Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

avrupabet

vipslot

betcool

betlivo

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

kareasbet

hazbet

betra

meritking giriş

marsbahis

meritking

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

betra

gobahis

casival

casival

betcool

avrupabet

celtabet

jojobet

Hacklink panel

norabahis

kingroyal

Google

holiganbet

marsbahis

luxbet

hepbet

millibahis giriş

gobahis

vipslot

betface

elitbahis giriş

betcool

primebahis

betturkey

betturkey giriş

otobet

otobet giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

betlike

piabellacasino

timebet

betpark giriş

holiganbet

betpark

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

betewin

jojobet

vipslot

betnis

betmarino giriş

aresbet

aresbet

avrupabet giriş

betface

luxbet

betmarino

casival giriş

betlivo giriş

realbahis

gallerbahis

gallerbahis

aresbet giriş

parmabet

betnis

elitbahis

marsbahis

betra giriş

celtabet giriş

parmabet giriş

vipslot giriş

hazbet giriş

elitbahis

luxbet giriş

hepbet

lordcasino

parmabet

lordcasino

kareasbet

betcool giriş

realbahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

cratosroyalbet

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

parmabet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

madridbet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

jojobet

grandpashabet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet giriş

marsbahis

sweet bonanza

realko

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

betlivo

millibahis

millibahis

celtabet

millibahis

parmabet giriş

mavibet giriş

coinbar

coinbar

mislibet giriş

mavibet

parmabet giriş

parmabet

bahiscasino

mavibet

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

marsbahis

betsat giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

betsat

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

betcio

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis

marsbahis

betturkey giriş

Featured Kitaifa

TAWIFA YAZINDUA KAMPENI YA MTI PESA NA CLUB ZA FEDHA MASHULENI JIJINI DODOMA

Written by Alex Sonna

KATIBU  Tawala wa Mkoa wa Dodoma, Kaspar Mmuya,akiumwangia Maji Mti alioupanda wakati akizindua kampeni ya upandaji miti inayokwenda kwa jina la Mti Pesa katika Shule ya Msingi Mtumba iliyoratibiwa na Chama cha Wanawake kwenye Sekta ya Fedha(TAWIFA) . 

KATIBU  Tawala wa Mkoa wa Dodoma, Kaspar Mmuya,akimpongeza Rais wa Chama cha Wanawake kwenye Sekta ya Fedha (TAWIFA) Bi. Fikira Ntomola,wakati akipanda Miti katika Shule ya Msingi Mtumba jijini Dodoma iliyoratibiwa na Chama cha Wanawake kwenye Sekta ya Fedha(TAWIFA) . 

 

Wanafunzi Shule ya Msingi Mtumba jijini Dodoma wakipanda Miti.

KATIBU  Tawala wa Mkoa wa Dodoma, Kaspar Mmuya,akizungumza na Waandishi wa habari mara baada ya kuzindua  kampeni ya upandaji miti inayokwenda kwa jina la Mti Pesa katika Shule ya Msingi Mtumba jijini Dodoma iliyoratibiwa na Chama cha Wanawake kwenye Sekta ya Fedha(TAWIFA) . 

Rais wa Chama cha Wanawake kwenye Sekta ya Fedha (TAWIFA) Bi. Fikira Ntomola,akizungumza na Waandishi wa habari mara baada ya kuzinduliwa kwa kampeni ya upandaji miti inayokwenda kwa jina la Mti Pesa katika Shule ya Msingi Mtumba jijini Dodoma iliyoratibiwa na Chama cha Wanawake kwenye Sekta ya Fedha(TAWIFA) . 

 

KATIBU  Tawala wa Mkoa wa Dodoma, Kaspar Mmuya,akigawa vitabu vya elimu ya fedha kwa Wanafunzi wa  Shule ya Msingi ya Mtumba jijini Dodoma mara baada ya kuzindua club za Fedha Mashuleni. 

Rais wa Chama cha Wanawake kwenye Sekta ya Fedha (TAWIFA) Bi. Fikira Ntomola,akiwa na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mtumba wakiwa wameshikilia Vitabu mara baada ya Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma, Kaspar Mmuya (hayupo pichani) kuzindua club za Fedha Mashuleni. 

KATIBU  Tawala wa Mkoa wa Dodoma, Kaspar Mmuya,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya  kuzindua  kampeni ya upandaji miti inayokwenda kwa jina la Mti Pesa katika Shule ya Msingi Mtumba jijini Dodoma iliyoratibiwa na Chama cha Wanawake kwenye Sekta ya Fedha(TAWIFA) .

