Mbeya unatekeleza ujenzi wa barabara za lami zenye urefu wa Km 12.3, taa za barabarani, mitaro ya maji ya mvua Km 6.41 na ujenzi wa jengo la ofisi la kusimamia mradi kwa gharama ya Shilingi Bilioni 21 ambapo utekelezaji wake umefikia asilimia 70.
Vile vile, ameongeza kuwa wanatekeleza miradi mingine ikiwemo ujenzi wa Kituo Kikuu cha Mabasi eneo la “Old Airport” na Soko Kuu eneo la “Sokomatola” kwa gharama ya Shilingi Bilioni 30 ambapo miradi hiyo ikikamilika itaongeza mapato ya halmashauri kutoka Bilioni 24 hadi kufikia Bilioni 35 hadi 40.
Aidha, ameishukuru Serikali kwa kusikiliza kilio cha wananchi wa Mbeya kwa kuboresha miundombinu mbalimbali ambayo imepandisha thamani ya jiji hilo na wananchi sasa wananufaika na huduma za usafiri na usafirishaji, pia amewataka wananchi wa Mbeya kulinda miundombinu hiyo ili iweze kudumu kwa muda mrefu.
Naye, Mhandisi Boniface Kasambo Meneja wa TARURA wilaya ya Mbeya amesema miradi iliyotekelezwa ni ujenzi wa barabara ya Uyole-Itezi Km 1.8, Ilomba-Machinjioni Km 3.8, Kabwe-Block T Km 1.2, barabara ya Iziwa Km 2, barabara ya Kalobe Km 3.8 na mfereji wa maji ya mvua Km 6.41 ambapo barabara hizo zimeleta mabadiliko makubwa kwani sasa wakulima wanasafirisha mazao yao sokoni kwa urahisi.
Kwa upande wake, mkazi wa mtaa wa VETA-Machinjioni, Bw. Victor Mlay ameishukuru Serikali kwa miundombinu ya barabara ambayo imewezesha thamani ya maeneo yao kupanda, kuchochea biashara na kuboreka kwa huduma za usafiri na usafirishaji hivyo kuchangia kukua kwa fursa za kiuchumi na kijamii ambapo amesema taa za barabarani zikiwekwa mji utapendeza na biashara zitafanyika hadi usiku.
Mwalimu Ezekia Gwenino wa shule ya sekondari ya Uyole amesema hapo awali barabara zilikuwa na matope, mashimo, vumbi na maji yalikuwa yanajaa barabarani hali iliyopelekea kuwa na changamoto ya usafiri lakini sasahivi usafiri upo vizuri wanafunzi na walimu wanafika shuleni kwa wakati na amewaomba wananchi wenzake waitunze mifereji kwa kutotupa taka ili iweze kudumu muda mrefu.
Naye, Bi. Zena Nassor mfanyabiashara katika soko la Sokomatola ameishukuru Serikali kwa ujenzi wa soko jipya na kubwa la Sokomatola ambalo likikamilika wateja wataongezeka na watafanya biashara zao vizuri katika mazingira mazuri.

About the author

Alex Sonna