Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

avrupabet

vipslot

betcool

betlivo

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

kareasbet

hazbet

betra

meritking giriş

marsbahis

meritking

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

betra

gobahis

casival

casival

betcool

avrupabet

celtabet

jojobet

Hacklink panel

norabahis

kingroyal

Google

holiganbet

marsbahis

luxbet

hepbet

millibahis giriş

gobahis

vipslot

betface

elitbahis giriş

betcool

primebahis

betturkey

betturkey giriş

otobet

otobet giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

robinbet giriş

betpark giriş

holiganbet

betpark

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

betewin

jojobet

vipslot

betnis

betmarino giriş

aresbet

aresbet

avrupabet giriş

betface

luxbet

betmarino

casival giriş

betlivo giriş

realbahis

gallerbahis

gallerbahis

aresbet giriş

parmabet

betnis

elitbahis

marsbahis

betra giriş

celtabet giriş

parmabet giriş

vipslot giriş

hazbet giriş

elitbahis

luxbet giriş

hepbet

lordcasino

parmabet

lordcasino

kareasbet

betcool giriş

realbahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

cratosroyalbet

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

parmabet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

madridbet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

jojobet

grandpashabet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

marsbahis

sweet bonanza

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

betlivo

millibahis

millibahis

celtabet

millibahis

parmabet giriş

mavibet giriş

jojobet

coinbar

mislibet giriş

mavibet

parmabet giriş

parmabet

jojobet güncel giriş

mavibet

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

marsbahis

betsat giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

betsat

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

betcio

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis

marsbahis

betturkey giriş

Featured Kitaifa

AfCFTA KUONGEZA MAUZO YA NJE NA KUBORESHA UWIANO WA BIASHARA

Written by mzalendo

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt Hashil Abdallah akiongea na Waandishi wa Habari baada ya ufunguzi wa Mkutano wa 17 Makatibu Wakuu wa AfCFTA unaofanyika kuanzia Juni 18 – 22, 2024 ukifuatiwa na Mkutano ngazi ya Mawaziri utakaofanyika Juni 24 – 25, 2024, Zanzibar, ambapo Tanzania ni Mwenyekiti wa Mikutano ya ngazi zote kwa mwaka 2024.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda – Zanzibar, Bi Fatma Mabrouk Khamis (katikati) akiongoza Mkutano wa 17 Makatibu Wakuu wa AfCFTA unaofanyika kuanzia Juni 18 – 22, 2024 ukifuatiwa na Mkutano ngazi ya Mawaziri utakaofanyika Juni 24 – 25, 2024, Zanzibar, ambapo Tanzania ni Mwenyekiti wa Mikutano ya ngazi zote kwa mwaka 2024.

3. Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Mtangamano wa Biashara Wizara ya Viwanda na Biashara Bw. Ombeni Mwasha (Kushoto) akiwa na Kaimu Mkurugenzi Idara ya Biashara Uwekezaji na Sekta za Uzalishaji Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bw. Benjamini Mwesiga (kulia) wakishiriki Mkutano wa 17 Makatibu Wakuu wa AfCFTA unaofanyika kuanzia Juni 18 – 22, 2024 ukifuatiwa na Mkutano ngazi ya Mawaziri utakaofanyika Juni 24 – 25, 2024, Zanzibar, ambapo Tanzania ni Mwenyekiti wa Mikutano ya ngazi zote kwa mwaka 2024

    

……

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt Hashil Abdallah amesema utekelezaji wa Mkataba wa Eneo Huru la Biashara Afrika (AfCFTA) katika kuondoa vikwazo visivyokuwa vya kiushuru na kufungamanisha Sera za Biashara kutachangia kuongeza mauzo ya nje, kuboresha uwiano wa biashara, kupatikana kwa soko la bidhaa za Tanzania nje ya Nchi na kukuza biashara na uchumi kwa ujumla

Dkt. Abdallah ameyasema hayo wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 17 Makatibu Wakuu wa AfCFTA unaofanyika kuanzia Juni 18 – 22, 2024 ukifuatiwa na Mkutano ngazi ya Mawaziri utakaofanyika Juni 24 – 25, 2024, Zanzibar, ambapo Tanzania ni Mwenyekiti wa Mikutano ya ngazi zote kwa mwaka 2024.

Aidha, Dkt. Abdallah amebainisha kuwa utekelezaji wa AfCFTA nchini kutachangia kuhamasisha ukuaji wa Viwanda na kuboresha mazingira ya biashara ambako kutatoa matokeo chanya kwa kuongeza ajira, kuongeza Pato la Taifa na kutoa huduma bora za kijamii kwa Watanzania na hatimaye kufikia malengo ya Dira ya Taifa 2025 na Agenda 2063 ya Afrika tunayoitaka.

