Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

deneme bonusu

mavibet

superbetin

superbetin

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

pusulabet, pusulabet giriş

gameofbet

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

coinbar

coinbar

maxwin, maxwin giriş

pokerklas, pokerklas giriş

deneme bonusu

casibom giriş

casibom

redwin

betcup

casinofast giris

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

jojobet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

grandpashabet

jojobet

jojobet güncel giriş

marsbahis

nakitbahis

nakitbahis giriş

jojobet

tambet

padişahbet giriş

mavibet

kavbet

setrabet

betpas

perabet

timebet

deneme bonusu veren siteler

coinbar

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

cratosroyalbet giriş

betlike giriş

kavbet giriş

cratosroyalbet

mavibet

mavibet

artemisbet giriş

imajbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

fenomenbet, fenomenbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

bets10 giriş

dinamobet giriş

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

jojobet

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

perabet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

betpas

royalbet

Betpas

betface

betface

imajbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

Featured Kitaifa

WAKURUGENZI WAPEWA MWEZI MMOJA KUKAMILISHA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA SHULE ZA WASICHANA

Written by mzalendo

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa akiwaelekeza Wakurugenzi wa Halmashauri (hawapo pichani) kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya shule mpya za sekondari za wasichana za mikoa ndani ya mwezi mmoja, wakati wa kikao cha tathmini ya ujenzi wa shule hizo kilichofanyika katika Ukumbi wa Arnautoglo wa Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam.

Wakurugenzi wa Halmashauri, Maafisa Elimu wa Sekondari, Wahandisi wa Halmashauri na Maafisa Manunuzi wa Halmashauri wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa (hayupo pichani) wakati wa kikao cha tathmini ya ujenzi wa shule 26 za mikoa za wasichana, kilichofanyika katika Ukumbi wa Arnautoglo wa Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Elimu) Mhe. Zainab Katimba akimkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa (hayupo pichani) kuzungumza na Wakurugenzi wa Halmashauri, Maafisa Elimu wa Sekondari, Wahandisi wa Halmashauri na Maafisa manunuzi wa Halmashauri (hawapo pichani) wakati wa kikao cha tathmini ya ujenzi wa shule 26 za mikoa za wasichana kilichofanyika katika Ukumbi wa Arnautoglo jijini Dar es Salaam.

Wakurugenzi wa Halmashauri (waliosimama) wakipokea maelekezo ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa ya kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya shule mpya za sekondari za wasichana za mikoa ndani ya mwezi mmoja, wakati wa kikao cha tathmini ya ujenzi wa shule hizo kilichofanyika katika Ukumbi wa Arnautoglo wa Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam.

Na. James K. Mwanamyoto OR-TAMISEMI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa ametoa mwezi mmoja kwa Wakurugenzi wa Halmashauri kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya shule mpya za sekondari za bweni za wasichana za mikoa ambazo zimejengwa katika halmashauri zao ili wanafunzi walioripoti katika shule hizo wapate mazingira bora na rafiki ya kupata elimu.

Mhe. Mchengerwa ametoa maelekezo hayo wakati akipokea taarifa za ujenzi wa shule hizo 26 za sekondari za wasichana za mikoa wakati wa kikao cha tathmini ya ujenzi wa shule hizo kilichofanyika katika Ukumbi wa Arnautoglo wa Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam.

Mhe. Mchengerwa amesema, alitegemea wakurugenzi watoe taarifa ya kukamilika kwa ujenzi wa shule hizo kwa asilimia 100 jambo ambalo halijatekelezeka, wakati yeye akiwa kwenye ziara ya Mhe. Rais Mkoani Rukwa alimuahidi Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa ndani ya mwezi mmoja miundombinu ya shule zote 26 itakuwa imekamilika.

Waziri Mchengerwa ameanisha kuwa, wapo wakurugenzi amewapatia wiki mbili, wiki tatu na wengine mwezi mmoja wa kuhakikisha wanakamilisha ujenzi wa miundombinu iliyosalia katika shule hizo za wasichana za mikoa, isipokuwa mkurugenzi anayesimamia ujenzi wa shule ya mkoa wa Rukwa ambaye amempatia miezi 2.

“Hakutakuwa na nyongeza ya muda katika kipindi ambacho tumekubaliana mkamilishe ujenzi wa miundombinu ya shule hizo, na sitosita kumchukulia hatua mkurugenzi yeyote atakayeshindwa kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya shule kwa mujibu wa makubaliano yetu,” Mhe. Mchengerwa amesisitiza.

Mhe. Mchengerwa ameongeza kuwa, yeye binafsi pamoja na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wanawategemea wakurugenzi hao katika usimamizi wa miradi mbalimbali inayolenga kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi.

Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Bw. Kagurumjuli Titus amesema kwamba wamepokea maelekezo ya Waziri Mchengerwa na kuhaidi kuwa, manispaa yake itakamilisha ndani ya siku 15 hadi 21 ujenzi wa miundombinu ya shule ya mkoa ya Dar es Salaam ambayo ilikuwa haijakamilika kwani Mhe. Rais ameshawapatia fedha.

Naye, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tunduma Bi. Mariam Chaurembo amesema kuwa, Halmashauri yake kwa niaba ya mkoa wa Songwe imejipanga kutekeleza maelekezo na Waziri Mchengerwa ya kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya Shule ya Wasichana ya Mkoa wa Songe ndani ya mwezi mmoja kama alivyoelekeza.

Kikao hicho cha tathmini ya ujenzi wa shule 26 za sekondari za wasichana za mikoa, kimeudhuriwa na Wakurugenzi wa Halmashauri, Maafisa Elimu wa Sekondari, Wahandisi wa Halmashauri na Maafisa manunuzi wa Halmashauri.        

About the author

mzalendo