Featured Kimataifa

MAKAMU WA RAIS ATETA NA WATAALAM WA BIOTECHNOLOGY KUTOKA CUBA

Written by mzalendo

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na ujumbe wa watalaam kutoka kampuni ya Biotechnology and Pharmaceutical Industries ya nchini Cuba wakiongozwa na Mkurugenzi wa Biashara wa Kampuni hiyo Dkt. David Curbelo. Mazungumzo hayo yamefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Juni 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja ujumbe wa watalaam kutoka kampuni ya Biotechnology and Pharmaceutical Industries ya nchini Cuba wakiongozwa na Mkurugenzi wa Biashara wa Kampuni hiyo Dkt. David Curbelo (wa nne kutoka kushoto) mara baada ya Mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Juni 2024. Wengine ni Ujumbe wa Tanzania akiwemo Balozi wa Tanzania nchini Cuba Mhe. Humphrey Polepole (watatu kutoka kushoto)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiagana na Mkurugenzi wa Biashara wa Kampuni ya Biotechnology and Pharmaceutical Industries ya nchini Cuba Dkt. David Curbelo mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Juni 2024

About the author

mzalendo