Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

timebet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

avrupabet, avrupabet giriş

gameofbet

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

betpas

betcup

casinofast giris

matbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

jojobet

jojobet giriş

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritbet

jojobet güncel giriş

marsbahis

bets10

betsat

jojobet

marsbahis

ultrabet

mavibet

mavibet

setrabet

betpas

perabet

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

matbet giriş

betlike giriş

mavibet giriş

matbet güncel giriş

mavibet

mavibet

matbet giriş

matbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

pokerklas, pokerklas giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat giriş

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betface

betface

Featured Kitaifa

NAIBU WAZIRI PINDA ATAKA UTUNZAJI HATI MILIKI ZA ARDHI KUEPUKA UDANGANYIFU

Written by mzalendo

Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Suleiman Jafo akimnawisha maji Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Mbunge wa jimbo la Kavuu Mhe. Geophrey Pinda mara baada ya kupanda mti wakati wa uzinduzi wa wiki ya Mazingira katika kata ya Kasansa halmashauri ya Mpimbwe mkoa wa Katavi.

Na Munir Shemweta, MLELE

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amewataka wananchi wanaokabidhiwa hati Milki za ardhi kuhakikisha wanazitunza ili kuepuka udanganyifu unaoweza kufanyika kutoka watu wasio waaminifu.

Mhe. Pinda ametoa kauli hiyo tarehe 29 Mei 2024 wakati wa hafla ya uzinduzi wa wiki ya Mazingira iliyoambatana na ugawaji hati za Hakimiliki za Kimila za ardhi, Daftari la Usajili wa Wamiliki wa ardhi la Kijiji na Vyeti vya Kijiji iliyofanyika kata ya Kasansa halmashauri ya Mpimbwe wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi.

Katika hafla hiyo ambayo mgeni rasmi alikuwa Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Suleiman Jafo jumla ya Hati za Hakimiliki za Ardhi za kimila 30 kati 4450 zilizoandaliwa kupitia mradi wa urejeshwaji endelevu wa mazingira na uhifadhi wa Bioanuai Tanzania (SLR) unaosimamiwa na ofisi ya Makamu wa Rais zilitolewa.

Mhe. Pinda ambaye ni Mbunge wa jimbo la Kavuu kupitia mkutano wa hadhara amewatahadharisha wananchi kuwa,  hati milki za ardhi ni nyaraka na mali ambayo haipaswi kabisa kuazimishwa kwa mtu yeyote ili akachukulie mkopo benki  bila kujua utaratibu wa namna ya kurejesha mkopo.

‘’Hii hati haiazimwi kama tunavyoazimana nguo, lakini ni mali na umsimgawie jirani hata mtoto wako ili aende akakopee bila kuwa na mpangilio maalum atarudijshaje, maana mwisho wa siku benki haitamuangalie aliyekopa itaangalia kielelezo, mtakuja kunyanganywa mali kwa maana ya mashamba au nyumba, kazitunzeni’’. Alisema Mhe. Pinda

Amefafanua kuwa, iwapo mwananchi atashindwa kuzitunza hati milki ya ardhi basi anaweza kuipeleka masijala za ofisi za serikali kama vile ofisi ya mkuu wa wilaya au mkurugenzi wa halmashauri aliowaeleza kuwa wamepewa muelekewa wa namna ya kutunza kumbukumbu ili wakati wa kutumia ukifika waweze kwenda kuiomba.

Aidha, kupitia hafla hiyo, Naibu Waziri wa Ardhi Mhe. Pinda ameiomba ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) kupitia Mradi wa Urejeshwaji Endelevu wa Mazingira na Uhifadhi wa Bioanuai Tanzania (SLR) kufadhili pia vijiji vingine vilivyopo kata za Mamba, Majimoto, Mbede, Usevya pamoja na Kibaoni katika halmashauri ya Mpimbwe ili kutunza mazingira sambamba na kuimarisha biashara ya hewa ya ukaa kwa lengo la kuleta manufaa kwenye vijiji vya kata hizo.

