marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

mersin escort

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

pusulabet

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

pashagaming

şğp

grandpashabet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

sonbahis

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

imajbet

klasbahis

savoybetting giriş

goldenbahis

savoybetting

klasbahis giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

pusulabet, pusulabet giriş

matbet, matbet giriş

betcio, betcio giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

deneme bonusu

deneme bonusu

holiganbet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

casibom giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

sahabet

Madridbet

grandpashabet giriş

jojobet

casibom

marsbahis

jojobet giriş

jojobet

alobet

alobet giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

trendbet giriş

bets10

jojobet

perabet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

türkçe altyazılı porno izle

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

grandpashabet

vdcasino

trendbet

imajbet giriş

milanobet

imajbet

perabet giriş

perabet

ngsbahis

kralbet giriş

milanobet giriş

สล็อตเว็บตรง

bets10

casibom giriş

jojobet

deneme bonusu

kingroyal

trust score weak 3

jojobet

slot siteler

casino siteleri

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betsat

betsat giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu veren siteler

sekabet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

marsbahis, marsbahis giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

superbetin

madridbet

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

tipobet giriş

romabet

piabellacasino

güvenli casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

superbetin

jojobet

jojobet giriş

ilbet

deneme bonusu

deneme bonusu

holiganbet

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino

celtabet

Featured Kitaifa

VIJANA WALIOHITIMU MAFUNZO JKT WATAKIWA KUTUMIA UJUZI WALIOPATA KUJIAJIRI

Written by Alex Sonna

MKUU wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye,akikagua Gwaride la Heshima kabla ya kufunga  mafunzo ya awali ya kijeshi kwa vijana wa Kujitolea ‘Operesheni ya Miaka 60 ya JKT’, katika kikosi cha Jeshi cha 825 Mtabila wilayani Kasulu Mkoani Kigoma.

MKUU wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye,akishuhudia kiapo cha utii cha vijana wa mafunzo ya JKT kabla ya kufunga  mafunzo ya awali ya kijeshi kwa vijana wa Kujitolea ‘Operesheni ya Miaka 60 ya JKT’, katika kikosi cha Jeshi cha 825 Mtabila wilayani Kasulu Mkoani Kigoma.

Gwaride la Heshima la Vijana wa kujitolea likipita mbele ya Mkuu wa  Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye (hayupo pichani) kabla ya kufunga  mafunzo ya awali ya kijeshi kwa vijana wa Kujitolea ‘Operesheni ya Miaka 60 ya JKT’,katika kikosi cha Jeshi cha 825 Mtabila wilayani Kasulu Mkoani Kigoma.

MKUU wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye,akizungumza wakati akifunga  mafunzo ya awali ya kijeshi kwa vijana wa Kujitolea ‘Operesheni ya Miaka 60 ya JKT’, katika kikosi cha Jeshi cha 825 Mtabila wilayani Kasulu Mkoani Kigoma.

Mwakilishi wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi,Jenerali Jacob John Mkunda,Mkuu wa Tawi la Logistiki na Uhandisi Makao Makuu ya Jeshi, Meja Jenerali Hawa Kodi,akizungumza wakati wa hafla ya kufunga mafunzo ya awali ya kijeshi kwa vijana wa Kujitolea ‘Operesheni ya Miaka 60 ya JKT’, katika kikosi cha Jeshi cha 825 Mtabila wilayani Kasulu Mkoani Kigoma.

Mwakilishi wa Mkuu wa JKT, Meja Jenerali Rajabu Mabele, Mkuu wa Tawi la Utawala JKT, Brigedia Jenerali Hassan Mabena,akizungumza wakati wa hafla ya kufunga mafunzo ya awali ya kijeshi kwa vijana wa Kujitolea ‘Operesheni ya Miaka 60 ya JKT’, katika kikosi cha Jeshi cha 825 Mtabila wilayani Kasulu Mkoani Kigoma.

Kamanda wa Kikosi cha Jeshi cha 825, Luteni Kanali Patrick Ndwenya,akizungumza wakati wa hafla ya kufunga mafunzo ya awali ya kijeshi kwa vijana wa Kujitolea ‘Operesheni ya Miaka 60 ya JKT’, katika kikosi cha Jeshi cha 825 Mtabila wilayani Kasulu Mkoani Kigoma.

MKUU wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufunga  mafunzo ya awali ya kijeshi kwa vijana wa Kujitolea ‘Operesheni ya Miaka 60 ya JKT’, katika kikosi cha Jeshi cha 825 Mtabila wilayani Kasulu Mkoani Kigoma.

