marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

marsbahis giriş

NervEase

sapanca escort

sapanca escort

escort sapanca

imajbet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

grandpashabet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

teosbet

madridbet

marsbahis

imajbet giriş

interbahis

klasbahis

piabellacasino

interbahis

klasbahis

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

pusulabet, pusulabet giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

holiganbet

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

timebet

trimology review

holiganbet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

kingroyal

dinamobet giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

Pusulabet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

ilbet giriş

ilbet

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

superbetin

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

casibom giriş

jokerbet

jokerbet giriş

imajbet

imajbet giriş

interbahis giriş

imajbet

matbet

savoybetting

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

porno izle

Hacklink Panel

palacebet

vdcasino giriş

bets10 giriş

interbahis

goldenbahis

imajbet

interbahis giriş

klasbahis

interbahis giriş

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

timebet giriş

jojobet

jojobet

bets10

trust score weak 3

holiganbet

slot siteler

deneme bonusu 2026

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

marsbahis giriş

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

ilbet

ilbet giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

alobet, alobet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

timebet

tarafbet

casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

padişahbet

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

betoffice

norabahis

betasus

padişahbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

marsbahis

matbet

sekabet giriş

imajbet

pusulabet

herabet

herabet

Featured Kitaifa

WANANCHI WAIPONGEZA SERIKALI UJENZI WA DARAJA LA MAWE KIJIJI CHA BUTURU

Written by Alex Sonna
Na Mwandishi Wetu, Butiama
Wananchi wa kijiji cha Buturu Wilayani Butiama Mkoani Mara wameipongeza Serikali kwa kuwajengea daraja ambalo linakuwa mkombozi kwa kupunguza vifo vya wajawazito wakati wa kijifungua pamoja na watoto kusombwa na maji wakati wa kwenda shule kutokana na kuwepo na bonde katika barabara kuu ya kijiji hicho.
Bw. Maningu kasombi, Mwenyekiti wa kijiji cha Buturu anasema kabla ya ujenzi wa daraja hilo la mawe wakazi wa kijiji hicho walikuwa inawalazimu kutumia gharama kubwa katika usafiri kwa kuzunguka vijiji vingine ili kufikia huduma za kijamii na ameweka wazi kuwa wajawazito asilimia kubwa walikuwa wanajifungulia njiani au majumbani kwa kukosa miundombinu mizuri ya barabara.
” Ubovu wa barabara ulikuwa unafanya akinamama kujifungulia njiani na wakati mwingine usafiri unakosekana hivyo wengi walikuwa wanajifungulia nyumbani lakini kwa sasa tunatumia barabara hii muda wowote na usafiri umekuwa wa gharama nafuu ukitofautisha na mwanzo ambapo tulikuwa tunatumia mpaka elfu 15 kufika butiama “amesema Maningu.
Licha ya changamoto hiyo ya wanawake kijifungua njiani pia Kijiji hicho kilikuwa chini kiuchumi kutokana na kushindwa kuuza mazao yao kwa wakati na kupelekea kudorora kwa mazao lakini kwa sasa wanaipongeza Serikali kwa ujenzi wa daraja hilo ambalo limeleta faraja kijini hapo na kuinua uchumi wa wananchi.
Kwa upande wake Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Buturu Bi. Grace Richard anaipongeza Serikali kwa ujenzi wa daraja hilo ambalo limeenda kuongeza maudhurio ya wanafunzi shuleni hapo tofauti na awali ambapo ilikuwa inawalazimu Wazazi na Waalimu kuwavusha watoto katika bonde hilo ili waweze kwenda shule kutokana na bonde hilo kuwa na maji mengi hali ambayo ilikuwa ikichangia utoro shuleni.
“Ilikuwa ikifika kipindi cha masika shule yetu ilikuwa na changamoto ya utoro kutokana na watoto wengi kushindwa kuvuka kwenye bonde na kuja shule ukizingatia wanafunzi wengi wapo upande wa pili na ilikuwa inatulazimu waalimu na wazazi kuwavusha watoto ili waweze kufika shule hii ilikuwa inaathiri wakati mwingine ufundishaji”
Awali akisoma Taarifa ya mradi wa ujenzi wa Daraja la mawe Meneja wa Tarura Wilaya ya Butiama Mhandisi Rashidi Kavandama amesema mradi huo umegaharimu kiasi cha Shilingi Milioni 299.26 na daraja lina ulefu wa Mita 32 na upana wa Mita 7.7 ambapo daraja hili ni sehemu ya Miradi ya maendeleo inayojengwa na Serikali ya awamu ya sita kupitia fedha za mfuko wa bodi ya Barabara.
Mhandisi Kavandama ameongeza kuwa ujenzi wa daraja hilo umekamilika kwa 100% na kukamilika kwa mradi huo kumesaidia wananchi kuzifikia huduma za kijamii kwa urahisi kama huduma za kiuchumi na kijamii kama vile Afya, Elimu na Biashara.
Aidha, Kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa Ndugu Ismail Ali Ussi amezindua daraja hilo ambalo limekuwa kiungo muhimu kwa wakazi wa kijiji cha Buturu na Chifu Wanzangi na kusema daraja hilo limeleta matumaini kwa Wananchi wa eneo hilo .
” Ombi langu kwa wananchi wa eneo hili nitumie fursa hii kuwaasa mtunze miundombinu hii ya daraja ili iweze kuwa imara zaidi na kutumika kwa muda mrefu zaidi”
Ussi pia ameipongeza Tarura kwa kutumia mawe kujenga daraja hilo kwani kumeweza kupunguza gharama za ujenzi kwa kiasi kikubwa tofauti kama wangeamua kulijenga kwa kutumia zege.
” Nawapongeza ofisi ya Tarura Mkoa wa Mara na Wilaya ya Butiama kwa kuwa wazalendo kwelikweli wameamua kujenga Daraja hili kwa kutumia mawe na limegharimu Fedha isiyozidi milioni 500 hili ni jambo la kuwapongeza kweli kwa uzalendo wao” 

About the author

Alex Sonna