Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

timebet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

matbet

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

nerobet

deneme bonusu

casinofast giris

matbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

tarafbet

meritbet

jojobet güncel giriş

marsbahis

bets10

betsat

jojobet

marsbahis

ultrabet

mavibet

mavibet

setrabet

deneme bonusu veren siteler 2026

perabet

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

matbet giriş

betlike giriş

mavibet giriş

matbet güncel giriş

mavibet

mavibet

matbet giriş

matbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat giriş

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

Featured Kitaifa

PROF.KUSILUKA AWATAKA WATAALAMU WA MAZINGIRA UDOM KUREJESHA UOTO WA ASILI DODOMA.

Written by mzalendo

 

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Prof. Lughano Kusiluka,akizungumza wakati wa  mdahalo ulioandaliwa na Idara ya Jiografia na Stadi za Mazingira UDOM  wenye kauli mbiu “Urejeshwaji wa Ardhi na Ustahimilivu wa Hali ya Jangwa na Ukame” uliohusisha wadau wa mazingira kutoka ndani na nje ya UDOM.

Mkuuwa Idara ya Jiografia Dkt.Augustino Mwakipesile,akizungumza wakati wa  mdahalo ulioandaliwa na Idara ya Jiografia na Stadi za Mazingira UDOM  wenye kauli mbiu “Urejeshwaji wa Ardhi na Ustahimilivu wa Hali ya Jangwa na Ukame” uliohusisha wadau wa mazingira kutoka ndani na nje ya UDOM.

Mtoa mada kutoka Idara ya Jiografia na Stadi za Mazingira UDOM Prof. Abiud Kaswamila ,akizungumza wakati wa  mdahalo ulioandaliwa na Idara ya Jiografia na Stadi za Mazingira UDOM  wenye kauli mbiu “Urejeshwaji wa Ardhi na Ustahimilivu wa Hali ya Jangwa na Ukame” uliohusisha wadau wa mazingira kutoka ndani na nje ya UDOM.

Mwanafunzi kutoka ndaki ya Insia na Sayansi za Jamii akichangia mada  wakati wa  mdahalo ulioandaliwa na Idara ya Jiografia na Stadi za Mazingira UDOM  wenye kauli mbiu “Urejeshwaji wa Ardhi na Ustahimilivu wa Hali ya Jangwa na Ukame” uliohusisha wadau wa mazingira kutoka ndani na nje ya UDOM.

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Prof. Lughano Kusiluka,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua  mdahalo ulioandaliwa na Idara ya Jiografia na Stadi za Mazingira UDOM  wenye kauli mbiu “Urejeshwaji wa Ardhi na Ustahimilivu wa Hali ya Jangwa na Ukame” uliohusisha wadau wa mazingira kutoka ndani na nje ya UDOM.

Na.Mwandishi Wetu_Dodoma

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Prof. Lughano Kusiluka amewataka wataalamu wa Mazingira UDOM kutumia taaluma yao kurejesha uoto wa asili wa Dodoma uliopotea kutokana na shughuli mbalimbali za kibinadamu.

Rai hiyo ameitoa katika mdahalo ulioandaliwa na Idara ya Jiografia na Stadi za Mazingira UDOM uliofanyika tarehe 4/6/2024 wenye kauli mbiu “Urejeshwaji wa Ardhi na Ustahimilivu wa Hali ya Jangwa na Ukame” uliohusisha wadau wa mazingira kutoka ndani na nje ya UDOM.

” Tuna wanasayansi, walimu na wahandisi wa Mazingira lakini tuna watalaamu wa kuzuia majanga, UDOM tukiwa kama wasomi ambao sauti zetu zinasikika mbali tunatakiwa tusaidie jamii inayotuzunguka kutunza na kuhifadhi mazingira hasa sehemu zote zenye makorongo hapa Dodoma
” Aliongeza Prof. Kusiluka.

Aidha, Prof. Kusiluka amewapongeza wana jumuiya wa Chuo Kikuu cha Dodoma kwa kuendesha kampeni mbalimbali za utunzaji na uhifadhi wa Mazingira ndani ya Chuo ikiwemo kampeni ya kijanisha UDOM.

Mtoa mada kutoka Idara ya Jiografia na Stadi za Mazingira UDOM Prof. Abiud Kaswamila ambaye aliwasilisha mada juu ya Binadamu; Dunia inahitaji kuponywa sio kuumizwa alitaja mambo makuu 3 ambayo yanasababisha uharibifu wa mazingira kuwa ni ongezeko la watu, umaskini na mabadiliko ya hali ya hewa.

Muwasilianaji mada kutoka Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira ( NEMC) Bwn. Emmanuel Mwasihu amesema kama NEMC wanaendelea kutoa Elimu kuhusu utunzaji na uhifadhi wa Mazingira na amependekeza kuwa mitaala katika ngazi zote za elimu izingatie elimu ya mazingira.

Naye, Mwanafunzi wa Mwaka wa tatu wa Shahada ya Awali ya Sanaa katika Giografia na Sayansi ya Mazingira kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma Bi. Mariam Philip amesema yeye atakuwa balozi mzuri wa mazingira na ataitumia vizuri mafunzo aliyopata katika kubadilisha jamii inayomzunguka.

Chuo Kikuu cha Dodoma kimeahiriki katika shughuli mbalimbali za uifadhi wa Mazingira kuanzia tarehe 1/6/2024 ikiwa ni pamoja na kutoa elimu kwa umma na kufanya usafi maeneo mbalimbali ya jiji la Dodoma. UDOM pia itashiriki katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani tarehe 5 Juni, 2024 ambayo kitaifa yatafanyika jijini Dodoma katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete.

About the author

mzalendo