Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

aresbet

betcool

avrupabet

vipslot

betcool

realbahis

betmarino

casinowon

Hacklink panel

holiganbet

jojobet ios

Google

holiganbet

marsbahis

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

coinbar

grandpashabet

grandpashabet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

matbet

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

spinco

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

betasus

meritbet

jojobet güncel giriş

jojobet adres

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

jojobet

mercurecasino

ultrabet

mavibet

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

ibizabet

jojobet giriş

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

mavibet giriş

betlike giriş

coinbar

coinbar

artemisbet

mavibet

artemisbet giriş

mavibet

artemisbet giriş

betlike

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

paribahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

İmajbet

İmajbet

Featured

KATIBU MKUU VIWANDA NA BIASHARA ARIDHISHWA NA UJENZI WA JENGO LA WMA MAKAO MAKUU DODOMA

Written by Alex Sonna
KATIBU  Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah,akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukagua na kujionea maendeleo ya ujenzi wa Jengo la WMA Makao Mkuu Dodoma leo Januari 20,2025 jijini Dodoma.
Na.Alex Sonna-DODOMA
KATIBU  Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah,ameridhishwa na ujenzi wa Jengo la Wakala wa Vipimo (WMA) Makao Mkuu Dodoma huku akimpongeza Mkandarasi kwa kujenga katika kiwango chenye ubora mkubwa.
Dkt.Abdallah ametoa pongezi hizo leo Januari 20,2025 jijini Dodoma mara baada ya kutembelea na kujionea maendeleo ya ujenzi wa jengo hilo.
  Amesema matarajio yao ni kuona mradi huo unakamilika kwa wakati huku akiridhishwa na ubora wa jengo hilo.

“Nimeridhishwa  na utendaji kazi wa WMA kwa kazi yenu nzuri ya kumsimamia Mkandarasi kwa kujenga katika kiwango bora pia nimpongeze Mknadarasi kwa kasi anayoendelea nayo katika kujenga hili jengo ambalo litasaidia kuboresha ufanisi wa kazi litakapokamilika”amesema Dkt.Abdallah

Hata hivyo Dkt.Abdallah,amesema maboresho ya kutoa huduma bora ni pamoja na kuwa na mazingira mazuri kama ujenzi wa majengo ya kisasa.
“Tumeona mambo ya msingi yamekamilika na mwezi wa pili jengo atakabidhi kwa WMA ,nimejionea kila sehemu ambazo ni muhimu kuwa jengo limejengwa katika ubora wenye viwango,”amesema
Kwa upande wake Afisa Mtendaji Mkuu Wakala wa Vipimo Bw. Alban Kihulla,amemshukuru  Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha za ujenzi wa jengo la kisasa ambalo ujenzi wake umefikia asilimia 95.2 uweze kukamilika.
Bw.Kihulla amesema dhamira ya Rais Samia Suluhu Hassan ni kuona wanafanya kazi katika mazingira mazuri na yenye ubora ndio maana akatoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa jengo la kisasa la Wakala huo Jijini hapa.
Amesema ujenzi wa jengo hilo  ulianza Julai 2,2022 ambapo  matarajio ni kukamilika mwaka 2024 hata hivyo  wameongeza muda kutokana na mkandarasi kupata changamoto mbalimbali.
Amesema matarajio ujenzi huo ukamilike February 10 mwaka huu  na  umefikia asilimia 95.2 ambapo gharama za ujenzi  ni Sh bilioni 6.2 na mpaka sasa wamelipa Shilingi  bilioni 5.8.
“Ni matarajio yetu nae mkandarasi  atakamilisha kwa wakati  ili tuanze sasa kulitumia jengo hili.Kupitia jengo hili naaamini tutazidi kuboresha huduma zetu na zitazidi kuwa na ubora,”amesema Bw.Kihulla
Naye Mkandarasi wa Kampuni ya Mohamed Builders Bw.Burhan Hamza,ameipongeza WMA kwa kumpa kazi hiyo huku akiahidi kuwa mradi huo watakabidhi Februari 10 mwaka huu.
Amesema ujenzi ulitakiwa kuisha Desemba 30 mwaka jana ila  waliomba siku 40 kutokana na kutokea kwa changamoto mbalimbali.
“Changamoto  tuliyokutana nayo ni kuagiza  vifaa kutoka nje ya Tanzania  hivyo kushindwa kuvipata kwa wakati ndiyo maana wameomba siku 40 na wiki hii vifaa vyote vitakuwa vimeingia nchini na kazi itaendelea kama kawaida”amesisitiza
Awali Mwakilishi wa Msimamizi wa Mradi Bi.Rachel Lister ,amesema wanaendelea kusimamia ujenzi huo  na wapo katika hatua za mwisho na imani yao ni kukamilisha kwa wakati.
KATIBU  Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah,akipata maelezo kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu Wakala wa Vipimo (WMA) Bw.Alban Kihulla,wakati wa ziara ya kukagua na kujionea maendeleo ya ujenzi wa Jengo la WMA Makao Mkuu Dodoma leo Januari 20,2025 jijini Dodoma.
KATIBU  Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah,akimsikiliza Mkandarasi wa Kampuni ya Mohamed Builders Bw.Burhan Hamza,mara baada ya kutembelea  na kujionea maendeleo ya ujenzi wa Jengo la WMA Makao Mkuu Dodoma leo Januari 20,2025 jijini Dodoma.
KATIBU  Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt.Hashil Abdallah,akiendelea kukagua ujenzi wa Jengo la WMA Makao Mkuu Dodoma leo Januari 20,2025 jijini Dodoma.
Mafundi wakiendelea na ujenzi wa jengo la WMA
KATIBU  Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah,akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukagua na kujionea maendeleo ya ujenzi wa Jengo la WMA Makao Mkuu Dodoma leo Januari 20,2025 jijini Dodoma.
Afisa Mtendaji Mkuu Wakala wa Vipimo (WMA) Bw.Alban Kihulla,akielezea ujenzi wa jengo hilo ulipofikia mara baada ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah,kufanya  ziara ya kukagua na kujionea maendeleo ya ujenzi wa Jengo la WMA Makao Mkuu Dodoma leo Januari 20,2025 jijini Dodoma.
MUONEKANO wa Jengo la Wakala wa Vipimo (WMA) Makao Makuu jijini Dodoma.

About the author

Alex Sonna