Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

timebet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

matbet

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

nerobet

betcup

casinofast giris

matbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

jojobet

jojobet giriş

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

tarafbet

meritbet

jojobet güncel giriş

marsbahis

bets10

betsat

jojobet

marsbahis

ultrabet

mavibet

mavibet

setrabet

betpas

perabet

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

matbet giriş

betlike giriş

mavibet giriş

matbet güncel giriş

mavibet

mavibet

matbet giriş

matbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat giriş

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

Featured Michezo

MAJALIWA: MIUNDOMBINU YA MICHEZO KUENDELEA KUBORESHWA

Written by mzalendo

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza kwenye ufunguzi wa mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa shule za Msingi (UMITASHUMTA) na Sekondari (UMISSETA) katika uwanja wa Alli Hassan Mwinyi mkoani Tabora Juni 8.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

……………..

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kutekeleza mpango wa kuboresha miundombinu ya michezo katika shule teule 56 nchini.

Amesema hadi  kufikia Machi 2024 imeshapeleka shilingi billioni nne kwa ajili ya kuboresha miundombinu katika shule za sekondari 26 za amali.

Ameyasema hayo leo (Jumamosi, Juni 8, 2024) alipofungua Mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa Shule za Msingi na Sekondari Tanzania, Tabora. Amefungua mashindano hayo kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Aidha, Waziri Mkuu ametumia fursa hiyo kumpongeza na kumshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuwezesha na kuhamasisha ufundishaji wa michezo katika shule za Msingi na Sekondari nchini.

Waziri Mkuu amesema shule 10 zilizopelekewa fedha za maboresho ni za michezo na sanaa na ni miongoni mwa shule teule 56 za michezo.

Amesema lengo la Serikali ni kuendelea kuboresha na kuweka mazingira mazuri ya michezo na sanaa nchini kwa ajili ya kuandaa wataalam na wanamichezo mahiri.

Katika hatua nyingine, Waziri Mkuu amesema Serikali inaamini kwenye uwekezaji katika michezo ya wanafunzi wa shule za msingi na Sekondari kwani unasaidia kwenye maandalizi ya mchezaji kuwa mahiri na kufanya vizuri ndani na nje ya nchi.

“Hii ndio sababu ya uwepo wa mashindano haya ya michezo ya UMITASHUMTA na UMISSETA ambayo yanasaidia kuibua vipaji mbalimbali vya wanamichezo watakaoweza kucheza michezo mbalimbali kwa ngazi za kitaifa na kimataifa”

“Michezo ina manufaa makubwa katika maisha yetu. Kwanza kabisa, michezo husaidia afya ya mwili na akili, amani ya nafsi, kupata pesa na uongeza umaarufu.”

“Kwa upande wa wazazi na walezi,  hakikisheni na himizeni ushiriki wa watoto katika michezo au sanaa ili  wasijitenge  na  fursa zinazopatikana katika dunia ya sasa.”

Kwa upande wake, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI amesema kwa mwaka huu mashindano ya UMITASHUMTA yamehusisha wanamichezo 3188, na walimu na viongozi 805 kutoka Tanzania Bara na Visiwani.

Ameongeza kuwa Mashindano ya UMISSETA yatahusisha wanamichezo 3360, na walimu na viongozi 900.

Naye, Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt Damas Ndumbaro amesema katika kutekeleza agizo la Mheshimiwa Waziri Mkuu la kuitaka wizara hiyo imepeleka wataalam kwenye mashindano hayo, ikihakikisha baada ya mashindano hayo kutakuwa na timu za taifa zinazotokana na michuano hiyo.

“Pia ulituelekeza tuwe na shule maalum ambazo timu hizo zitawekwa, hivyo kwenye bajeti tuliyoipitisha hivi karibuni tumetenga fedha kwa ajili ya ujenzi wa shule 10 maalum za michezo.”

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa ameshika mpira na kupuliza kipyenga kuashiria ufunguzi wa mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa shule za Msingi (UMITASHUMTA) na Sekondari (UMISSETA) katika uwanja wa Alli Hassan Mwinyi mkoani Tabora Juni 8.2024. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Miko ana Serikali za Mitaa (TAMISEMI) ambaye pia ni Mbunge wa Rufiji, Mohammed Mchengerwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipuliza kipyenga na kurusha mpira kuashiria ufunguzi wa mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa shule za Msingi (UMITASHUMTA) na Sekondari (UMISSETA) katika uwanja wa Alli Hassan Mwinyi mkoani Tabora Juni 8.2024. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Miko ana Serikali za Mitaa (TAMISEMI) ambaye pia ni Mbunge wa Rufiji, Mohammed Mchengerwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza kwenye ufunguzi wa mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa shule za Msingi (UMITASHUMTA) na Sekondari (UMISSETA) katika uwanja wa Alli Hassan Mwinyi mkoani Tabora Juni 8.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Miko ana Serikali za Mitaa (TAMISEMI) ambaye pia ni Mbunge wa Rufiji, Mohammed Mchengerwa kwenye ufunguzi wa mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa shule za Msingi (UMITASHUMTA) na Sekondari (UMISSETA) katika uwanja wa Alli Hassan Mwinyi mkoani Tabora Juni 8.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na watoto wahamasishaji kwenye ufunguzi wa mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa shule za Msingi (UMITASHUMTA) na Sekondari (UMISSETA) katika uwanja wa Alli Hassan Mwinyi mkoani Tabora Juni 8.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendo