Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

casibom

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet giriş

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

betmarino

kulisbet

maxwin, maxwin giriş

maxwin, maxwin giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

casibom

interbahis

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Jojobet

Jojobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

grandpashabet

jojobet

holiganbet

jojobet

betpark

meritking

jojobet

amgbahis

atlasbet giriş

jojobet

piabellacasino

setrabet

pulibet

jojobet

timebet

jojobet

kavbet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

piabellacasino

megabahis giriş

megabahis

norabahis

mavibet

holiganbet giriş

mavibet giriş

piabellacasino

mavibet giriş

holiganbet

piabellacasino giriş

norabahis giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betpark güncel

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

grandpashabet

maxwin

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

grandpashabet

grandpashabet

jojobet

jojobet

jojobet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

imajbet

royalbet

perabet

betface

betface

piabellacasino giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

avrupabet

pokerklas

betpark

meritking giriş

vdcasino

jojobet

Featured Kitaifa

ELIMU YA FEDHA, MKOMBOZI WA KIUCHUMI KIJIJI CHA KIHURIO SAME

Written by Alex Sonna

Afisa Usimamizi wa Fedha katoka Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha – Wizara ya Fedha, Bw. Stanley Kibakaya, akifafanua  kuhusu masuala  ya mikopo salama na umuhimu wa kusajili vikundi vya kutoa Huduma Ndogo ya Fedha kwa wananchi na wanafunzi wa Kata ya Ngungu kwenye program maalum ya elimu ya fedha iliyotolewa katika ukumbi wa Shule ya Ndungu Sekondari Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro.

Afisa Mkuu kutoka Benki Kuu ya Tanzania, (BoT), Bi. Mwile Kauzeni, akitoa mada kuhusu masuala ya fedha na umuhimu wa kusajili vikundi vya kutoa huduma ndogo za fedha kwa wananchi na wanafunzi wa Kata ya Ngungu kwenye program maalum ya elimu ya fedha iliyotolewa katika ukumbi wa Shule ya Ndungu Sekondari Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro.
Afisa Ushirika, kutoka Tume ya Maendeleo ya Ushirika, Bw. Adolf Felix Ndunguru, akitoa mada kuhusu masuala ya fedha na umuhimu wa kusajili vikundi vya kutoa huduma ndogo za fedha kwa wananchi na wanafunzi wa Kata ya Kihurio kwenye program maalum ya elimu ya fedha iliyotolewa katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Kihurio Wilaya ya Same, Mkoa wa Kilimanjaro.
Afisa wa Uendeshaji wa Mfuko Wa Uwekezaji Wa Pamoja Wa Wekeza Maisha (UTT AMIS) Tawi la Arusha, Bw. Elias Nyakimura Muhoji akitoa mada kuhusu masuala ya fedha na umuhimu wa kusajili vikundi vya kutoa huduma ndogo za fedha kwa wananchi na wanafunzi wa Kata ya Kihurio kwenye program maalum ya elimu ya fedha iliyotolewa katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Kihurio Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro.
 
Baadhi ya wajasiriamali na wananchi pamoja na wanafunzi kutoka Shule ya Sekondari Ndungu, Wilayani Same, wakipata elimu ya fedha kwa njia ya filamu yenye maudhui kuhusu matumizi sahihi ya fedha, umuhimu wa kupanga bajeti na kuitekeleza, umuhimu wa kusajili vikundi vya huduma ndogo za fedha , utunzaji wa fedha binafsi, umuhimu wa kushirikisha familia na watu wa karibu kwenye masuala ya fedha na uwekezaji, umuhimu wa kukata bima ya biashara na mali nyingine, filamu hiyo imeandaliwa na Wizara ya Fedha ili kusambaza elimu ya fedha kwa njia rahisi ya burudani ili kuhakikisha wananchi wanapata uelewa wa masuala ya huduma za fedha.
 
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-WF, Same)
Na Chedaiwe Msuya, WF, Same
 
Wananchi wa Kata ya Kihurio, wilayani Same, mkoani Kilimanjaro, wametakiwa kuhakikisha wanatumia huduma za Taasisi za Fedha zilizosajiliwa na kupata Leseni kutoka Benki Kuu ya Tanzania na zinazozingatia Sheria, Kanuni, na Taratibu zinazotumika ili kuepuka huduma za fedha kutoka kwa watoa huduma wasio sajiliwa.
 
Rai hiyo ilitolewa na Mwenyekiti wa Kata ya Kihurio, Bw. Rafaeli Tomasi, alipokutana na Wataalamu kutoka Wizara ya Fedha waliokwenda kutoa elimu ya fedha kwa wananchi.
 
Bw. Tomasi alieleza kuwa kumekuwa na baadhi ya taasisi zinazotoa mikopo kwa wananchi kwa kushindwa kufuata sheria, hali inayosababisha malalamiko ya mara kwa mara na kusababisha wananchi kupoteza mali zao walizoweka kama dhamana.
 
“Watoa huduma za fedha na taasisi zinazotoa mikopo hapa wilayani tumewasisitiza kwamba huduma zao zisilete madhara kwa wananchi, na tutachukua hatua za kisheria kwa yeyote atakayekiuka kanuni za kiserikali,” alisisitiza Bw. Tomasi.
 
Akizungumzia kuhusu elimu inayotolewa na Wataalamu wa Wizara ya Fedha, Bw. Tomasi alisema kwamba elimu hiyo itawasaidia wananchi kuelewa haki na wajibu wa watoa huduma katika utoaji wa mikopo, ili waepuke mikopo inayoweza kuwaathiri vibaya.
 
Bw. Tomasi alisisitiza kuwa ana imani elimu hiyo itawaongezea wananchi ufahamu wa haki zao, ikiwa ni pamoja na kuelewa taratibu za mikopo, kiwango cha riba kinachotozwa na taasisi ya fedha kabla ya kuchukua mkopo.
 
“Tunaishukuru Wizara ya Fedha kwa kuona umuhimu wa kutoa Elimu ya Fedha mpaka ngazi ya Kata na Vijiji ili kuwafikia wananchi wengi ambao fursa hizi hawazipati na pia nampongeza Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, kwa kuhakikisha  elimu hii inawanufaisha wananchi na kuwawezesha kukabiliana na changamoto za kiuchumi,” aliongeza Bw. Tomasi.
 
Afisa Usimamizi wa Fedha kutoka Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha, Bw. Stanley Kibakaya, alisema kuwa mpango huu wa kutoa Elimu ya Fedha ni endelevu kwa kuwa sekta ya Fedha inakua kwa kasi pia kuna fursa nyingi ambazo wananchi wanatakiwa kuzifahamu na kuzitumia kwa usahihi. 
 
“Hatua hii inaonesha dhamira ya dhati ya Serikali ya kuwawezesha wanawake, vijana, walemavu, na wazee kwa elimu na kuboresha usawa wa kiuchumi nchini, ili kufanikisha maendeleo endelevu na ustawi wa Taifa na kuweza kutumia fursa za kifedha zilizopo na kuzitumia kwa usahihi,” alisema Bw. Kibakaya.
 
Mpango wa kutoa elimu ya fedha umelenga kuwawezesha wananchi kuelewa masuala ya fedha na kuboresha ufahamu wao ikiwa ni utekelezaji wa Mpango Mkuu wa Maendeleo ya Sekta ya Fedha  ya mwaka 2020/21 – 2029/30

About the author

Alex Sonna