Na.Alex Sonna-DODOMA
KATIBU  Tawala wa Mkoa wa Dodoma, Kaspar Mmuya, amezindua kampeni ya upandaji miti inayokwenda kwa jina la Mti Pesa ililofanyika katika maeneo ya wazi ya shule ya msingi Mtumba iliyoratibiwa na Chama cha Wanawake kwenye Sekta ya Fedha(TAWIFA) ambayo imeenda sambamba na Uzinduzi club za Fedha Mashuleni.
Akizungumza leo Aprili 11,2025 jijini Dodoma mara baada ya kuzindua kampeni hiyo Bw.Mmuya amesema kuwa  jumla ya miti  ya matunda 2000 inatarajiwa  kupandwa katika Shule 4 za Msingi zilizopo katika  Mkoa wa Dodoma ambapo miti 500 ya matunda iliyotolewa na Chama cha Wanawake katika Sekta ya Fedha (TAWIFA) imepandwa  katika  Shule ya Msingi Mtumba Jijini Dodoma. 
Bw.Mmuya  amesema lengo la kupanda miti hiyo ya Matunda mashuleni ni pamoja na kuwafundisha watoto kuwa chanzo cha mapato kinaweza kupatikana hata kwa kupanda miti hasa miti ya matunda.
“Kwa Wastani kipato cha mtu mmoja mmoja Dodoma hakizidi milioni 2 kwa mwaka, kwahiyo tukasema kwa kupanda  miti ya matunda tunategemea kiwe ni chanzo kikubwa cha familia na mtu mmoja mmoja kukuza kipato,kwahiyo tumeanza na shule tano ikiwemo hii ya Mtumba kwa kupanda miti 500 lakini kwa zote 5 tutapanda miti 2000 lengo likiwa ni kufundisha watoto kuwa chanzo cha mapato kinaweza kupatikana hata kwa kupanda miti hususan ya Matunda”.amesema Bw.Mmuya
Amesema katika shule hizo nne, itapandwa miti 2,000 kwa mgawanyo wa miti 500 kila shule, huku lengo ni kuwafundisha watoto kuwa mapato yanawezekana kupatikana kwa kupanda miti ya matunda.
Hata hivyo amesema katika kipindi cha kati ya mwaka 2017, kampeni ya kukijanaisha Mkoa wa Dodoma, imeweza kupanda miti milioni 16.
Aidha, amesema wametenga bajeti katika halmashauri zote nane za Mkoa wa Dodoma kwa ajili ya upandaji wa miti kupitia programu ya ‘mti wangu birthday yangu’.
Amesema kila halmashauri imepanga bajeti isiyopungua Sh10 milioni kwa ajili ya upandaji na utunzaji wa miti hususani ya matunda katika mwaka 2025/26.
Kwa upande wake  Rais wa Chama cha Wanawake kwenye Sekta ya Fedha (TAWIFA) Bi. Fikira Ntomola amesema kuwa wao wanataka kuonesha kuwa kupanda miti sio kwa ajili ya kutunza Mazingira tu bali hata katika katika kuchochea uchumi wa Nchi kwa kuhamasisha kupanda miti ya Matunda kama wao wanavyofanya katika Kampeni yao.
“TAWIFA  inazundua Kampeni kubwa inayoitwa mti pesa na imekuja na Kampeni hii kwaajili ya  kusukuma zaidi ajenda ya kukijanisha Dodoma lakini kukabailiana na mabadiliko ya tabia ya nchi na hali ya hewa kwa ujmla tukianza na Mkoa wa Dodoma ambapo pia tunataka kuonesha kuwa kupanda miti sio kwaajili ya kutunza Mazingira tu lakini pia inachochea uchumi wa nchi yetu “amesema 
Aidha  amesema kwa kupanda miti hiyo,kunamjenga mwanafunzi kujiwekea dhamira kuwa hakuna kitu kinachokuja kirahisi bila kufanya kazi.
Amesema shughuli ya upandaji miti, itafuatiwa na utoaji wa elimu ya fedha kwa wanawake wajasiriamali wa Mkoa wa Dodoma na mkutano mkuu wa mwaka.

Naye Mkuu wa Shule ya Msingi Mtumba Mwl.Kepha kitutu amemuhakikishia Katibu Tawala utunzwaji wa miti hiyo kwani itasaidia shule hiyo katika kutunza mazingira, kuwapatia vivuli na wanafunzi kujipatia chakula chenye lishe. 

About the author

Alex Sonna