Kwa upande wake Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Suleiman Jafo ameipongeza Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia Tume ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi kwa kufanikisha uandaaji wa Mipango ya matumizi ya ardhi na hatimaye kuandaa hati miliki za kimila 4,450.

‘’Hili ni jambo kubwa sana kufanikisha hati 4,450 ambalo ni jambio kubwa sana na hapa peke yake ni hati 1,046 ni faraja kubwa sana katika mradi huuu tuneona changamoto kubwa hasa watu wanaokosa hati za ardhi kupitia mradi huu tumeona mafanikio makubwa sana   katika mustakabali wa maendeleo ya nchi’’ amesema Mhe, Jafo.

Mhe, Jafo amesema, ofisi yake itatoa ushirikiano katika juhudi zozote za uhifadhi mazingira kwenye halmashauri ya Mpimbwe na mkoa mzima wa Katavi ili kuleta manufaa kwa mkoa na wananchi ikiwemo uvunaji hewa ya ukaa katika vijiji husika.

Kilele cha wiki ya mazingira kinachoambatana na shughuli mbalimbali nchini kama vile uwepo wa Kongamano pamoja na shughuli za kufanya usafi kitafanyika kitaifa mkoa wa Dodoma na kimataifa kitafanyika jiji la Riadh nchini Saudia Arabia.

Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Suleiman Jafo akizindua mradi wa Josho, Banio na Birika la kunyweshea mifugo katika mradi wa urejeshwaji endelevu wa mazingira na uhifadhi wa Bioanuai Tanzania (SLR) unaosimamiwa na Ofisi ya Makamu wa Rais katika kata ya Kasansa halmashauri ya Mpimbwe mkoa wa Katavi tarehe 29 Mei 2024. Wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Mbunge wa jimbo la Kavuu Mhe. Geophrey Pinda.

Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Suleiman Jafo akimnawisha maji Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Mbunge wa jimbo la Kavuu Mhe. Geophrey Pinda mara baada ya kupanda mti wakati wa uzinduzi wa wiki ya Mazingira katika kata ya Kasansa halmashauri ya Mpimbwe mkoa wa Katavi.

Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Suleiman Jafo na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Mbunge wa jimbo la Kavuu Mhe. Geophrey Pinda wakikabidhi Daftari la Usajili wa Wamiliki wa ardhi la Kijiji kwa viongozi wa kijiji wakati wa uzinduzi wa wiki ya Mazingira katika kata ya Kasansa halmashauri ya Mpimbwe mkoa wa Katavi.

Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Suleiman Jafo akikabidhi ya hati ya Hakimiliki ya pamoja (Mume na Mke) kwa mwenyekiti wa halmashauri ya Mpimbwe Silas Ilumba na mke wake wakati wa uzinduzi wa wiki ya Mazingira katika kata ya Kasansa halmashauri ya Mpimbwe mkoa wa Katavi.

 Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Suleiman Jafo na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Mbunge wa jimbo la Kavuu Mhe. Geophrey Pinda pamoja na viongozi wengine wakiwa katika picha ya pamoja na wananchi waliokabidhiwa hati ya Hakimiliki za kimila wakati wa uzinduzi wa wiki ya Mazingira katika kata ya Kasansa halmashauri ya Mpimbwe mkoa wa Katavi.

Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Suleiman Jafo na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Mbunge wa jimbo la Kavuu Mhe. Geophrey Pinda wakikabidhi fedha milioni 3 zilizotolewa na Mbunge wa jimbo la Kavuu kwa kikundi cha utunzaji mazingira cha Mkombozi wakati wa uzinduzi wa wiki ya Mazingira katika kata ya Kasansa halmashauri ya Mpimbwe mkoa wa Katavi.

Sehemu ya wananchi waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa wiki ya Mazingira iliyofanyika katika kata ya Kasansa halmashauri ya Mpimbwe mkoa wa Katavi. (PICHA ZOTE NA WIZARA YA ARDHI)

About the author

mzalendo