Vile vile, ametoa wito kwa Jumuiya za Wafanyabiashara wa Tanzania kuchangamkia fursa za soko la AfCFTA lenye watu zaidi ya billioni 1.3 kwa kuzalisha bidhaa zenye ubora na viwango vinavyotakiwa zinazoweza kushindana katika soko hilo ili kutekeleza kwa vitendo Dhamira ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kufungua nchi kiuchumi, kibiashara na kiuwekezaji.
`
“ Wenzetu wanakimbia, sisi tunatakiwa kukimbia zaidi, ni jukumu letu sasa kama Watanzania kuchangakia fursa zilizopo katika Mkataba wa AfCFTA na hapo ndipo tutakuwa tunatekeleza kwa vitendo ile Dhamira ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan katika jitihada zake katika kufungua nchi kiuchumi, kibiashara na kiuwekezaji”. Amesema Dkt Abdallah.

Naye Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda – Zanzibar, Bi Fatma Mabrouk Khamis amewashauri Makatibu Wakuu hao wa Biashara kuhakikisha wanatimiza malengo ya AfCFTA katika kuunda Afrika yenye ustawi na jumuishi ili kuhakikisha wananchi wa kila Nchi wananufaika na Manufaa ya AfCFTA yanagawanywa kwa usawa bila kuacha Nchi Mwananchama yoyote nyuma.

Aidha, ametoa wito kwa Wananchi wote hususani Wananwake na Vijana wa Tanzania Bara na Visiwani kuchangamkia fursa hizo kwa kuuza bidhaa zenye ubora na uasili wa Tanzania kulingana na mahitaji ya soko hilo linalojumisha Nchi 54 za Afrika ili kuongeza ajira, kwa kuwa AfCFTA inatoa fursa ya kuuza bidhaa au huduma ndani ya Bara la Afrika bila vikwazo vyovyote vya kiushuru kwa Nchi yoyote Afrika ambayo ni Mwanachama.

Akitoa mfano wa bidhaa za mwani zinazotengenezwa kwa Wingi Zanzibar, Bi Khamis amesema kutokana na fursa za AfCFTA, bidhaa hizo zinauzwa Uganda, Congo na Nchi nyingine za Afrika na kuwa Kampuni zinazosafirisha bidhaa hizo zimepatiwa mafunzo ya kuelewa mahitaji ya soko na kuhakikisha bidhaa zao zinafikia viwango vinavyohitajika.

“ Mkataba huu wa AfCFTA unatulazimisha Nchi za Afrika kuboresha mazingira ya biashara, kuondoa vikwazo visivyo vya kiushuru, kujenga miundombinu na kuboresha sheria zetu ili kupanua wigo wa soko, kuvutia wafanyabiashara na wawekezaji katika sekta mbalimbali kama vile viwanda, kilimo, mifugo na ufugaji, hali ambayo inaongeza ajira, Pato la Taifa na kukuza uchumi wa wananchi wetu na wa Taifa kwa ujumla” Amesema Bi Khamis.

Naye Mkurugenzi wa Huduma za Biashara,Uwekezaji, Haki miliki Bunifu na Biashara Mtandao wa AfCFTA Bi Emily Mburu Ndoria amesema AfCFTA imetengeneza Itifaki ya Biashara ya Bidhaa, Biashara ya Huduma, Uwekezaji, Haki Miliki Bunifu, Biashara Mtandao, Biashara ya Vijana na wanawake zinazolenga kurahisisha utekelezaji wa AfCFTA kwa ujumla kwa kuiwezesha Afrika kufanya biashara baina ya Nchi na Nchi na kukuza uchumi wake.

Aidha, amezishauri Nchi wananchama kuhamasisha wananchi wao hususani Wananwake na vijana kutumia fursa zinazopatikana katika Mkataba wa AfCFTA kwa kuzalisha bidhaa zenye ubora na viwango vya kimataifa ili ziweze kukidhi mahitaji na kushindana katika soko hilo muhimu la Afika.

Mkutano huo umejumuisha Maafisa Biashara Waandamizi (STOs) kutoka nchi wanachama wa AfCFTA na Jumuiya za Kikanda kama vile Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC), Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC), Jumuiya ya Uchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS), Jumuiya ya Uchumi ya Afrika ya Kati (ECCAS), Shirika la Kikanda la Maendeleo kati ya Serikali (IGAD), Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB), Soko la Pamoja la Mashariki na Kusini mwa Afrika (COMESA), Jumuiya ya Nchi za Sahel-Sahara (CEN-SAD,) Tume ya Uchumi wa Afrika ya Umoja wa Mataifa (UNECA), Umoja wa nchi za Kiarabu wa Maghreb (UMA) na Benki ya Uagizaji na Usafirishaji nje Bidhaa za Afrika (AFREXIMBANK)

About the author

mzalendo