Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

aresbet

betcool

avrupabet

vipslot

betcool

realbahis

betmarino

casinowon

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

marsbahis

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

coinbar

grandpashabet

grandpashabet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

matbet

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

spinco

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

betasus

meritbet

jojobet güncel giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

jojobet

mercurecasino

ultrabet

mavibet

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

ibizabet

jojobet giriş

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

mavibet giriş

betlike giriş

coinbar

coinbar

artemisbet

mavibet

artemisbet giriş

mavibet

artemisbet giriş

betlike

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

paribahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

holiganbet

İmajbet

İmajbet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

Featured Kitaifa

KATAVI KUPATA UMEME WA GRIDI YA TAIFA SEPTEMBA MWAKA HUU

Written by mzalendo

* Dkt. Biteko atahadharisha hakuna visingizio

* Apongeza Wananchi Mpanda, Kupokea Miradi ya Maendeleo

*Rais Samia kufanya ziara Katavi

Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati-KATAVI

Hatimaye Mkoa wa Katavi unatarajiwa kuingizwa katika matumizi ya umeme wa Gridi ya Taifa ifikapo Septemba, 2024 baada ya kuikosa huduma hiyo kwa zaidi ya miaka sitini ya Uhuru Tanzanaia.

Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Doto Biteko baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Njia Kuu ya kusafirisha umeme Msongo wa KV 132 kutoka Tabora hadi Katavi na Kituo cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme kilichoko Mpanda.

Dkt. Biteko amesema kitendo cha Mkoa wa Katavi kutokuwa katika Gridi ya Taifa kimeunyima mkoa huo fursa mbalimbali ikiwa ni pamoja na kushindwa kufanya uzalishaji wa uhakika na tatizo hilo limedumu kwa miongo kadhaa.

Ameongeza kuwa, hatua hiyo imewezeshwa na Imani ya wananchi wa Mpanda ambao walikubali maeneo yao kutumika kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu hata kabla ya kupewa fidia.

“Nawashukuru wananchi kwa imani mliyoonesha na kuhakikisha miradi inajengwa na inamalizika kama ilivyo katika ujenzi wa mradi huu, natarajia mradi huu utakamilika mwezi Septemba, mwaka huu na nimetoa hadi mwezi Oktoba ili kutoa mwanya kama kuna dharura inayoweza kutokea,” amesema Dkt. Biteko.

Aidha, Dkt. Biteko amefafanua kuwa kwa sasa hakuna wakati wa visingizio juu ya kwanini wananchi wasipate umeme wa uhakika ijapokuwa Serikali inayoongozwa na Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan inatoa kipaumbele katika huduma mbalimbali za jamii.

Awali akitoa maelezo kwa Dkt. Biteko, Meneja wa Mradi Mha. Sospeter Oralo amesema ujenzi huo umekamilika kwa asilimia 97 na ujenzi wa laini umekamilika kwa asilimia 63.

Naye Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mwanamvua Mridoko amesema Wananchi wa vijiji vyote 172 na maeneo ya ziada 114, Wanatamani sana kupata umeme wa uhakika na kuondokana na mgawo wa umeme jambo litakalowawezesha kuzalisha bidhaa mbalimbali katika kukuza na kuendeleza shughuli za kiuchumi.

Mrindoko amemshukuru Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuboresha huduma na kuridhia ujenzi wa kituo kwa ajili ya kupokea, kupoza na kusafirisha umeme wa uhakika ambao uko mbioni kukamilika na kuanza kutoa huduma kwa wananchi.

Akizungumza kwa niaba ya wabunge wa Mkoa huo, Mbunge wa Mpanda, Sebastian Kapufi amepongeza juhudi za serikali za kupeleka umeme wa uhakika kwa wananchi ili watumie kujiletea maendeleo.

Ameiomba serikali kupitia mpango wa kupeleka umeme wa gridi kwa mikoa ya pembezoni, kupeleka umeme kwa wachimbaji wadogo wa madini ili kuboresha na kuanzisha matumizi ya teknolojia katika sekta hiyo.

Katika hatua nyingine, Mhe. Dkt. Biteko amewahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kumlaki na kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye anatarajiwa kufanya ziara Mkoani Katavi hivi karibuni.

“Niwatake mjitokeze kwa wingi kumpokea na kumsikiliza Rais wetu, Mhe. Dkt. Samia ambaye anatarajia kufanya ziara hapa mkoani” amesema Dkt. Biteko na kuongeza kuwa Mheshimiwa Rais ni kinara wa utatuzi wa changamoto za wananchi. (Tarehe 9, Julai 2024)     

About the author

mzalendo