Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

avrupabet

vipslot

betcool

betlivo

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

kareasbet

hazbet

betra

meritking giriş

marsbahis

meritking

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

betra

gobahis

casival

casival

betcool

avrupabet

celtabet

jojobet

Hacklink panel

norabahis

kingroyal

Google

holiganbet

marsbahis

luxbet

hepbet

millibahis giriş

gobahis

vipslot

betface

elitbahis giriş

betcool

primebahis

betturkey

betturkey giriş

otobet

otobet giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

piabellacasino

timebet

betpark giriş

holiganbet

betpark

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

betewin

jojobet

vipslot

betnis

betmarino giriş

aresbet

aresbet

avrupabet giriş

betface

luxbet

betmarino

casival giriş

betlivo giriş

realbahis

gallerbahis

gallerbahis

aresbet giriş

parmabet

betnis

elitbahis

marsbahis

betra giriş

celtabet giriş

parmabet giriş

vipslot giriş

hazbet giriş

elitbahis

luxbet giriş

hepbet

lordcasino

parmabet

lordcasino

kareasbet

betcool giriş

realbahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

cratosroyalbet

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

parmabet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

madridbet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

jojobet

grandpashabet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet giriş

marsbahis

sweet bonanza

mavibet

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

betlivo

millibahis

millibahis

celtabet

millibahis

parmabet giriş

mavibet giriş

coinbar

coinbar

mislibet giriş

mavibet

parmabet giriş

parmabet

coinbar güncel giriş

mavibet

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

marsbahis

betsat giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

betsat

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

betcio

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis

marsbahis

betturkey giriş

Featured Kitaifa

NAIBU KATIBU MKUU MNDEME ATETA NA NAIBU BALOZI WA INDIA NCHINI TANZANIA

Written by mzalendo

Naibu Balozi wa India nchini Tanzania, Mhe. Manoj Verma (kushoto) akiagana na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Christina Mndeme muda mfupi baada ya kumaliza mazungumzo baina yao yaliyofanyika katika Mji wa Serikali wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma .

Na Mwandishi Wetu,DODOMA,

Serikali ya India imeahidi kushirikiana na Tanzania katika kuhakikisha lengo la utekelezaji wa mkakati wa matumizi ya nishati safi ya kupikia ifikapo mwaka 2034 linafikiwa, hatua itakayosaidia kupunguza matumizi ya kuni na mkaa na kuhamasisha uhifadhi wa mazingira. 

Hayo yamebainika wakati wa kikao kati ya Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Christina Mndeme na Naibu Balozi wa India nchini Tanzania, Mhe. Manoj Verma kilichofanyika katika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma Juni 20, 2024. 

Katika mazungumzo hayo, Bi. Mndeme ameishukuru Serikali ya India kwa kuendelea kushirikiana na Tanzania kupitia utekelezaji wa miradi mbalimbali inayogusa huduma za maendeleo ya kijamiii na kiuchumi kwa wananchi. 

Mndeme ameeleza kuwa ajenda ya nishati safi ya kupikia ni moja ya kipaumbele cha kimkakati cha Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye amekuwa kinara katika kuhamasisha jamii na juhudi zake zinashuhudiwa na Watanzania, Afrika na Dunia kwa ujumla. 

“Mhe. Rais Dkt. Samia amekuwa kinara wa kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia ametumia ushawishi wake katika majukwaa mbalimbali ya kimataifa kwa kutafuta fursa ili kubadilisha mfumo uliopo katika jamii yetu kwa kuacha kutumia nishati chafu na kuhamia katika nishati safi ya kupikia kama gesi” amesema Mndeme. 

Aidha Mndeme amesema Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali katika kuhakikisha suala la uhifadhi na usimamizi wa mazingira linaendelea kupewa kipaumbele katika mikutano na majukwaa mbalimbali ya ngazi za maamuzi. 

Mndeme pia ameishukuru Serikali ya India kwa kuendelea kutoa fursa ya mafunzo yanayolenga katika kuwajengea uwezo kwa wataalamu kada mbalimbali ikiwemo sekta ya mazingira. 

