marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

mersin escort

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

imajbet

sekabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

pashagaming

şğp

grandpashabet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

sonbahis

sonbahis

marsbahis

perabet giriş

imajbet

klasbahis

bahiscasino

goldenbahis

savoybetting

klasbahis giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

pusulabet, pusulabet giriş

betgar, betgar giriş

betcio, betcio giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

deneme bonusu

deneme bonusu

holiganbet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

casibom giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

ligobet

Madridbet

grandpashabet giriş

jojobet

casibom

marsbahis

jojobet giriş

jojobet

alobet

alobet giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

trendbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

jojobet

perabet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

türkçe altyazılı porno izle

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

grandpashabet

vdcasino

bets10 giriş

imajbet giriş

milanobet

imajbet

perabet giriş

perabet

ngsbahis

kralbet giriş

ngsbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

casibom giriş

jojobet

deneme bonusu

kingroyal

trust score weak 3

jojobet

slot siteler

casino siteleri

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey giriş

betturkey

betsat

betsat giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu veren siteler

sekabet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

gonebet, gonebet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

superbetin

madridbet

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

onwin

romabet

madritbet

güvenli casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

superbetin

jojobet

jojobet giriş

ilbet

deneme bonusu

deneme bonusu

holiganbet

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino

casinoroyal

betist

betist

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

Featured Kitaifa

SERIKALI YASHAURIWA KUANZISHA KLINIKI YA FEDHA

Written by mzalendo
Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi, Bw. George Mbesigwe, akizungumza wakati wa semina ya elimu ya fedha iliyotolewa na Wizara ya Fedha ambapo mada mbalimbali zilifundishwa ikiwemo kujiwekea akiba, mikopo, uwekezaji katika ukumbi wa Halmashauri hiyo mkoani humo.
Mchumi kutoka Wizara ya Fedha, Bi. Glory Uisso, akizungumza na baadhi ya wakazi wa Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi, baada ya kumalizika kwa semina ya elimu ya fedha iliyotolewa na Wizara ya Fedha ambapo mada mbalimbali zilifundishwa ikiwemo kujiwekea akiba, mikopo, uwekezaji katika ukumbi wa Halmashauri hiyo mkoani humo.
Afisa Msimamizi Mkuu wa Fedha, Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha Bw. Salim Khalfan Kimaro, akiitambulisha Timu ya Wataalamu kutoka Wizara ya Fedha ambayo ipo mkoani Lindi kutoa elimu ya fedha, kwa Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa, Bw. George Mbesigwe (katikati) na Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii Wilaya ya Ruangwa Bw. Rashid Namkulala.
Afisa Mchambuzi Hesabu Mwandamizi, Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana Bi. Mariam Omari Mtunguja, akizungumza wakati wa semina ya utoaji ya elimu ya masuala ya fedha kwa Wakazi wa Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi, ambapo mada mbalimbali zilifundishwa ikiwemo uwekezaji, mikopo na akiba.
Mkazi wa Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi, Bw. Cosmas Rashid, akisoma kipeperushi chenye taarifa kuhusu mikopo wakati wa semina ya elimu ya fedha iliyotolewa na Wizara ya Fedha ambapo mada mbalimbali zilifundishwa ikiwemo kujiwekea akiba, mikopo, uwekezaji katika ukumbi wa Halmashauri hiyo mkoani Lindi.
Baadhi ya Wakazi wa Wilaya ya Ruangwa  mkoani Lindi walioshiriki semina ya elimu ya fedha wakiangalia filamu yenye mada mbalimbali ikiwemo utunzaji wa akiba, uwekezaji, na nyinginezo iliyofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo mkoani Lindi.
Mkazi wa Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi, Bi. Bahati Mng’onye, akitoa ushauri kwa Timu ya Wataalamu kutoka Wizara ya Fedha iliyopo mkoani Lindi kutoa elimu ya fedha kwa wananchi wa makundi mbalimbali.
Afisa Maendeleo ya Jamii Wilaya ya  Ruangwa  mkoani Lindi, Bw. Edward Mbaruku,  akiwashukuru Wananchi wa Ruangwa,  waliojitokeza kupata elimu ya masuala ya fedha katika semina hiyo mada mbalimbali zilifundishwa ikiwemo uwekezaji, mikopo na akiba.
 
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WF, Lindi)
Na. Josephine Majula, WF, Lindi
 
Serikali kupitia Wizara ya Fedha kwa kushirikiana na Taasisi za kifedha ikiwemo Benki Kuu, Taasisi za Uwekezaji na Bima zimeshauriwa kuanzisha kliniki ya elimu ya fedha kipindi cha mavuno ili kuwafikia wakulima katika maeneo yao ya uzalishaji.
 
Ushauri huo umetolewa na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi, Bw. George Mbesigwe,  alipokutana na Timu ya Wataalamu kutoka Wizara ya Fedha ambayo ipo mkoani humo kutoa elimu ya fedha kwa wananchi wa makundi mbalimbali wakiwemo wakulima, wafanyabiashara na  wanafunzi.
 
“Kipindi cha mavuno huku kwetu ndo kipindi ambacho wananchi wanakua na fedha, hivyo elimu hii ikitolewa wakati wa mavuno itasaidia wakulima kuhamasika kufungua akaunti benki, kufanya uwekezaji kupitia Taasisi za Uwekezaji au kukata Bima ya mazao kwakuwa zitakua zimefika katika eneo husika la mavuno” alisema Bw. Mbesigwe.
 
Aliongeza kuwa uhitaji wa elimu ya fedha kwa wananchi ni mkubwa hivyo ni vyema zoezi hilo likawa endelevu ili kuhakikisha linawafikia wananchi wengi ili waweze kupanga matumizi sahihi ya fedha zao.
 
Naye Afisa Maendeleo wa Wilaya ya Ruangwa, Bw. Edward Mbaruku, aliahidi kuendelea kuwahamasisha wananchi wa Halmashauri hiyo kujenga mazoea ya kujiwekea akiba, kukopa katika Taasisi rasmi kuepuka migogoro lakini pia kusajili vikundi ili waweze kutambulika na Serikali na kuwa na sifa yakupata mikopo na fursa nyingine zinazotolewa na Serikali kupitia vikundi.
 
Naye Afisa Msimamizi Mkuu wa Fedha, Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha Bw. Salim Khalfan Kimaro, aliwashukuru wananchi wa Ruangwa kwa ushirikiano waliouonesha wakati wa semina kwa kuuliza maswali na kutoa ushauri ambao utazingatiwa awamu nyingine ya zoezi la utoaji elimu ya fedha.
 
 “Sisi kama Wizara ya Fedha tunaahidi kuendelea kutoa elimu ya fedha kwa wananchi wa makundi mbalimbali ili kuhakikisha kila mwananchi anafikiwa na elimu hii muhimu kwa kuwa itamsaidia kupanga bajeti, kujiwekea akiba na kufanya uwekezaji na kujikwamua kiuchumi”, alisema Bw. Kimaro.
 
Katika zoezi la kutoa elimu kwa Wananchi, Timu ya Wataalamu kutoka Wizara ya Fedha imeambatana  na Taasisi nyingine za Serikali ikiwemo Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) na Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC), wakiwa mkoani Lindi watatoa elimu hiyo katika Wilaya ya Liwale, Nachingwea, Mtama, Ruangwa, Kilwa na Manispaa ya Lindi.

About the author

mzalendo