Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

betasus

aresbet, aresbet giriş

Google

bahiscasino

ultrabet

marsbahis

sweet bonanza

【鑑定書】のように公的な効力はありませんが、販売元が営業を続けている限り本物であることを保証してもらえるので無いよりかなり安心です。 なお ...

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casibom

holiganbet

sweet bonanza

jojobet giriş

sweet bonanza siteleri

sweet bonanza siteleri

deneme bonusu

romabet

betgaranti

grandpashabet

casinowon

holiganbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

limanbet

marsbahis

betnano

parmabet

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

aresbet giriş

aresbet

marsbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

meritking giriş

limanbet

bahiscasino giriş

royalbet

mislibet

aresbet

royalbet

parmabet

betgit

Hacklink panel

betpas

jojobet

Google

jojobet

jojobet

bahiscasino giriş

mislibet giriş

royalbet giriş

zirvebet

marsbahis giriş

perabet

betpark

parmabet

primebahis

tümbet

tümbet giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

mavibet giriş

timebet

betpark

casibom giriş

meritbet

meritbet giriş

uyuşturucu satın al

xxxx

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

queenbet

jojobet

perabet giriş

perabet

betnano giriş

betpark giriş

gobahis giriş

betnano

betnano giriş

bahiscasino

gobahis

limanbet giriş

betnano giriş

parmabet giriş

betnano

betkolik giriş

perabet giriş

gobahis giriş

royalbet giriş

aresbet giriş

betasus

betkolik

bahiscasino

gobahis giriş

bahiscasino giriş

bahiscasino

aresbet giriş

marsbahis giriş

parmabet giriş

betpark

perabet giriş

mislibet giriş

perabet

limanbet giriş

limanbet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

perabet, perabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

grandpashabet

betper

kingroyal

https://sjconsultors.com/

ikimisli

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Starzbet

Starzbet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

Betsin Güncel Giriş

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

holiganbet

süperbetin

betsat

jojobet

jojobet

sweet bonanza

mavibet

mavibet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

ibizabet

jojobet giriş

jojobet giriş

meritking

meritking giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

aresbet

mislibet giriş

gobahis

limanbet

mislibet

mavibet

mavibet giriş

mavibet

aresbet giriş

kavbet

kavbet giriş

ikimisli giriş

ikimisli

ikimisli giriş

ultrabet

ultrabet giriş

mavibet

deneme bonusu

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Mariobet

Mariobet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

monobahis

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

tipobet

superbetin

sekabet güncel giriş

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

grandpashabet

jojobet

jojobet

grandpashabet

grandpashabet

jojobet

Hacklink panel

Featured Kitaifa

FCT YASIKILIZA NA KUTOLEA MAAMUZI MASHAURI 429

Written by Alex Sonna

Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Daniel Machunda, akizungumza wakati wa semina ya siku moja kwa wadau mbalimbali iliofanyika mkoani Mwanza.

Kaimu Msajili na Mkuu wa FCT, Kunda Mkenda, akizungumza wakati wa semina ya siku moja kwa wadau mbalimbali iliofanyika mkoani Mwanza.

Baadhi ya washiriki wakimsikiliza Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Daniel Machunda,(hayupo pichani )wakati wa semina ya siku moja kwa wadau mbalimbali iliofanyika mkoani Mwanza

Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Daniel Machunda,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungu  semina ya siku moja kwa wadau mbalimbali iliofanyika mkoani Mwanza

Na.Mwandishi wetu_MWANZA

Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Daniel Machunda amewaomba wadau wote kuendeleza ushirikiano na Baraza la Ushindani ( FCT) katika kuongeza uzoefu, ufanisi katika majukumu mbalimbali.

Hayo ameyasema wakati akifunga semina hiyo Aprili 15 2024 Mkoa wa Mwanza, Machunda, amesema semina hiyo ni muhimu hivyo elimu walioipata itawasaidia kutambua haki na kujua wajibu wao

Amesema ili kusimamisha ushindani wa haki na kumlinda mlaji kwani Sheria zinataka kuwepo na ushindani wa haki na kumlinda mlaji.

