marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

bets10

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

nesinecasino

tambet

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

grandpashabet

holiganbet

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

palacebet

marsbahis

royalbet

artemisbet

kavbet

parmabet

mislibet

imajbet giriş

artemisbet

imajbet

interbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

betparibu, betparibu giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betebet

restbet

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

nakitbahis

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet giriş

betebet

gonebet, gonebet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriş

dinamobet

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

sahabet

madridbet giriş

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas

pokerklas giriş

holiganbet

kingroyal giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

kıbrıs escort

jojobet

jojobet güncel giriş

xslot

xslot giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10

bets10 giriş

Tipobet

jojobet

Grandpashabet

türk ifşa

İkimisli

casinofast

bets10

bahibom

marsbahis

betsin

celtabet

casino zonder cruks

Featured Kitaifa

AMREF TANZANIA YAADHIMISHA SIKU YA MKUNGA DUNIANI 2025

Written by Alex Sonna
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Anamringi Macha (kushoto) akipewa maelezo katika banda la Amref Tanzania wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mkunga Duniani yaliyofanyika kitaifa mkoani humo.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Anamringi Macha akizungumza na wananchi, wageni na wadau mbalimbali waliohudhuria maadhimisho ya Siku ya Mkunga Duniani yaliyofanyika kitaifa mkoani humo.
Wananchi na wageni mbalimbali wakipata maelezo katika banda la Amref Tanzania wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mkunga Duniani yaliyofanyika kitaifa Mkoani Shinyanga.
Wageni na wadau mbalimbali wakifuatilia hotuba wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mkunga Duniani yaliyofanyika kitaifa mkoani Shinyanga.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Anamringi Macha akiwa katika picha ya pamoja na wageni na wadau wa maendeleo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mkunga Duniani yaliyofanyika kitaifa mkoani humo.
Watumishi wa Shirika la Amref Tanzania katika picha ya pamoja wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mkunga Duniani yaliyofanyika kitaifa mkoani Shinyanga.
****
Katika kuadhimisha Siku ya Mkunga Duniani kitaifa iliyofanyika mkoani Shinyanga, Shirika la Amref Health Africa Tanzania limeeleza mafanikio makubwa ya Mradi wa Thamini Uzazi Salama, unaolenga kuboresha huduma za afya ya uzazi kwa wanawake na watoto wachanga kupitia uwezeshaji wa wakunga na wahudumu wa afya ngazi ya jamii.
Akizungumza katika maadhimisho hayo yaliyofanyika katika viwanja vya Zimamoto, Meneja wa Programu ya Afya ya Uzazi, Mama, Mtoto na Vijana wa Amref Tanzania, Dkt. Serafina Mkuwa alisema:
 “Mradi huu unafadhiliwa na Global Affairs Canada (GAC) na unasimamiwa na UNFPA. Unalenga kuongeza upatikanaji wa wakunga wenye ujuzi na kuboresha huduma katika vituo vya afya, taasisi za mafunzo na kwa wahudumu wa afya ngazi ya jamii”.
Dkt. Mkuwa aliongeza kuwa kwa kipindi cha Januari hadi Desemba 2024, mradi huo umefanikiwa kuwafikia watu 17,167 kupitia uhamasishaji wa afya ya uzazi, jinsia na ukatili wa kijinsia (GBV), kutoa mafunzo kwa waelimishaji rika wa kiume 142, na kuimarisha uwezo wa wasimamizi 112 wa wahudumu wa afya ngazi ya jamii (CHW) kupitia jukwaa la LEAP.
 “Mradi pia umewezesha CHW 112 kwa kuwapatia simu za mkononi, kuwawezesha viongozi wa jamii 424 kuhusu jinsia na haki za afya ya uzazi, na kuwajengea uwezo wajumbe wa kamati za usimamizi wa vituo vya afya na wakuu wa vituo 518 kuhusu bajeti na mipango ya afya,” alieleza zaidi Dkt. Mkuwa.
Kwa upande wake, Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha, aliishukuru Serikali kwa kuimarisha miundombinu ya afya mkoani humo, akisema:
“Kati ya mwaka 2015/2016, asilimia 66 ya wanawake walijifungulia katika vituo vya afya. Kwa sasa idadi imeongezeka hadi asilimia 85. Hii ni hatua kubwa kuelekea kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi.”
Rais wa Chama cha Wakunga Tanzania, Dkt. Beatrice Milike, alisisitiza mchango wa wakunga nchini.
“Wakunga hutoa asilimia 90 ya huduma za afya ya uzazi nchini. Ikiwa watawezeshwa kwa mafunzo na vifaa, wanaweza kupunguza vifo vya mama na mtoto kwa zaidi ya asilimia 87,” alisema Dkt. Milike.
Kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni “Mkunga ni Nguzo Muhimu katika Kila Janga”, ikionyesha umuhimu wa wakunga hasa katika nyakati za dharura kama vile majanga ya kiafya na kijamii.
Mradi wa Thamini Uzazi Salama umeendelea kuwa mfano bora wa ushirikiano kati ya serikali, mashirika ya kimataifa na jamii katika kuhakikisha uzazi salama na kupunguza vifo vinavyoweza kuzuilika kwa mama na mtoto nchini Tanzania.

About the author

Alex Sonna