Na.Alex Sonna-KASULU
 MKUU  wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye ,amewataka vijana waliohitimu mafunzo ya awali ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kutumia ujuzi waliopata kujiajiri kwa kuwa Tanzania ina kazi nyingi za kufanya.
Mhe.Andengenye,ametoa kauli hiyo wakati akifunga mafunzo ya awali ya kijeshi kwa vijana wa Kujitolea ‘Operesheni ya Miaka 60 ya JKT’, katika kikosi cha Jeshi cha 825 Mtabila wilayani Kasulu Mkoani Kigoma.
Mhe.Andengenye,amesema kuwa  sio dhambi kuajiriwa lakini tumieni  ujuzi kupata kazi kwa sababu kazi wakati mwingine inalipa zaidi ya ajira.
Aidha  amewasihi kutumia ujuzi wa kufuga nyuki kazi ambayo ni rahisi na kilimo cha mazao ya bustani.
“Ukitaka kuanza kufuga nyuki hulazimki kwenda benki kukopa fedha kwani wa kuanzia unaweza kutumia mizinga ya asili unayoweza kuchonga kwa mikono,” amesema Mhe.Andengenye
Pia amewataka vijana hao  kujiepusha na matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii yaliyo kinyume na mila na utamaduni wa Watanzania.

Mhe.Andengenye, amesema kuwa Serikali ilitunga Sheria ya Kudhibiti Maudhui Mtandaoni ambapo watakapopatikana na maudhui ambayo ni kinyume na mila na utamaduni, hatua kali za sheria zitacjhukuliwa dhidi yao.

“Natumia fursa hii kuwaasa kuwa hatutakuwa na wasaa mwingine tutakapokuta wewe umeingia kwenye makundi yasiyofaa ambayo siyo yale uliofundishwa hapa (jeshini) ukaingia katika mitandao ya hatakuwa na saa nyingine ya kutoa wasia wakati watakapofanya mambo ya hovyo, bali watawachukulia hatua za kisheria mara moja,”amesema.

Kwa upande wake Mwakilishi wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi,Jenerali Jacob John Mkunda,Mkuu wa Tawi la Logistiki na Uhandisi Makao Makuu ya Jeshi, Meja Jenerali Hawa Kodi amewataka vijana hao  kutumia jukwaa hilo kuwaelimisha wengine kwa vitendo kuwa wao ni wazalendo.
“Niwatake kuzingatia na kuheshimu maamuuzi yenu, kwa kufanya hivyo mtakuwa mmejitendea haki wenyewe na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) na jamii mliyotoka kwa ujumla,”amesema Meja Jenerali Hawa
Naye Mwakilishi wa Mkuu wa JKT, Meja Jenerali Rajabu Mabele, Mkuu wa Tawi la Utawala JKT, Brigedia Jenerali Hassan Mabena,amesema  mafunzo hayo ni mwendelezo wa utekelezaji mawazo ya muasisi wa Taifa, Baba wa taifa hayati Mwalimu Julius Nyerere katika uanzishwaji wa JKT.
”Naamini kuwa mafunzo haya mliyoyapata mmekuwa tayari kulitumikia na kulilinda taifa letu popote mtakapokuwa kwani mmefahamu dhana ya uzalendo, umoja, mshikamano, ukakamavu na kujiami, mnapaswa kutumia elimu hii katika kutatua changamoto mbalimbali pasipo kuvunja sheria na taratibu za nchi. Hivyo nendeni mkaishi kiapo chenu.”amesema Brigedia Jenerali Mabena
Hata hivyo Brigedia Jenerali Mabena  amewataka vijana hao kutunza afya zao kwani ndio msingi na mtaji wao mkubwa na kujiepusha na vitendo vya uvunjifu wa amani, ulevi, utumiaji wa dawa za kulevya, ulaji wa vyakula au utumiaji wa vinywaji vyenye kuhatarisha afya zao.
Aidha, Brigedia Jenerali Mabena amewaomba vijana hao kwenda kuwaelimisha wazazi na walezi ambao bado wana ukakasi wa kutowaruhusu vijana wao kwenda kujitolea.
“Basi ni vyema wazazi wakawaruhusu vijana wao kuja kujitolea ndani ya Jeshi la Kujenga Taifa ili waweze kupata maarifa pamoja na elimu ya ujasilia mali na wawe tayari kulitumikia Taifa lao pindi wanapohitajika,”amesema
Awali  Kamanda wa Kikosi cha Jeshi cha 825, Luteni Kanali Patrick Ndwenya, amewaasa vijana hao kwenda kuyaishi mambo yote, waliofundishwa ndani ya wiki 16 waende kuyaishi kwa vitendo katika kipindi chote cha mkataba wa Jeshi na baada.
“Muendelee kuwa na nidhamu na kuepuka matumizi mabaya ya mtandao ya jamii kuepuka ushabiki wa kisiasa, vikundi viovu,ulevi, ngono matumizi ya dawa za kulevya,”amesema Luteni Kanali Ndwenya.

About the author

Alex Sonna