“Wadau wamepata fursa ya kutoa ushauri kuboresha mawasiliano na Baraza hili katika masuala mbalimbali na leo ni sehemu ya wao kutatua changamoto mbalimbali za ushindani wa biashara na udhibiti wa soko,”amesema Machunda.

Aidha ametoa shukurani kwa baraza hilo na Wizara ya Viwanda na Biashara kufanya semina mkoani humo na kuwapatia elimu wadau.

Akizungumza Kaimu Msajili na Mkuu wa FCT, Kunda Mkenda wakati wa semina ya siku moja kwa wadau mbalimbali iliofanyika mkoani Mwanza amesema Baraza limesajili jumla ya mashauri 442 kati ya hayo 429 yameishwa sikilizwa na kutolewa maamuzi na baraza hilo katika kipindi cha mwaka 2007 hadi Machi 2024.

Amesema Baraza limefanikiwa kushughulikia mashauri yalioletwa mbele yake kwa asilimia 97.1 huku mashauri 13 yaliobaki yapo kwenye hatua mbalimbali za usikilizwaji.

“Baraza hili limeanzishwa chini ya kifungu cha 83(1), cha Sheria ya Ushindani Na.8 ya mwaka 2003 inayolenga kukuza na kulinda ushindani wa kibiashara na kumlinda mlaji dhidi ya matokeo ya ukiritimba na tabia potofu katika soko,”amesema Mkenda.

Amesema kutokana na changamoto zilizojitokeza za watu wengi kutolijua baraza hilo kwa mara ya kwanza wameamua kufanya semina hiyo kwa wadau mbalimbali mkoani humo ili waweze kujua haki zao, umuhimu wa baraza na kazi zake.

Kwa upande wao baadhi ya washiriki wa semina hiyo akiwemo Zahara Magambo, ameeleza kuwa kupitia semina hiyo ameweza kufahamu sehemu ya kupata haki zake endapo atakuwa ajaridhishwa na maamuzi yaliotolewa aidha na Tume ya Ushindani(FCC), EWURA, TCRA, TCAA, LATRA na PURA.

“Sijawai kupata changamoto lakini semina hii imenifumbua macho ikitokea nikipata changamoto najua naanzia wapi,” ameeleza Zahara.

Naye Mwenyekiti wa Umoja wa wajasiriamali wabunifu Tanzania,Fabiani Semba ameeleza kuwa kupitia semina hiyo ameweza kufahamu wapi pa kwenda kwani katika sekta ya mawasiliano kumekuwa na mambo mengi yakitokea huku wakiwa hawajui wapi pa kwenda kutoa malalamiko.

“Niko tayari kutumia Baraza kama sehemu ya kupata msaada na suluhisho kwani itasaidia kukua kiuchumi hivyo elimu iendelee kutolewa kwa wananchi ili kulifahamu Baraza hilo na kazi zake na kutofautisha na Tume ya Ushindani ili waweze kupata haki zao,”amesema.

Naye Mwenyekiti wa Chemba ya Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo(TCCIA),Mkoa wa Mwanza Gabriel Kenene, ameeleza kuwa amejifunza namna ambavyo rufaa zinavyopatikana na kutolewa.

“Nimejifunza kwamba mamlaka hizi za udhibiti ikiwemo EWURA pale inapotokea mtu hajaelewa au utata umetolewa aende wapi,kumbe kuna chombo ambacho unaweza kukata rufaa na kinaondoa utata huo,kinachofurahisha rufaa zinachukua muda mfupi kwani wafanyabiashara hawapendi usumbufu wa kitu kinachochukua muda mrefu hivyo anaona ni bora haki yake ipotee kwa sababu ya muda.

“Nitoe wito kwa wafanyabiashara wanapoona hawajatendewa haki na mamlaka hizi kama LATRA ni vizuri wakafuate haki yao kupitia Baraza hilo kwani gharama zao ni ndogo, nitakuwa balozi kwa kuhakikisha elimu hii nitaipelekwa kwa wadau ambao wanaweza kukutana na kadhia,” amefafanua.

About the author

Alex Sonna