marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

mersin escort

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

pusulabet

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

pashagaming

şğp

grandpashabet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

sonbahis

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

imajbet

klasbahis

savoybetting giriş

goldenbahis

savoybetting

klasbahis giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

pusulabet, pusulabet giriş

matbet, matbet giriş

betcio, betcio giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

deneme bonusu

deneme bonusu

holiganbet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

casibom giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

sahabet

Madridbet

grandpashabet giriş

jojobet

casibom

marsbahis

jojobet giriş

jojobet

alobet

alobet giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

trendbet giriş

bets10

jojobet

perabet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

türkçe altyazılı porno izle

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

grandpashabet

vdcasino

trendbet

imajbet giriş

milanobet

imajbet

perabet giriş

perabet

ngsbahis

kralbet giriş

milanobet giriş

สล็อตเว็บตรง

bets10

casibom giriş

jojobet

deneme bonusu

kingroyal

trust score weak 3

jojobet

slot siteler

casino siteleri

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betsat

betsat giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu veren siteler

sekabet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

marsbahis, marsbahis giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

superbetin

madridbet

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

tipobet giriş

romabet

piabellacasino

güvenli casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

superbetin

jojobet

jojobet giriş

ilbet

deneme bonusu

deneme bonusu

holiganbet

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino

Featured Kitaifa

WAKUU WA MIKOA HAMASISHENI WANANCHI KUTOA MAONI DIRA 2050 – MAJALIWA

Written by mzalendo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Semina ya Wakuu wa Mikoa kuhusu Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Aprili  17, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Baadhi ya Wakuu wa Mikoa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipofungua  Semina ya Wakuu wa Mikoa kuhusu Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Aprili  17, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Na Mwandishi Wetu, Dodoma.

WAZIRI MKUU Kasim Majaliwa amewaagiza Wakuu wote wa Mikoa wawahamasishe wananchi na wadau mbalimbali kutoa maoni ya Dira ya Taifa ya  Maendeleo 2050 ili kuisaidia timu ya kukusanya maoni kupata maoni yatakayoakisi mahitaji halisi ya nchi.

Pia amewaagiza Wakuu wote wa Mikoa washiriki kwenye mahojiano maalumu na kutoa maoni kuhusu maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 na kuhakikisha zoezi la uhamasishaji wananchi kushiriki kutoa maoni linafanyika kwenye kila halmashauri katika mikoa yao.

Ametoa maagizo hayo leo (Jumatano, Aprili 17, 2024) wakati akifungua semina ya Wakuu wa Mikoa kuhusu uelimishaji umma na uratibu wa zoezi la ukusanyaji maoni ya DIRA 2050 kwenye ukumbi wa Kambarage, HAZINA, jijini Dodoma.

Katika kuhakikisha kuwa zoezi  la ukusanyaji maoni linafanikiwa, Waziri Mkuu amewataka  Wakuu wa Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar watoe ushirikiano wa kutosha kwa timu za wataalamu zitakazotembelea mikoa na wilaya kwa ajili ya ukusanyaji wa maoni kwa njia ya mahojiano na wananchi.

“Wakuu wote wa Mikoa zingatieni kuandaa vikao na watendaji katika ngazi zote za utawala na kuwapa elimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo pamoja na umuhimu wake,” amesema na kuongeza:

“Kwa kuwa mmepewa dhamana ya usimamizi wa zoezi hili katika mikoa yenu, nendeni mkawaelekeze na kuwasimamia Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa, watendaji na viongozi wengine wa ngazi za kata/shehia, mitaa na vijiji pamoja na mabalozi na wajumbe wa nyumba kumi kumi, watoe ushirikiano kwa Mameneja Takwimu wa Mikoa na Makarani wa Dira 2050 katika ukusanyaji maoni ngazi ya kaya.”

Amesisitiza kuwa suala la kuhamasisha wananchi lipewe kipaumbele kinachostahili ili watambue umuhimu wa dira hii kwa ustawi na maendeleo ya mwananchi mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla. “Vilevile, hakikisheni zoezi la ukusanyaji maoni linafanyika kwa amani na utulivu katika halmashauri zote zitakazofikiwa ndani ya mkoa.”

Amewataka wafanye ufuatiliaji wa zoezi hilo katika maeneo yao ya kiutawala na kutoa taarifa mara kwa mara sambamba na kuandaa ripoti za kila wiki ili iwe rahisi kufahamu mwenendo wa zoezi hilo.

Kuhusu ushiriki wa viongozi wa dini,  Waziri Mkuu amewasihi wawahamasishe waumini wao kushiriki katika zoezi la kutoa maoni ya Dira mpya. “Mmekuwa wakati wote mkishirikiana na Serikali kutoa hamasa kuhusu masuala muhimu ya Kitaifa. Nitoe rai kwenu mshiriki kikamilifu katika utoaji maoni lakini pia kutoa hamasa kwa waumini wenu.”

Mapema, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mipango na Uwekezaji), Prof. Kitila Mkumbo alisema hadi sasa wananchi 623,614 tayari wametoa maoni kuhusu Dira ya Taifa kupitia kwenye mtandao (portal).

Amesema kuwa kati ya waliotoa maoni hayo, asilimia 70 ni wanaume huku idadi kubwa ya walijitokeza ikiwa ni vijana wenye umri wa kati ya miaka 15-35.

Awali, Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Dkt. Tausi Kida, alieleza hatua mbalimbali kuhusu mchakato wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, tangu ulipoanza 2021 hadi Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alipozindua mchakato wa ukusanyaji wa maoni Desemba 9, 2023 na hatua zilizofanyika hadi kufikia semina hiyo kwa Wakuu wa Mikoa.

About the author

mzalendo