Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

holiganbet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

SERIKALI YAAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA IMF

Written by Alex Sonna

Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akimkabidhi zawadi Kiongozi wa Timu ya Wataalam ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Bw. Charalambos Tsangarides, anayemaliza muda wake wa kuisimamia Tanzania baada ya kuhudumu kwa zaidi ya miaka mitatu na nusu, katika kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Mhe. Waziri wa Fedha, jijini Dodoma.

Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akiagana na Kiongozi wa Timu ya Wataalam ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Bw. Charalambos Tsangarides, anayemaliza muda wake wa kuisimamia Tanzania, wakati alipofika kuagana na Waziri Mhe. Dkt. Nchemba pamoja na kumtambulisha Kiongozi mpya wa Shirika hilo anayechukua nafasi yake, Bw. Nicolas Blancher, katika ukumbi wa Mikutano wa Mhe. Waziri wa Fedha, jijini Dodoma.

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akisalimiana na Kiongozi Mpya wa Timu ya Wataalam ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) Bw. Nicolas Blancher, anayeshuhudia ni Kiongozi wa Timu ya Wataalam ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Bw. Charalambos Tsangarides, aliyemaliza muda wake na Mwakilishi Mkazi wa IMF, Bw. Sebastian Acevedo, katika ukumbi wa Mikutano wa Mhe. Waziri wa Fedha, jijini Dodoma.

Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza wakati wa kikao kifupi akiagana na Kiongozi wa Timu ya Wataalam ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Bw. Charalambos Tsangarides, anayemaliza muda wake nchini Tanzania na kumkaribisha Kiongozi Mpya wa Timu ya Wataalam ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) Bw. Nicolas Blancher, katika ukumbi wa Mikutano wa Mhe. Waziri wa Fedha, jijini Dodoma.

Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamisi Shaaban, katika kikao chake na ujumbe wa IMF, katika ukumbi wa Mikutano wa Mhe. Waziri wa Fedha, jijini Dodoma.

Kiongozi wa Timu ya Wataalam ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Bw. Charalambos Tsangarides, anayemaliza muda wake nchini Tanzania akizungumza wakati wa kikao kifupi na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), wakati alipofika kwa ajili ya kumuaga pamoja na kumtambulisha Kiongozi Mpya wa Timu ya Wataalam ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) Bw. Nicolas Blancher, katika ukumbi wa Mikutano wa Mhe. Waziri wa Fedha, jijini Dodoma.

Kiongozi Mpya wa Timu ya Wataalam ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) Bw. Nicolas Blancher, akizungumza wakati wa kikao kifupi na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), wakati alipofika kwa ajili ya utambulisho, katika ukumbi wa Mikutano wa Mhe. Waziri wa Fedha, jijini Dodoma.

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na Kiongozi wa Timu ya Wataalam ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Bw. Charalambos Tsangarides, anayemaliza muda wake, akifuatiwa na Kiongozi mpya wa IMF Bw. Nicolas Blancher, na Mwakilishi Mkazi wa IMF, Bw. Sebastian Acevedo. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bi. Amina Khamis Shaaban, Kamishna wa Idara ya Sera Bw. Johnson Nyella, na Kamishna Msaidizi idara ya Fedha za Nje Bw.  James Msina. Kikao hicho kilifanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Mhe. Waziri wa Fedha, jijini Dodoma.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Dodoma)

Na. Saidina Msangi na Asia Singano, WF, Dodoma

Serikali imesema kuwa itaendelea kushirikiana na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), na kuhakikisha Fedha zote za maendeleo zinazotolewa na Shirika hilo zinatumika kukamilisha azma ya kukuza uchumi wa nchi.

Hayo yameelezwa na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), jijini Dodoma wakati akimuaga Kiongozi wa Timu ya Wataalam ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa Tanzania, Bw. Charalambos Tsangarides, aliyemaliza muda wake baada ya kuhudumu kwa zaidi ya miaka mitatu na nusu.

Alisema Serikali itaendelea kutekeleza dhamira yake ya kuwaletea wananchi maendeleo na kukuza uchumi kwa ujumla kupitia juhudi mbalimbali inazofanya ikiwemo kutafuta fedha za kutekeleza miradi mbalimbali ya kimkakati.

‘Kwa niaba ya Serikali ya Tanzania, napenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa kujitolea kwako katika kusaidia safari ya maendeleo ya kiuchumi ya nchi yetu, ninawahakikishia kwamba Timu yangu itawapa ushirikiano wote unaohitajika, kwa upande mwingine, nina furaha kuwajulisha kwamba tunaendelea vyema na hatua zetu za mageuzi chini ya program mpya ya Serikali ya kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi kupitia dirisha la Resilient and Sustainable Fund (RSF),’’ alisema Dkt. Nchemba.

Dkt. Nchemba, mbali na kumuaga Kiongozi huyo wa IMF nchini, alitumia fursa hiyo kumkaribisha Kiongozi mpya anayechukua nafasi hiyo Bw. Nicolas Blancher, huku akimuahidi ushirikiano kutoka Serikali ya Tanzania.

‘’Napenda kuchukua fursa hii kumkaribisha rasmi Bw. Nicolas Blancher, kama Kiongozi wetu mpya wa “Mission” kwa Tanzania na tunafurahi kupata nafasi ya kushuhudia mwongozo kutoka kwa mtaalamu mwingine kama tulivyofanya na Kiongozi wa “Mission”anayemaliza muda wake katika kufanikisha maendeleo yetu endelevu ya kiuchumi’’ alisema Dkt. Nchemba.

Kwa upande wake Kiongozi wa Timu ya Wataalam ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa Tanzania, anayemaliza muda wake, Bw. Charalambos Tsangarides, ameishukuru Serikali ya Tanzania kwa ushirikiano mkubwa alioupata wakati akitekeleza majukumu yake nchini.

Aidha, ameipongeza Serikali kwa juhudi za kusimamia maendeleo ya kiuchumi na kuahidi kuendelea kushirikiana na Tanzania katika kuimarisha ustawi wa wananchi wake hata baada ya kumaliza muda wake wa kuhudumu.

Naye Kiongozi Mpya wa Timu ya Wataalam ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) Bw. Nicolas Blancher, ameahidi kushirikiana kikamilifu na Serikali ya Tanzania na kumhakikishia Dkt. Nchemba kuwa ataendeleza ushirikiano na kazi zilizofanywa na mtangulizi wake huku akisisitiza dhamira ya kuhakikisha malengo yaliyowekwa yanatimia.

About the author

Alex Sonna