Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

avrupabet

vipslot

betcool

betlivo

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

kareasbet

hazbet

betra

meritking giriş

marsbahis

meritking

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

betra

gobahis

casival

casival

betcool

avrupabet

celtabet

jojobet

Hacklink panel

norabahis

kingroyal

Google

holiganbet

marsbahis

luxbet

hepbet

millibahis giriş

gobahis

vipslot

betface

elitbahis giriş

betcool

primebahis

betturkey

betturkey giriş

otobet

otobet giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

betlike

piabellacasino

timebet

betpark giriş

holiganbet

betpark

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

betewin

jojobet

vipslot

betnis

betmarino giriş

aresbet

aresbet

avrupabet giriş

betface

luxbet

betmarino

casival giriş

betlivo giriş

realbahis

gallerbahis

gallerbahis

aresbet giriş

parmabet

betnis

elitbahis

marsbahis

betra giriş

celtabet giriş

parmabet giriş

vipslot giriş

hazbet giriş

elitbahis

luxbet giriş

hepbet

lordcasino

parmabet

lordcasino

kareasbet

betcool giriş

realbahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

cratosroyalbet

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

parmabet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

madridbet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

jojobet

grandpashabet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet giriş

marsbahis

sweet bonanza

realko

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

betlivo

millibahis

millibahis

celtabet

millibahis

parmabet giriş

mavibet giriş

coinbar

coinbar

mislibet giriş

mavibet

parmabet giriş

parmabet

bahiscasino

mavibet

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

marsbahis

betsat giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

betsat

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

betcio

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis

marsbahis

betturkey giriş

Featured Kitaifa

NELSON MANDELA YAZINDUA KITUO CHA MAFUNZO NA UTAFITI WA TEKNOLOJIA ZA UFUGAJI WA KISASA

Written by Alex Sonna

 

Makamu Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na ya Teknolojia ya Nelson Mandela,Prof. Maulilio Kipanyula, akizindua rasmi Kituo cha Teknolojia ya kisasa ya ufugaji Fanisi kwa kumuingiza ng’ombe katika banda Aprili 11,2025 Kampasi ya Tengeru jijini Arusha.

……..

TAASISI ya Afrika ya Sayansi na ya Teknolojia ya Nelson Mandela imezindua kituo maalum cha utafiti wa teknolojia za kisasa kwa ufugaji fanisi kinacholenga kutatua changamoto za ufuguji wa ng’ombe wa maziwa ikiwemo kutoa taarifa ya maradhi, chakula na muda sahihi wa joto kwa ajili kupandikiza.

Akizungumza wakati wa kuzindua kituo hicho Aprili 11, 2025 katika kampasi ya Tengeru, jijini Arusha, Makamu Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na ya Teknolojia ya Nelson Mandela,Prof. Maulilio Kipanyula, ameeleza kuwa, kazi kubwa ya taasisi hiyo ni kuzalisha teknolojia mpya pamoja na kuhuisha zilizopo lengo likiwa ni kutatua changamoto mbalimbali zinazoikabili jamii pamoja na viwanda.

“Kituo hiki kitawezesha wafugaji wa ng’ombe wa maziwa kujifunza kwa kina namna ya kutumia teknolojia ya kisasa kupitia kifaa maalum cha donge kitakachowekwa kwenye tumbo la ng’ombe ili kujua kiasi sahihi cha chakula, maji na muda sahihi kupanda kwa joto kwa ajili ya upandikizaji” Prof. Kipanyula.

Aidha Prof. Kipanyula ameleza kuwa, kifaa hicho baada ya kuwekwa kwa mnyama hufungwa katika banda na kuunganisha mawasiliano katika simu hivyo kumuwezesha mfugaji kutembea na mifugo yake kiganjani kwa kupata taarifa muhimu zinazosaidia kujua na kutekeleza uhitaji kwa wakati.

