Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

casibom giriş

pokerklas

royalbet

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

betpark giriş

istanbulbahis

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

ilbet

ilbet giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

galabet

İkimisli

onwin

grandpashabet

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

mobilbahis

casibom

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

artemisbet

mislibet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

grandpashabet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

güvenilir casino siteleri

Hacklink Panel

teosbet

vdcasino giriş

zirvebet

mislibet giriş

imajbet

jojobet

nerobet

jojobet giriş

artemisbet giriş

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

caddebet

jojobet

jojobet

holiganbet

trust score weak 3

jojobet giriş

ikimisli

tipobet

mislibet

jojobet adres

casibom

realbahis

ikimisli

queenbet

jojobet

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

jojobet giriş

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

betpas

1xbet giriş

holiganbet giriş

restbet

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

caddebet, caddebet giriş

pokerklas, pokerklas giriş

monobahis, monobahis giriş

superbetin

meritking

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

roketbet

cratosroyalbet

ligobet giriş

bets10 güncel giriş adresi

tempobet

jojobet giriş

perabet

ilbet

deneme bonusu

casibom güncel giriş

sweet bonanza siteleri

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

piabet

caddebet, caddebet giriş

google

ganobet

tophillbet

marsbahis

atlasbet

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

casibom güncel giriş

casibom giriş

sweet bonanza

casibom

betflix giriş

betflix

betturkey

grandpashabet

pusulabet

sekabet

marsbahis

vdcasino

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino giriş

ikimisli

queenbet

jojobet

holiganbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom giriş

casibom

mavibet

meritking giriş

meritking

marsbahis

betsmove

betsmove

mavibet

holiganbet giriş

jojobet

goldenbahis

holiganbet

galabet

holiganbet

mislibet

casibom

imajbet

Hacklink panel

betturkey

jojobet

google giir

jojobet

madridbet

realbahis

casibom giriş

royalbet

jojobet giriş

royalbet

casibom giriş

casibom giriş

casibom

merit

bahsegel

bahsegel giriş

betturkey

betturkey giriş

sahabet

meritking giriş

meritking

betpas

betgaranti

betoffice

timebet

Bet365 Giriş

betturkey

betturkey giriş

atlasbet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

casibom

vdcasino

mislibet giriş

betpark

betpark

betpark giriş

betpark

betpark

betpark güncel giriş

betpark giriş

runtobet

runtobet giriş

1xbet

monobahis, monobahis giriş

betine

jojobet

betvole

betvole

betkolik

betkolik

betplay

betplay

aresbet

aresbet

alfabahis

alfabahis

gobahis

gobahis

livebahis

livebahis

atlasbet

atlasbet

ultrabet

ultrabet

marsbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis

coinbar

coinbar

elitcasino

elitcasino

bahisfair

bahisfair

gonebet

gonebet

betovis

betovis

golegol

goldenbahis

pokerklas, pokerklas giriş

jestbahis, jestbahis giriş

deneme bonusu

Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AHIMIZA AMANI NA UTULIVU NCHINI: ACHANGIA KANISA MILIONI 50

Written by Alex Sonna
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb)(Kulia), akipokea Tuzo Maalamu kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Dodoma, Baba Askofu Dkt. Christian Ndossa, kwa kutambua juhudi zake katika kuwahudumia wananchi, wakati wa halfa ya Uzinduzi wa Harambee ya Ujenzi wa Ofisi Kuu ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Dodoma, iliyofanyika katika eneo la mradi-Nzuguni C, Jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb)(Katikati), akikata utepe kuashiria kuanza kwa mradi wa Ujenzi wa Ofisi Kuu ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Dodoma, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Harambee ya Ujenzi wa Ofisi Kuu ya Kanisa hilo, iliyofanyika katika eneo la mradi-Nzuguni C, Jijini Dodoma. Wengine katika picha ni Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Dodoma, Baba Askofu Dkt. Christian Ndossa (wa pili kulia), Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Mhe. Alhaji Jabir Shekimweli (wa pili kushoto) na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mipango, Uchumi na Utawala wa Kanisa hilo, Dayosisi ya Dodoma, CPA Edmund Mugasha (kushoto).
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akichimba kwa Sururu eneo la Mradi wa Ujenzi wa Ofisi Kuu ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Dodoma, kuashiria kuanza kwa ujenzi huo, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Harambee ya Ujenzi wa Ofisi Kuu ya Kanisa hilo, iliyofanyika katika eneo la mradi-Nzuguni C, Jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiendesha harambee ya  kuchangia Ujenzi wa Ofisi Kuu ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Dodoma, iliyofanyika katika eneo la mradi-Nzuguni C, Jijini Dodoma, akimwakilisha Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambapo pamoja na mambo mengine aliwasihi wananchi wote wakiwemo waumini wa dini na madhehebu mbalimbali kushiriki kikamilifu katika uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu ili kutimiza wajibu wao wa kidemokrasia wa kuchagua na kuchaguliwa.
 
