Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

deneme bonusu

casinomaxi

casinomaxi giriş

betturkey giriş

betturkey

1xbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

pokerklas, pokerklas giriş

korsan taksi istanbul, istanbul korsan taksi

bets10

tipobet

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

superbetin

jojobet

betgar giriş

bets10 güncel giriş adresi

betsat

betebet

jojobet giriş

ilbet

hilbet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

Ankara escort

kingroyal

güvenilir bahis siteleri

film izle

vdcasino giriş

betasus

marsbahis, marsbahis giriş

Google

bahiscasino

ultrabet

marsbahis giriş

casibom

Greece Fentanyl Buy

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

jojobet

jojobet

casibom giriş

jojobet giriş

sweet bonanza giriş

sweet bonanza

deneme bonusu

radissonbet

betbey

tambet

cashwin

gameofbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

marsbahis

jojobet

jojobet

pusulabet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giris

jojobet

jojobet

mavibet giriş

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking

meritking

marsbahis güncel giriş

meritking

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet

marsbahis

marsbahis

marsbahis

grandpashabet

Hacklink panel

betpas

holiganbet

Google

jojobet

holiganbet

jojobet telegram

jojobet giris

ikimisli

ikimisli giriş

marsbahis giriş

jojobet güncel giriş

marsbahis giriş

marsbahis

primebahis

tümbet

tümbet giriş

casinomaxi

casinomaxi giriş

sahabet

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

casinomaxi

casinomaxi giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

mavibet giriş

pokerklas

pokerklas

tipobet

holiganbet

porno izle

bets10

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

pokerklas, pokerklas giriş

betsmove

holiganbet

ikimisli

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

betkolik

ikimisli giriş

marsbahis giriş

marsbahis giriş

ikimisli giriş

ikimisli

betkolik

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betkolik giriş

ikimisli giriş

ikimisli

ikimisli

ikimisli giriş

marsbahis

betkolik

betkolik giriş

betkolik giriş

jojobet giriş

betkolik

ikimisli

marsbahis giriş

jojobet giriş

betkolik

marsbahis giriş

betkolik giriş

jojobet mobil

ikimisli giriş

betkolik giriş

nerobet

nerobet

aresbet, aresbet giriş

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

jojobet giriş

Deneme Bonusu

queenbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

lunabet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

jojobet

jojobet

betbox

casibom

meritking giriş

meritking

dedektör

vdcasino

marsbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

betsat

extrabet giriş

gameofbet

turkey dental implants

mavibet

artemisbet

setrabet

jojobet

pulibet

süratbet

perabet

nerobet

mavibet

lunabet

lunabet giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

Featured Kitaifa

COSOTA YATAJA MAFANIKIO YAKE MIAKA MINNE YA UONGOZI WA RAIS SAMIA

Written by Alex Sonna

AFISA Mtendaji Mkuu na Msimamizi wa Hakimiliki (COSOTA) Bi.Doreen Anthony Sinare,akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio na mwelekeo wa taasisi  hiyo katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Uongozi wa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan leo Machi 21, 2025, katika Ofisi za Idara ya Habari – MAELEZO, jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

KATIKA  kipindi cha miaka minne ya serikali ya awamu ya sita, kutokana na mafunzi COSOTA imetoa jumla ya vyeti 7,679 vya uthibitisho wa umiliki wa hakimiliki kwa wabunifu waliosajili kazi zao.

Hayo yamesemwa na Afisa  Mtendaji Mkuu na Msimamizi wa Hakimiliki (COSOTA) Bi.Doreen Anthony Sinare,akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio na mwelekeo wa taasisi  hiyo katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Uongozi wa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan leo Machi 21, 2025, katika Ofisi za Idara ya Habari – MAELEZO, jijini Dodoma.