“Teknolojia hii itasaidia kuondokana na changamoto ya kukisia kuhusu ulaji, unywaji na upandishaji joto kwa ng’ombe, jambo ambalo litaongeza uzalishaji wa maziwa pamoja na ndama” Anasema Prof. Kipanyula

Kwa Takwimu ng’ombe anatakiwa kupata ndama kila mwaka lakini kutokana na changamoto ya ulishaji na kupata taarifa kwa wakati kuhusu kupandishwa kwa joto la mnyama, wafugaji wamekuwa wakipata ndama kila baada ya miaka miwili hadi mitatu jambo ambalo linadunisha uzalishaji.

Naye Mratibu wa Mradi Prof. Gabriel Shirima ,ameeleza kuwa, mbali na kituo hicho mradi unawasimamia wafugaji 100 katika vijiji vitano vya Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro kwa kuwawezesha kifaa hicho maalum ili kupata taarifa sahihi kuhusu mnyama katika masuala ya lishe na joto.

“Kituo kitajikita katika kufanya utafiti, kutambua aina ya mifugo na ulishaji wake, kutambua ng’ombe akiwa ameingia joto kwa wakati , unywaji wa maji kwa mnyama, kuendeleza , kupima na kuhuisha teknolojia zilizopo pamoja na kutoa mafunzo kwa wafugaji kwa kushirikiana na wadau mbalimbali “ amesisitiza Prof. Shirima

Kituo hiki cha tenknolojia kinafanya kazi chini ya Mradi wa tathmini ya ufanisi wa teknolojia za kisasa za ufugaji wa mifugo barani Afrika kwa ufadhili wa Bill na Melinda Gates Foundation nchini Marekani.

Makamu Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na ya Teknolojia ya Nelson Mandela,Prof. Maulilio Kipanyula, akizindua rasmi Kituo cha Teknolojia ya kisasa ya ufugaji Fanisi kwa kumuingiza ng’ombe katika banda Aprili 11,2025 Kampasi ya Tengeru jijini Arusha.

 Naibu Makamu Mkuu wa Taasisi Taaluma, Utafiti na Ubunifu Prof. Anthony Mshandete,akiweka kifaa cha donge kwa ng’ombe ambacho kinasaidia kupata taarifa muhimu kuhusu uhitaji wa chakula, maji na upandaji wa joto wakati wa uzinduzi wa Kituo cha Teknolojia ya Kisasa kwa Ufugaji Fanisi Aprili 11,2025 jijini Arusha.

Makamu Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na ya Teknolojia ya Nelson Mandela,Prof. Maulilio Kipanyula, akiongea na Waandishi wa habari wakati wa uzinduzi rasmi wa Kituo cha Teknolojia ya kisasa ya Ufugaji Fanisi Aprili 11,2025 Kampasi ya Tengeru jijini Arusha.

Mratibu wa Mradi wa tathmini ya ufanisi wa teknolojia za kisasa za ufugaji wa mifugo barani Afrika,Prof. Gabriel Shirima ,akitoa historia ya mradi wakati wa uzinduzi wa Kituo cha Teknolojia ya kisasa ya Ufugaji Fanisi Aprili 11,2025 jijini Arusha.

Ng’ombe waliowekewa kifaa maalum cha ndonge chenye kuwezesha kupata taarifa sahihi na kwa wakati kuhusu ulishaji, maji na joto kupanda kwa mnyama wakati wa uzinduzi wa Kituo cha Teknolojia ya Kisasa ya Ufugaji Fanisi Aprili 11,2025 Kampasi ya Tengeru jijini Arusha.

Makamu Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na ya Teknolojia ya Nelson Mandela,Prof. Maulilio Kipanyula ( katikati) akiwa katika picha ya pamoja na waratibu wa Mradi wa tathmini ya ufanisi wa teknolojia za kisasa za ufugaji wa mifugo barani Afrika kwa ufadhili wa Bill na Melinda Gates Foundation Aprili 11,2025 jijini Arusha mara baada ya uzinduzi wa Kituo.

About the author

Alex Sonna