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Dodoma)
Na Benny Mwaipaja, Dodoma
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa madhehebu ya dini nchini kuendelea kuliombea Taifa ili kudumisha amani na utulivu uliopo pamoja na kutekeleza mipango yao ya maendeleo inayolenga kuihudumia jamii kwa kuzingatia Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 iliyozinduliwa hivi karibuni.
 
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa wito huo katika Hotuba iliyosomwa kwa niaba yake na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), alipomwakilisha katika Uzinduzi wa Harambee ya Ujenzi wa Ofisi Kuu ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Dodoma, iliyofanyika katika eneo la mradi-Nzuguni C, Jijini Dodoma.
 
Akitoa salamu hizo za Mhe. Rais, Dkt. Nchemba alisisitiza umuhimu wa wananchi wote kuwaepuka watu ama makundi ya watu waliodhamiria kuvuruga amani ya nchi kwa sababu bila amani nchi haiwezi kupata maendeleo kama ambavyo hivi sasa nchi inavyopiga hatua kubwa katika sekta mbalimbali za kiuchumi na kijamii.
 
Aidha, alitoa wito kwa wananchi wote wakiwemo waumini wa dini na madhehebu mbalimbali kushiriki kikamilifu katika uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu ili kutimiza wajibu wao wa kidemokrasia wa kuchagua na kuchaguliwa.
 
Aidha, Dkt. Nchemba alisisitiza kuwa, Serikali inatambua mchango mkubwa wa madhehebu ya dini katika maendeleo ya nchi kutokana na huduma mbalimbali za kiroho na kimwili zinazotolewa na Taasisi hizo ikiwemo afya, elimu na maji.
 
Alisema kuwa katika kuunga mkono ushirikiano huo, Serikali ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, imefanyiakazi changamoto mbalimbali zilizowasilishwa na Viongozi wa Dini ikiwemo kusamehe kodi kwenye vitu vinavyoagizwa na madhehebu ya dini na kwamba ushirikiano huo utanedelea kudumishwa.
 
Akitoa taarifa ya mradi huo, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mipango, Uchumi na Utaweala wa Kanisa la Kiinjuili la Kilutheri Tanzania, Dayosisi ya Dodoma, CPA Edmund Mugasha alisema kuwa zaidi ya shilingi bilioni 10 zinahitajika kutekeleza mradi huo na kwamba tayari waumini wa Kanisa hilo wamechanga zaidi ya shilingi milioni mia sita kupitia michango na sadaka zao.
 
Alisema kuwa awamu ya kwanza ya ujenzi wa mradi huo mkubwa inatarajia kutumia shilingi bilioni 3 na kwamba mradi huo umepangwa kutekelezwa katika kipindi cha miaka 7.
 
Kwa upande wake, Mkuu wa Kanisa la Kiingili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Dodoma, Baba Askofu Dkt. Christian Ndossa, aliishukuru Serikali kwa mchango mkubwa katika ustawi na maendeleo ya Taasisi za dini nchini.
 
Aidha, aliiomba Serikali itatue baadhi ya changangamoto za mradi huo ikiwemo maombi ya kurejeshewa eneo la mita za mraba elfu 28 ambazo zilimegwa na wananchi waliovamia eneo lao na kuahidiwa na Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwamba wangerejeshewa eneo hilo.
 
Katika Harambee hiyo inayokusudia kupata fedha za kujenga Ofisi za Makao Makuu ya Dayosisi ya Dodoma na Jengo la Kitega uchumi, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amechangia shilingi milioni 50 huku Dkt. Nchemba akichangia shilingi milioni 25 na kuendesha Harambee ambapo kiasi kilichopatikana ni shilingi milioni 173.5 kikihusisha ahadi ya shilingi 159.7 na fedha taslimu shilingi milioni 13.8 pamoja na vifaa vya ujenzi.

About the author

Alex Sonna