Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

avrupabet

vipslot

betcool

betlivo

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

kareasbet

hazbet

betra

meritking giriş

marsbahis

meritking

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

betra

gobahis

casival

casival

betcool

avrupabet

celtabet

jojobet

Hacklink panel

norabahis

kingroyal

Google

holiganbet

marsbahis

luxbet

hepbet

millibahis giriş

gobahis

vipslot

betface

elitbahis giriş

betcool

primebahis

betturkey

betturkey giriş

otobet

otobet giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

betlike

holiganbet

jojobet

betpark giriş

holiganbet

betpark

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

betewin

jojobet

vipslot

betnis

betmarino giriş

aresbet

aresbet

avrupabet giriş

betface

luxbet

betmarino

casival giriş

betlivo giriş

realbahis

gallerbahis

gallerbahis

aresbet giriş

parmabet

betnis

elitbahis

vaycasino giriş

betra giriş

celtabet giriş

parmabet giriş

vipslot giriş

hazbet giriş

elitbahis

luxbet giriş

hepbet

lordcasino

parmabet

lordcasino

kareasbet

betcool giriş

realbahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

slot siteleri

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

parmabet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

madridbet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

jojobet

casino siteleri

holiganbet

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

betsat

jojobet giriş

marsbahis

sweet bonanza

realko

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

betlivo

millibahis

millibahis

celtabet

millibahis

parmabet giriş

mavibet giriş

coinbar

coinbar

mislibet giriş

mavibet

parmabet giriş

parmabet

bahiscasino

mavibet

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

marsbahis

betsat

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

betcio

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

Featured Kitaifa

OFISI YA MSAJILI WA HAZINA, PSSSF NA WCF WAINGIA UBIA KUMILIKI KIWANDA CHA CHAI CHA MPONDE

Written by Alex Sonna

 

Msajili wa Hazina Bw. Nehemia Mchechu, akizungumza katika hafla ya utiaji saini makubaliano ya kumiliki kiwanda hicho iliyofanyika katika Ofisi ya PSSSF, Msajili wa Hazina iliyofanyika Agosti 9,2024 Jijini Dodoma.

Msajili wa Hazina Bw. Nehemia Mchechu, akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza katika hafla hiyo Jijini Dodoma. – wakwanza kushotokwake, ni Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF Bw. Abdul -Razaq Badru, na Mkurugenzi Mkuu wa WCF Dkt. John Mduma.

NA MWANDISHI WETU, DODOMA

Ofisi ya Msajili wa Hazina kwa kushirikiana na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), pamoja na Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), wameingia ubia wa kumiliki Kiwanda Cha Chai cha Mponde kwaajili ya kuongeza tija katika uzalishaji, huku wadau mbalimbali wakitakiwa kuchangamkia fursa ya uwekezaji katika zao la Chai.

Katika ubia huo Ofisi ya Msajili wa Hazina kwa niaba Serikali inamiliki hisa ya asilimia 16, huku PSSSF na WCF wanamiliki asilimia 42 kila mmoja jambo ambalo litaongeza kasi ya utendaji katika ushindani wa soko na kuifanya Taifa kupata gawio kama ilivyo kwa taasisi nyingine.

Akizungumza jijini Dodoma Agosti 9, 2024 katika hafla ya utiaji saini makubaliano ya kumiliki kiwanda hicho iliyofanyika katika Ofisi ya PSSSF, Msajili wa Hazina Bw. Nehemia Mchechu, amesema kuwa uwekezaji huo unakwenda kuongezeka thamani ya kiwanda kutoka shilingi milioni 790 zilizopo na kufikia bilioni 4.8.

Bw. Mchechu amesema wanatarajia kuwekeza shilingi bilioni nne ambapo mpaka sasa tayari uwekezaji katika kiwanda hicho umefika bilioni 2.5.

“Kiwanda hiki kinakwenda kufufua uchumi kwa wakazi wa Korogwe na wakulima wa zao la chai watapata fursa ya kupata soko la uhakika wa kuuza mazao yao” amesema Bw. Mchechu.

Bw. Mchechu ameongeza kuwa kupitia uwekezaji huo, Serikali inakwenda kunufaika na ulipaji wa kodi, huku akisisitiza umuhimu wa Menejimenti kuongeza ufanisi katika utendaji ili waweze kuleta gawio kama ilivyo kwa taasisi nyengine.

“Nawashukuru sana PSSSF, WCF kwa kukubali wito wa kwenda kufanya uwekezaji katika sekta ya kilimo cha chai, ukiangalia tuna ardhi nzuri ambayo tunaweza kufanya uwekezaji kwenye maeneo mbalimbali nchini” amesema Mchechu.

aidha, amesema kuwa Tanzania kuna ardhi kubwa na yenye rutuba ambayo inakubali kilimo cha chai hasa Mikoa ya Iringa na Mbeya, huku akieleza kuwa kulikosekana wawekezaji wa viwanda katika zao la chai ambalo linalimwa kwa muda mrefu na kuleta tija.

PSSSF na WCF wanapoonekana katika uwekezaji sekta ya kilimo itawavutia wadau wengine na kufanya vizuri sekta hii, kwani kwa muda mrefu wakulima walishindwa kulima zao la chai kutokana na kukosa soko la uhakika” amesema Mchechu.

Mchechu amebainisha kuwa Tanzania inazalisha kiwango kidogo cha chai na kufanya mauzo kuwa dola milioni 50 kwa mwaka, tofauti na nchi jirani ya Kenya ambao wanauza zaidi ya dola Bilioni moja.

“Tupo chini katika mauzo kwa sababu tuna mwamko mdogo wa kufanya uwekezaji katika zao la chai, lakini leo tunashukuru tunawapa nafasi kiwanda hiki, menejimenti, bodi kuanza kukimbia katika utekelezaji wa majukumu yao” amesema Mchechu.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mkuu wa WCF Dkt. John Mduma amesema kuwa uwekezaji huo unakwenda kuibua uchumi wa wananchi katika mkoa husika, kwani wakulima wengi wa eneo wanakwenda kuuza zao la chai katika kiwanda hicho.

“Ni busara imetumika kutumia fedha za Mifuko kuleta hapa kwa ajili ya kufanya uwekezaji na kuleta faida kwa kiwanda na Wananchi” amesema.

Naye Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF Bw. Abdul -Razaq Badru amesema kuwa uwekezaji huo ni sehemu ya mipango yao kutimiza jukumu linalotarajiwa na Serikali kuwekeza katika maeneo yenye mchango kwa wananchi na wanachama wao.

“Tumefarijika kuwekeza katika sekta ya kilimo sehemu ambayo inatoa mchango mkubwa kwa Taifa, tutaendelea kushiriki katika maeneo mengine na kuleta tija kwa wananchi” amesema.

Meneja Mkuu wa Kiwanda Cha Chai cha Mponde Bw. Muhoja Manane, akizungumza alipokuwa akitoa taarifa fupi ya uzalishaji wa Kiwanda hicho.

Mkurugenzi Mkuu wa WCF Dkt. John Mduma, akizungumza katika hafla hiyo.

Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF Bw. Abdul -Razaq Badru, akizungumza katika hafla hiyo iliyofanyika Agosti 9,2024 Jijini Dodoma.

PICHA; ZOEZI LA UTIAJI SAINI, NA MAKABIDHIANO.

PICHA MBALIMBALI ZA WADAU NA WATUMISHI

About the author

Alex Sonna