marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

bets10

NervEase

mersin escort

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

imajbet

sekabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

pashagaming

şğp

pusulabet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

sonbahis

sonbahis

marsbahis

perabet giriş

imajbet

klasbahis

bahiscasino

goldenbahis

savoybetting

klasbahis giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

pusulabet, pusulabet giriş

betgar, betgar giriş

betcio, betcio giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

madridbet

casibom giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

sahabet

Madridbet

grandpashabet giriş

jojobet

casibom

marsbahis

jojobet giriş

jojobet

alobet

alobet giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

trendbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

jojobet

perabet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

türkçe altyazılı porno izle

jojobet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

grandpashabet

vdcasino

bets10 giriş

imajbet giriş

milanobet

imajbet

perabet giriş

perabet

ngsbahis

kralbet giriş

ngsbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

casibom giriş

jojobet

holiganbet

bets10

trust score weak 3

jojobet

slot siteler

casino siteleri

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey giriş

betturkey

betsat

betsat giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu veren siteler

sekabet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

gonebet, gonebet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

superbetin

sahabet

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

onwin

romabet

betsilin

güvenli casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

superbetin

jojobet

jojobet giriş

ilbet

deneme bonusu

deneme bonusu

holiganbet

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

marsbahis

matbet

jojobet

herabet

herabet

Featured Kitaifa

KILIMANIHEWA KUPEWA ELIMU NAMNA YA UTUNZAJI NA MATUMIZI SAHIHI YA FEDHA

Written by mzalendo
Afisa Sheria Mwandamizi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bw. Ramadhani Myonza, akitoa elimu ya fedha kwa wanavikundi, wajasiriamali na makundi maalum katika ukumbi wa Kilimanihewa mkoani Mtwara.
Na Chedaiwe Msuya,WF,Mtwara
 
Wafanyabiashara wametakiwa kujenga tabia ya kuweka akiba katika biashara zao ili kuhakikisha wanakuwa na maendeleo endelevu. 
 
Afisa Sheria Mwandamizi kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bw. Ramadhani Myonza, alitoa wito huo alipokuwa akitoa elimu ya utunzaji na matumizi sahihi ya fedha katika ziara ya utoaji elimu ya fedha kwa umma wilayani Masasi mkoani Mtwara.
 
Akitoa elimu hiyo ya fedha, Bw. Myonza aliwasisitiza wafanyabiashara kujiepusha na matumizi ya pesa zote wanazozipata na badala yake waweke akiba ya sehemu ya mapato yao.
 
“Ndugu wafanyabiashara, tujenge tabia ya kujiwekea akiba katika biashara au katika mapato tunayopata katika utafutaji wetu.” Alisema Bw. Myoka.
 
Alitoa mfano wa mfanyabiashara anayepata shilingi laki moja, anashauriwa kutumia shilingi elfu sitini na kuweka shilingi elfu arobaini kama akiba kwani itamsaidia baadaye. 
 
Aliwaasa wafanyabiashara kuacha tabia ya kutumia pesa zote kwa kisingizio cha kujipongeza, kwani kufanya hivyo kunawarudisha nyuma kimaendeleo.
 
Kaimu Afisa Maendeleo ya Jamii, Bw. Ambros Ngwadakulima, eneo la Kilimanihewa amewaeleza wananchi  wa Mkoa wa Mtwara kutoa ushirikiano kwa wataalamu na kuwaasa kujiunga katika vikundi vilivyokuwa rasmi, pia alisistiza  wale wote wanaotoa huduma za fedha kinyume na utaratibu wa kisheria kuchukuliwa hatua.
 
Bi. Maisha Raimondi, mfanyabiashara kutoka kijiji cha Makanga, alitoa pongezi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuwaruhusu wataalam kutoka Wizara ya Fedha kuzunguka mikoani kutoa elimu ya utunzaji na matumizi sahihi ya pesa. 
 
Alisema kuwa elimu hiyo itawasaidia sana wafanyabiashara kuendesha biashara zao kwa mafanikio na kuhakikisha kunakuwa na maendeleo endelevu.
 
