Featured Kitaifa

BALOZI DKT. CHANA AKIWASILI BUNGENI KUWASILISHA BAJETI

Written by mzalendo

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) akiwasili Bungeni kwa ajili ya kuwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mwaka wa fedha 2025/2026 leo Mei 19, Bungeni jijini Dodoma.

About the author

mzalendo