Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

marmaris escort

mavibet

mavibet giriş

holiganbet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

ibizabet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

türk porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

pokerklas giriş

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet güncel giriş

girne escort

magusa escort

slot siteleri

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Featured Kitaifa

WIZARA YA ARDHI YAZIFIKIA ZAIDI YA HALMASHAURI 60 KUPITIA MRADI WA LTIP

Written by Alex Sonna

 

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe. Paskasi Muragili akifungua kikao cha kujadili utekelezaji wa Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe tarehe 27 Juni 2024 Mkoani Geita.

Wadau wa Sekta ya Ardhi katika Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe waliohudhuria Mkutano wa Wadau kujadili utekelezaji wa Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi tarehe 27 Juni 2024 Mkoani Geita

Na. Magreth Lyimo, MLHHSD

Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imefanikiwa kufikia Halmashauri zaidi ya 60 Nchini katika utekelezaji wa Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi (LTIP).

Utekelezaji wa mradi huo unahusisha utambuzi wa kila kipande cha ardhi, Upangaji wa maeneo yote yaliyotambuliwa kwa kuandaa michoro ya mipangomiji, Upimaji wa viwanja vilivyopangwa kwa kuweka alama za upimaji na kuandaa ramani za upimaji na wananchi kumilikishwa maeneo yao kwa kupewa Hatimilki.

Katika Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe Mkoani Geita hatimiliki zisizopungua 30,827 zitatolewa kwa lengo la kuboresha milki za ardhi za wananchi ili kuchochea maendeleo ya Wilaya, kuleta usalama wa milki za ardhi, kukukuza uchumi na kupunguza au kumaliza migogoro itokanayo na ardhi.

Hayo yamebainishwa tarehe 27 Juni 2024 na Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe. Paskasi Muragili wakati wa ufunguzi wa kikao cha kujadili utekelezaji wa mradi wa LTIP katika Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe.

‘‘Tunamshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inayoongoza na Mhe. Jerry Silaa (Mb.) kwa kuleta mradi huu wenye lengo la kuongeza usalama wa milki za ardhi kwa Watanzania’’ amesema Muragili.

Aidha Mkuu wa Wilaya huyo aliwaagiza viongozi wote katika Wilaya hiyo kutoa ushirikiano kwa wataalam pindi zoezi hilo litakapoanza pamoja na kutoa elimu kwa wananchi wanaowasimamia juu ya uwepo wa mradi huu na manufaa yake.

Mtendaji Kata wa Lyambambongo Bw. Jacob Raphael amesema kuwa uwepo wa Mradi huo utasaidia kupunguza au kumaliza kabisa migogoro ya ardhi na kupelekea wananchi kupata hatimilki za maeneo yao itakayowasaidia kupata mikopo kwenye taasisi za kifedha.

‘‘Elimu ya umiliki wa ardhi kwa wanawake ambayo itatolewa itasaidia kuleta mwamko kwa jamii kuhusu umiliki wa ardhi kwa kundi hilo na kupelekea kuwakomboa kiuchumi’’ amesema Raphael.

Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi (LTIP) unaotekelezwa na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi umejikita zaidi katika kujenga uelewa kwa wananchi kuhusu masuala mbalimbali katika sekta ya ardhi kwa kuzingatia haki za makundi maalumu kama wanawake, vijana, walemavu, wakulima na wafugaji.

About the author

Alex Sonna