Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

timebet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

avrupabet, avrupabet giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

matbet

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

betpas

betcup

casinofast giris

matbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

jojobet

jojobet giriş

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

tarafbet

meritbet

jojobet güncel giriş

marsbahis

bets10

betsat

jojobet

marsbahis

ultrabet

mavibet

mavibet

setrabet

betpas

perabet

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

matbet giriş

betlike giriş

mavibet giriş

matbet güncel giriş

mavibet

mavibet

matbet giriş

matbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

pokerklas, pokerklas giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat giriş

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

Featured Kitaifa

AFRICA 50- AfDB KUSAIDIA UJENZI WA BANDARI SHIRIKISHI ZANZIBAR

Written by mzalendo

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango, Zanzibar, Dkt. Juma Malik Akil akizungumza kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, katika kikao kati ya Tanzania na Taasisi ya Uwekezaji wa Miundombinu Afrika (Africa 50) kuhusu ushirikiano uliopo kati yao, kilichofanyika kando ya Mikutano ya Mwaka 2024 ya Bodi ya Magavana (Mawaziri wa Fedha kutoka nchi wanachama) wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Jijini Nairobi nchini Kenya.

Na Ramadhani Kissimba na Farida Ramadhani, WF – Nairobi

Serikali ya Tanzania na Taasisi ya Uwekezaji wa Miundombinu Afrika (Africa 50) kwa kushirikiana na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), wamekubaliana kuendeleza huduma za bandari Visiwani Zanzibar.

Hayo yameelezwa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango, Zanzibar, Dkt. Juma Malik Akil kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, katika kikao kati ya Tanzania na Taasisi hiyo kilichofanyika kando ya Mikutano ya Mwaka 2024 ya Bodi ya Magavana (Mawaziri wa Fedha kutoka nchi wanachama) wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Jijini Nairobi nchini Kenya.

Dkt. Akili alisema Serikali imekubaliana kuendeleza mazungumzo ambayo yalishaanza kufanyika na Taasisi ya Uwekezaji wa Miundombinu Afrika (Africa 50) kwa ajili ya ujenzi wa Bandari Shirikishi ya Manga Pwani na Taasisi hiyo pamoja na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) wanatarajia kufika Zanzibar mwezi Juni, 2024 kuangalia eneo lililotengwa kwa ajili ya ujenzi wa bandari hiyo.

“Tunatarajia hivi karibuni, Africa 50 kwa kushirikiana na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), watakuja Zanzibar kwa ajili ya kuangalia eneo lilioandaliwa kwa ajili ya ujenzi wa Bandari ya Manga Pwani”, alibainisha Dkt. Akil.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango, Zanzibar, Dkt. Juma Malik Akil Aliongeza kuwa Africa50 pia imeahidi kwa kushirikiana na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), kuhakikisha mradi huo unakamilika mapema ili uweze kusaidia kuhamasisha uwekezaji ili kuchochea ukuaji wa uchumi wa Zanzibar.

Aidha,Dkt. Akil alisema kuwa, tofauti na mradi huo wa ujenzi wa Bandari ya Manga pwani Taasisi ya Uwekezaji wa Miundombinu Afrika (Africa50) imekuwa ikishirikiana na Serikali katika maeneo mbalimbali ya maendeleo hususan katika Sekta ya Nishati upande wa gesi ambapo imekuwa ikifanya kazi kwa karibu na Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC).

Kwa upande wake Mkuu wa Uendeshaji wa Taasisi ya Uwekezaji wa Miundombinu Afrika (Africa 50), Bi. Tshepidi Moremong, alisema Taasisi hiyo itaendelea kushirikiana na Tanzania katika maeneo yote muhimu ya uwekezaji wa miundombinu ili kuiwezesha nchi kuwa na ukuaji endelevu wa kiuchumi, kuzalisha ajira na kutunza rasilimali za asili kwa vizazi vijavyo.

Alisema Taasisi hiyo inachangia ukuaji wa nchi za Afrika kwa kuleta pamoja miradi ya maendeleo na ufadhili katika jukwaa moja, inaendeleza na kuwekeza katika miradi inayoweza kufadhiliwa, kuchochea mtaji wa Sekta ya Umma na kuhamasisha ufadhili wa Sekta Binafsi.

Africa50 ilianzishwa na Serikali za Afrika kwa pamoja na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) ili kusaidia kuziba pengo la ufadhili wa miundombinu Barani Afrika kwa kuwezesha utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo, kuchochea upatikanaji wa fedha ili kuendeleza Sekta ya Umma na Binafsi, pamoja na kuwekeza katika maeneo ya miundombinu Barani Afrika.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango, Zanzibar, Dkt. Juma Malik Akil akizungumza kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, katika kikao kati ya Tanzania na Taasisi ya Uwekezaji wa Miundombinu Afrika (Africa 50) kuhusu ushirikiano uliopo kati yao, kilichofanyika kando ya Mikutano ya Mwaka 2024 ya Bodi ya Magavana (Mawaziri wa Fedha kutoka nchi wanachama) wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Jijini Nairobi nchini Kenya.

Mkuu wa Uendeshaji wa Taasisi ya Uwekezaji wa Miundombinu Afrika (Africa 50), Bi. Tshepidi Moremong akizungumza katika kikao kati ya Tanzania na Taasisi ya Uwekezaji wa Miundombinu Afrika (Africa 50) kuhusu ushirikiano uliopo kati yao, kilichofanyika kando ya Mikutano ya Mwaka 2024 ya Bodi ya Magavana (Mawaziri wa Fedha kutoka nchi wanachama) wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Jijini Nairobi nchini Kenya.

Katibu Mkuuc, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango, Zanzibar, Dkt. Juma Malik Akil (watatu kushoto) akiongoza ujumbe wa Tanzania katika kikao kati ya Tanzania na Taasisi ya Uwekezaji wa Miundombinu Afrika (Africa 50) kuhusu ushirikiano uliopo kati yao, kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, kilichofanyika kando ya Mikutano ya Mwaka 2024 ya Bodi ya Magavana (Mawaziri wa Fedha kutoka nchi wanachama) wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Jijini Nairobi nchini Kenya.

Afisa Mwandamizi wa Mahusiano ya Uwekezaji wa Taasisi ya Uwekezaji wa Miundombinu Afrika (Africa 50), Bi. Cyndia Kipchumba akifafanua jambo katika kikao kati ya Tanzania na Taasisi hiyo kuhusu ushirikiano uliopo kati yao, kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, kilichofanyika kando ya Mikutano ya Mwaka 2024 ya Bodi ya Magavana (Mawaziri wa Fedha kutoka nchi wanachama) wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Jijini Nairobi nchini Kenya.

Baadhi ya Ujumbe wa Tanzania, Bi. Levina Kimaro na Bw. Alpha Swedi wakifuatilia mazungumzo yaliyokuwa yanaendelea katika kikao baina ya Tanzania na Taasisi ya Uwekezaji wa Miundombinu Afrika (Africa 50) kuhusu ushirikiano uliopo kati yao, kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, kilichofanyika kando ya Mikutano ya Mwaka 2024 ya Bodi ya Magavana (Mawaziri wa Fedha kutoka nchi wanachama) wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Jijini Nairobi nchini Kenya.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha, Nairobi – Kenya)

About the author

mzalendo