Kwa upande wake, Balozi Mhe. Verma amepongeza juhudi zinazoendelea kufanywa na Serikali ya Tanzania katika kuhakikisha jamii yake inahamia katika mfumo wa matumizi ya nishati safi ya kupikia hatua inayolenga kuepukana na matumizi ya nishati chafu ambayo imekuwa na madhara makubwa kwa afya ya binadamu na mazingira. 

“India imepiga hatua kubwa katika matumizi ya nishati safi ya kupikia ambapo takribani asilimia 80 ya wananchi wa mijini na vijijini wanatumia nishati hiyo…..Tupo tayari kushirikiana na Tanzania katika kuhakikisha ajenda hii inafikiwa kwa wananchi wake” amesema Mhe. Verma.

 Aidha Mhe. Verma ameeleza kuwa matumizi ya nishati safi ya kupikia ni moja ya ajenda inayoendelea kupewa kipaumbele katika mikutano na majukwaa mbalimbali ya kikanda, kitaifa na kimataifa kutokana na umuhimu kugusa maslahi ya wananchi wengi hususani waliopo katika mataifa yanayoendelea. 

Mhe. Verma amefafanua kuwa umuhimu huo unatokana na ukweli kuwa Tanzania kama nchi nyingine zinazoendelea zimekuwa zikichukua hatua mbalimbali za kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi na moja ya juhudi hizo ni kuhamasisha jamii kuachana na shughuli za ukataji wa kuni na mkaa kwa matumizi ya nishati ya kupikia. 

Ameongeza kuwa katika kuhamasisha jamii kutambua umuhimu wa uhifadhi wa mazingira, tarehe 5 Juni mwaka huu Serikali ya India imezindua Kampeni ya Upandaji Miti ijulikanayo “A tree for Mother” inayohamasisha dunia umuhimu wa kupanda miti kwa ajili ya uhifadhi wa mazingira na rasilimali za viumbe hai mbalimbali. 

Hivyo, Balozi Verma ameiomba Serikali ya Tanzania kuunga mkono kampeni hiyo, ambapo katika kipindi cha mwaka mmoja, Serikali ya India imekusudia kupanda miti bilioni 1 ikiwa ni mkakati wa kuhamasisha jamii kulinda mazingira na uhifadhi wa baianoai mbalimbali na hivyo kufikia malengo ya maendeleo endelevu. 

Kikao hicho pia kilihudhuriwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Deogratius Paul na watalaamu mbalimbali

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Bi. Christina Mndeme (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Balozi wa India nchini Tanzania, Mhe. Manoj Verma (wa pili kushoto) muda mfupi mara baada ya kumaliza mazungumzo baina yao yaliyofanyika katika Mji wa Serikali wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Bi. Christina Mndeme (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Balozi wa India nchini Tanzania, Mhe. Manoj Verma (wa pili kushoto) muda mfupi mara baada ya kumaliza mazungumzo baina yao yaliyofanyika katika Mji wa Serikali wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma .

Naibu Balozi wa India nchini Tanzania, Mhe. Manoj Verma (katikati) akizungumza jambo na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Bi. Christina Mndeme muda mfupi mara baada ya kumaliza mazungumzo baina yao yaliyofanyika katika Mji wa Serikali wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma.

Naibu Balozi wa India nchini Tanzania, Mhe. Manoj Verma akiagana na Mkurugenzi Msaidizi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Deogratius Paul mara baada ya kumaliza mazungumzo baina yake na Viongozi wa Ofisi hiyo yaliyofanyika katika Mji wa Serikali wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma Juni 20, 2024. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Bi. Christina Mndeme.

Naibu Balozi wa India nchini Tanzania, Mhe. Manoj Verma (kushoto) akiagana na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Christina Mndeme muda mfupi baada ya kumaliza mazungumzo baina yao yaliyofanyika katika Mji wa Serikali wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma Juni 20, 2024.

(NA MPIGAPICHA WETU)

About the author

mzalendo