Bi.Sinare amesema kuwa  usajili wa kazi zinazolindwa na Sheria ya hakimiliki na hakishiriki umeongezeka kwa asilimia 70 Ukilinganisha na miaka ya nyuma ambapo kuanzia mwaka 2021 mpaka Februari 2025,

“COSOTA imesajili kazi za Sanaa na uandishi 11,519 na Wabunifu 3,436. Idadi hiyo ya wabunifu pamoja na kazi zao imetokana na zoezi la utoaji wa elimu na mafunzo mbalimbali ya hakimiliki na usajili kupitia vyombo vya habari, mitandao ya kijamii, semina lakini pia kushiriki matukio mbalimbali ya wadau”amesema Bi.Sinare

Aidha Bi.Sinare  amesema kuwa  COSOTA ilipata fursa ya kuelimisha wadau kuhusiana na hakimiliki na uhamasishaji wa usajili wa kazi za hakimiliki. 

Amesema  katika kipindi hicho kamati maalumu ya Usajili ndani ya COSOTA inayojihusisha na masuala ya usajili, imefanikiwa kutoa mafunzo na ufafanuzi kuhusiana na hakimiliki kwenye kazi zilizopokelewa katika kipindi hicho kwa idadi ya wabunifu 167.

Hata hivyo amesema katika kipindi cha Miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan COSOTA imefanikiwa kupokea  jumla ya migogoro 136.

Amesema Kati ya Migogoro hiyo Migogoro 118 imetatuliwa, migogoro 10 haijafanyiwa kazi bado na Migogoro 8 bado inafanyiwa kazi.

Pamoja na kushughulikia migogoro, COSOTA pia imekuwa ikihusika katika kesi kumi za hakimiliki, ikiwa ni hatua muhimu katika kulinda haki za wabunifu dhidi ya uharamia na matumizi yasiyoidhinishwa ya kazi zao.
Bi. Sinare amesema kupitia Tozo ya Hakimiliki , COSOTA imekusanya jumla ya shilingi bilioni 1.42 kuanzia Septemba, 2023 hadi Februari, 2025 ambapo Ofisi imefanikiwa kupokea fedha za tozo ya hakimiliki za mwaka wa fedha 2023/2024 kutoka Wizara ya Fedha zaidi ya shilingi milioni 840.
Kwa mujibu wa Sheria ya Hakimiliki na Hakishiriki pamoja na Mabadiliko Sheria ya Fedha Na. 5 ya mwaka 2022, kiasi cha tozo ya Hakimiliki kilichokusanywa ndani ya mwaka husika hugawanywa kwa makundi manne katika asilimia.
Ambapo COSOTA inachukua 20%, Mfuko wa Utamaduni 10%, Mfuko Mkuu wa Serikali 10%, na Kampuni za kukusanya na kugawa mirabaha (CMOs) kwa ajili ya wasanii, waandishi na wamiliki wengine wa hakimiliki 60%.
Aidha, kwa mwaka 2021 – 2025 COSOTA imefanikiwa kufanya migao miwili kama alivyoahidi Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan alipolihutubia bunge mwaka 2021 ambapo alisisitiza katika kipindi cha uongozi wake, serikali itahakikisha wabunifu wote wananufaika zaidi na kazi zao.
Ambapo Mgao wa kwanza ambao ulikuwa ni mgao wa ishirini na tatu ulifanyika tarehe 28/01/2022 na ulikuwa wa kiasi cha Tshs. Tshs. 312,290,259,000, ambapo Wasani 1,123 walinufaika, na ulitokana na matumizi ya kazi 5,924 za muziki ambazo zilitumika katika vituo 11 vya redio, ikiwemo redio katika ngazi ya kitaifa, Mkoa, wilaya, kijamii na za kidini.
Mgao wa pili katika kipindi cha serikali ya awamu ya sita ulifanyika tarehe 21/07/2023 na ulikuwa ni mgao wa ishirini na nne wa mirabaha kwa kazi za muziki na COSOTA iligawa kiasi cha Tshs. 396,947,743.20 na wasanii wa muziki 8,165 walinufaika kupitia kazi zao 61,490.

About the author

Alex Sonna