Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

aresbet, aresbet giriş

betcio, betcio giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

tipobet

jojobet

ilbet

ilbet giriş

pulibet

cratosroyalbet

tarafbet

süratbet

betgar giriş

bets10 güncel giriş adresi

betsat giriş

betebet

jojobet giriş

ilbet

hilbet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

Ankara escort

casibom

güvenilir bahis siteleri

film izle

vdcasino giriş

betasus

marsbahis, marsbahis giriş

Google

bahiscasino

ultrabet

betasus

casibom

Greece Fentanyl Buy

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

jojobet

jojobet

casibom giriş

jojobet giriş

sweet bonanza giriş

sweet bonanza

deneme bonusu

sekabet

grandpashabet

holiganbet

pusulabet

marsbahis

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

limanbet

marsbahis

betnano

parmabet

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

aresbet giriş

aresbet

mislibet

marsbahis

marsbahis

mavibet

meritking

marsbahis giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

marsbahis güncel giriş

limanbet

bahiscasino giriş

royalbet

mislibet

aresbet

royalbet

parmabet

holiganbet

Hacklink panel

betpas

jojobet

Google

jojobet

holiganbet

bahiscasino giriş

mislibet giriş

royalbet giriş

royalbet giriş

marsbahis giriş

perabet

betpark

parmabet

primebahis

tümbet

tümbet giriş

otobet

otobet giriş

sahabet

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

mavibet giriş

timebet

timebet

casibom giriş

meritbet

casibom

uyuşturucu satın al

matbet

runtobet

runtobet giriş

1xbet

pokerklas, pokerklas giriş

meritbet

jojobet

perabet giriş

perabet

betnano giriş

betpark giriş

gobahis giriş

betnano

betnano giriş

bahiscasino

gobahis

limanbet giriş

betnano giriş

parmabet giriş

betnano

betkolik giriş

perabet giriş

gobahis giriş

royalbet giriş

aresbet giriş

vaycasino giriş

betkolik

bahiscasino

gobahis giriş

bahiscasino giriş

bahiscasino

aresbet giriş

marsbahis giriş

parmabet giriş

betpark

perabet giriş

mislibet giriş

perabet

limanbet giriş

limanbet giriş

grandbetting

parmabet

matbet, matbet giriş

betcio, betcio giriş

deneme bonusu

süratbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

ikimisli

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

betgit

turkey dental implants

mavibet

mavibet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

süratbet

jojobet giriş

betvoy

meritking

meritking giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

aresbet

mislibet giriş

gobahis

limanbet

mislibet

mavibet

mavibet giriş

mavibet

aresbet giriş

kavbet

kavbet giriş

ikimisli giriş

ikimisli

ikimisli giriş

ultrabet

ultrabet giriş

mavibet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Jojobet

Jojobet

Featured Kitaifa

VIJANA NCHINI WATAKIWA KUZITUMIA FURSA ZA KILIMO ZINAZOTOLEWA NA SERIKALI

Written by Alex Sonna

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli,akisisitiza jambo kwa washiriki  wakati akifungua mdahalo wa kitaifa wa  wadau wa kilimo ulioandaliwa na Taasisi ya Kilimo Roundtable Afrika(KRTA) kwa ushirikiano na Chuo cha Uchumi na Mchongo TV uliofanyika leo Aprili 24,2025 jijini Dodoma.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli,akizungumza wakati akifungua mdahalo wa kitaifa wa  wadau wa kilimo ulioandaliwa na Taasisi ya Kilimo Roundtable Afrika(KRTA) kwa ushirikiano na Chuo cha Uchumi na Mchongo TV uliofanyika leo Aprili 24,2025 jijini Dodoma.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli,akizungumza wakati akifungua mdahalo wa kitaifa wa  wadau wa kilimo ulioandaliwa na Taasisi ya Kilimo Roundtable Afrika(KRTA) kwa ushirikiano na Chuo cha Uchumi na Mchongo TV uliofanyika leo Aprili 24,2025 jijini Dodoma.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli,akizungumza wakati akifungua mdahalo wa kitaifa wa  wadau wa kilimo ulioandaliwa na Taasisi ya Kilimo Roundtable Afrika(KRTA) kwa ushirikiano na Chuo cha Uchumi na Mchongo TV uliofanyika leo Aprili 24,2025 jijini Dodoma.

