marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

anadoluslot

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

savoycasino

https://letsrelaxspa.today/

boostaro review

casibom giriş

betticket

NervEase

Çanakkale Escort

Denizli Escort

Samsun Escort

matbet

grandpashabet

meritking giriş

kavbet

holiganbet

bets10 giriş

jojobet

Featured Kitaifa

WAFANYABIASHARA KARIAKOO KUANZA KUREJESHWA SOKONI FEBRUARI,2025

Written by mzalendo

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Masoko Kariakoo Mhe. Hawa Ghasia amesema kazi ya kuwarejesha wafanyabiashara kwenye soko la Kariakoo itaanza mapema mwezi Februari mwaka huu.

Bi. Ghasia ameyasema hayo wakati akizungumza na vyombo vya habari kuhusu hatua zinazoendelea kwenye maandalizi ya kurejesha shughuli za biashara kwenye soko la Kariakoo leo tarehe 29.01.2025 kwenye ukumbi mdogo wa TAMISEMI jijini Dar es salaam.

Amesema Uamuzi wa kuwarejesha wafanyabishara katika soko hilo unafuatia kukamilika kwa ujenzi na ukarabati wa soko la Kariakoo sambamba na kukamilika kwa kazi ya uhakiki wa waliokuwa wafanyabiashara kwenye soko hilo uliofanywa na Timu Maalum iliyoundwa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ikijumuisha wawakilishi  wa Wafanyabiashara, Menejimenti ya Shirika la Masoko ya Kariakoo na vyomba vya Usalama.

“Kwa niaba ya bodi ya Wakurugenzi wa Shirika ninachukua fursa hii kuwajulisha wananchi na wafanyabiashara kuwa Soko la Kariakoo litarejesha shughuli zake kuanzia mwezi Februari, 2025.

Menejimenti inaratibu kazi ya kutangaza majina ya waliokuwa wafanyabiashara kwenye Soko hilo ambao wamekidhi vigezo na sifa za kurejeshwa baada ya uhakiki.

Uhakiki uliofanywa umebaini jumla ya wafanyabiashara1,520 wanaotarajiwa kurejeshwa sokoni. Majina na fomu ya kujiunga vitatangazwa kwa umma kupitia vyombo vya habari ikiwemo tovuti ya Shirika la Masoko ya Kariakoo na tovuti ya OR – TAMISEMI.

Hivyo nitoe wito kwa wafanyabiashara na wananchi kuwa Shirika la Masoko ya Kariakoo kwa kushirikiana na mamlaka zingine za Serikali ikiwemo Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam itaendelea kutoa taarifa kwa wananchi juu ya utaratibu utakaotumika kipindi chote cha kuelekea ufunguzi wa soko la Kariakoo’ alimalizia Bi. Ghasia.

About the author

mzalendo