Katibu wa vikao, Bw. Ismail Rashidi, kutoka Kata ya Kilimanihewa, ameipongeza Serikali kwa kutambua kuwa mkoa wa Mtwara kuwa miongoni mwa wanufaika wa elimu hiyo. 
 
Aliendelea kusisitiza umuhimu wa wananchi wa Kilimanihewa kuacha tabia ya matumizi mabaya ya fedha na kuwekeza katika taasisi zilizosajiliwa ili kuhakikisha usalama wa fedha zao.
 
Afisa Mkuu wa Bima kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA), Bi. Gladness Lema, aliwahimiza wananchi kuwa na bima itakayoweza kuwasaidia katika maafa mbalimbali yatakayojitokeza katika shughuli za kilimo na kuweza kupata fidia kutokana na bima watakayoikata. 
 
Wataalam hao walisema kuwa Mtwara ni mkoa wa tisa tangu wameanza kutoa elimu hiyo, wakitimiza maagizo ya Mhen. Rais kupitia Wizara ya Fedha kuzunguka nchi nzima kutoa elimu ya fedha.
Kaimu Afisa Maendeleo ya Jamii, Bw. Ambros Ngwadakulima akizungumza  na Timu ya wataalamu ya Wizara ya Fedha na wataalamu kutoka Taasisi nyingine za Serikali ikiwemo Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) walipofika Ofisini kwake kabla ya kuanza kutoa elimu ya fedha. 
Afisa Mkuu Mwandamizi kutoka Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha – Wizara ya Fedha, Bw. Salim Kimaro akitoa elimu ya Fedha kwa wanavikundi, wajasiriamali na makundi maalum katika ukumbi wa Kilimanihewa mkoani Mtwara.
    
Baadhi ya wajasiriamali na makundi maalum  wa Kilimanihewa mkoani  Mtwara wakipatiwa mafunzo ya elimu ya fedha na Wizara ya Fedha wakishirikiana na Taasisi za Fedha mkoani Mtwara.
Afisa Mkuu wa Bima wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA), Bi. Gladness Lema, akitoa elimu ya Fedha kwa wanavikundi, wajasiriamali na makundi maalum katika ukumbi wa Kilimanihewa mkoani Mtwara.
Afisa Sheria Mwandamizi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bw. Ramadhani Myonza, akitoa elimu ya fedha kwa wanavikundi, wajasiriamali na makundi maalum katika ukumbi wa Kilimanihewa mkoani Mtwara.
Afisa Usimamizi wa Fedha kutoka Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha – Wizara ya Fedha, Bw. Jackson Mushumba akitoa elimu ya Fedha kwa wanavikundi, wajasiriamali na makundi maalum katika ukumbi wa Kilimanihewa mkoani Mtwara.
Mratibu/Msajili Huduma Ndogo za Fedha Bi. Angela Aore, akizungumza na wananchi wa Kilimanihewa wakati wa mafunzo ya elimu ya fedha inatolewa na watalaamu wa Wizara ya Fedha.
Baadhi ya wajasiriamali na makundi maalum  wa Kilimanihewa mkoani  Mtwara wakiwa katika picha ya pamoja na wataalamu wa masuala ya Fedha kutoka Wizara ya Fedha na Taasisi za Fedha baada ya kupatiwa mafunzo ya elimu ya fedha mkoani humo.
Kaimu Afisa Maendeleo ya Jamii, Bw. Ambros Ngwadakulima, (katikati) Afisa Mkuu Mwandamizi kutoka Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha – Wizara ya Fedha, Bw. Salim Kimaro (wa kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na timu ya wataalamu wa kutoa elimu ya fedha kutoka Wizara ya Fedha, walipofika Ofisini kwake kabla ya kuanza kutoa elimu ya fedha kwa wafanyabiashara, wajasiriamali na wananchi wa Mtwara.
 
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Wizara ya Fedha, Mtwara)

About the author

mzalendo