Sehemu ya washiriki wakifatilia hotuba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli (hayupo pichani)  wakati akifungua mdahalo wa kitaifa wa  wadau wa kilimo ulioandaliwa na Taasisi ya Kilimo Roundtable Afrika(KRTA) kwa ushirikiano na Chuo cha Uchumi na Mchongo TV uliofanyika leo Aprili 24,2025 jijini Dodoma.

Sehemu ya washiriki wakifatilia hotuba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli (hayupo pichani)  wakati akifungua mdahalo wa kitaifa wa  wadau wa kilimo ulioandaliwa na Taasisi ya Kilimo Roundtable Afrika(KRTA) kwa ushirikiano na Chuo cha Uchumi na Mchongo TV uliofanyika leo Aprili 24,2025 jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

KATIBU  Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli amesema mradi wa Mashamba ya Vijana wa Jenga Kesho Iliyobora (BBT) umeendelea kuimarika nchini huku vijana 12 waliokuwa wakiilalamikia wizara hiyo  kwenye mitandao ya kijamii kwa kutoa pesa ndogo ya kujikimu walioondolewa kutokana na kuonesha kutokuwa tayari kuwapo kwenye mradi huo.

Bw.Mweli ametoa kauli hiyo leo Aprili 24,2025 jijini Dodoma,wakati  akifungua mdahalo wa kitaifa wa wadau wa kilimo ulioandaliwa na Taasisi ya Kilimo Roundtable Afrika(KRTA) kwa ushirikiano na Chuo cha Uchumi na Mchongo TV.

Amesema kuwa Vijana wengi wao hawakuwa na elimu ya kilimo pamoja na ardhi ambavyo vyote walipatiwa na serikali baada ya kujiunga na mradi huo.

“Niwaambie wale waliokuwa wanashinda mitandaoni 12 tumewaacha, tunaendelea na wale walio tayari tusafiri pamoja tutoke huku tuliko,vijana tufahamu nchi hii ni lazima tuijenge wenyewe na kuna fursa kwa kuwa serikali imeamua kufungua milango,”

“Tuna BBT yanasemwa maneno mengi sana na wanaosema ni wale waliochukuliwa wakipewa mashamba, mbegu, vifaa na masoko na alichukuliwa akiwa hana ajira tunawaambia lima hapa sisi tutanunua, wanasema mbona posho ndogo na huyo mtu alikuwa hana posho wala kazi sasa anaona ndogo,”amesema Bw.Mweli.

Aidha amesema kuwa  mpaka hivi sasa mradi huo unaendelea vizuri huku akiwataka vijana kuzitumia fursa za kilimo zinazotolewa na Serikali.

Hata hivyo amefafanua  kwenye mradi huo kuna program sita ikiwamo ya kuajiri vijana waliosomea kilimo na tayari 2000 wameajiriwa kwa mkataba kupitia Chuo cha Kilimo Sokoine (SUA) na wamesambazwa nchini.

“Tunawapatia pia mikopo ya riba nafuu na tumepunguza masharti magumu hakuna uwekaji dhamana zaidi ya kulipa bima ya mkopo, niwatangazia vijana wote ambao wanafanya kweli miradi ya kilimo wachangamkie mikopo,”amesema 

Pia, amesema kuwa Serikali kupitia Halmashauri zimeanzisha mashamba mengine kwenye maeneo hayo kwa ajili ya vijana kufanya kilimo na hadi sasa Halmashauri 18 zina mashamba hayo.

Kwa upande wake  Mkurugenzi Mtendaji na Mwanzilishi wa Kilimo Roundtable Africa(KRTA),Bi. Rhoda Magoiga amesema kuwa taasisi hiyo inatekeleza mpango mkakati wake wa miaka mitano 2025-2029 unaojikita kwenye ujenzi wa sekta ya kilimo iliyo shindani, jumuishi na endelevu kutokana na sekta hiyo kubeba matumaini ya vijana, familia na jamii za vijijini na mijini.

 “Miaka mitano zaidi ya wakulima 50,000 watafikiwa kupata mafunzo, mitandao ya masoko na teknolojia.”amesema Bi.Rhoda

Aidha ametaja  changamoto zinazohitaji nguvu ya pamoja kukabiliana nazo kuwa kwenye sekta hiyo kuwa ni tija ndogo, upungufu wa miundombinu ya kuhifadhi na kusindika mazao, upatikanaji wa fedha za uwekezaji na ukosefu wa taarifa sahihi kwa wakati muafaka.

About the author

Alex Sonna