marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

mersin escort

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

pusulabet

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

pashagaming

şğp

grandpashabet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

sonbahis

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

imajbet

klasbahis

savoybetting giriş

goldenbahis

savoybetting

klasbahis giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

pusulabet, pusulabet giriş

matbet, matbet giriş

betcio, betcio giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

deneme bonusu

deneme bonusu

holiganbet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

casibom giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

sahabet

Madridbet

grandpashabet giriş

jojobet

casibom

marsbahis

jojobet giriş

jojobet

alobet

alobet giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

trendbet giriş

bets10

jojobet

perabet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

türkçe altyazılı porno izle

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

grandpashabet

vdcasino

trendbet

imajbet giriş

milanobet

imajbet

perabet giriş

perabet

ngsbahis

kralbet giriş

milanobet giriş

สล็อตเว็บตรง

bets10

casibom giriş

jojobet

deneme bonusu

kingroyal

trust score weak 3

jojobet

slot siteler

casino siteleri

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betsat

betsat giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu veren siteler

sekabet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

marsbahis, marsbahis giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

superbetin

madridbet

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

tipobet giriş

romabet

piabellacasino

güvenli casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

superbetin

jojobet

jojobet giriş

ilbet

deneme bonusu

deneme bonusu

holiganbet

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino

Featured Kitaifa

DKT. NCHEMBA ATETA NA UONGOZI WA IMF KUHUSU UTEKELEZAJI WA BAJETI

Written by mzalendo

Ujumbe wa Tanzania (kulia) ukiongozwa na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (wanne kulia), ukiwa katika kikao na Mkurugenzi Mtendaji wa Kundi la Kwanza la Nchi za Afrika la Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) (The Executive Director of the IMF– Africa Group 1 Constituency (AfG1), Bw. Willie Nakunyada, wakati wa mikutano ya Majira ya Kipupwe (Spring Meetings) ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) yenye kauli mbiu ya “Vision to Impact” inayoendelea jijini Washington D.C, nchini Marekani. Katika kikao hicho tathmini ya mwenendo wa uchumi wa Tanzania ilijadiliwa pamoja na utekelezaji wa program ya IMF chini ya mpango wa “Extended Credit Facility-(ECF)” inayofanikisha utekelezaji wa Sera za kiuchumi na upatikanaji wa mikopo nafuu kwa nchi kutoka kwa wahisani wa maendeleo.  Wengine katika picha ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (wa tatu kulia), Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar, Dkt. Juma Malik Akil (wa tano kulia), Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba (wapili kulia) na Kamishna wa Idara ya Fedha za Nje Wizara ya Fedha, Bw. Rished Bade (wa sita kulia).

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza jambo wakati akiongoza ujumbe wa Tanzania katika kikao na Mkurugenzi Mtendaji wa Kundi la Kwanza la Nchi za Afrika la Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) (The Executive Director of the IMF– Africa Group 1 Constituency (AfG1), Bw. Willie Nakunyada, wakati wa mikutano ya Majira ya Kipupwe (Spring Meetings) ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) yenye kauli mbiu ya “Vision to Impact” inayoendelea jijini Washington D.C, nchini Marekani. Katika kikao hicho tathmini ya mwenendo wa uchumi wa Tanzania ilijadiliwa pamoja na utekelezaji wa program ya IMF chini ya mpango wa “Extended Credit Facility-(ECF)” inayofanikisha utekelezaji wa Sera za kiuchumi na upatikanaji wa mikopo nafuu kwa nchi kutoka kwa wahisani wa maendeleo. 

Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (Katikati), akisikiza jambo wakati wa kikao na Mkurugenzi Mtendaji wa Kundi la Kwanza la Nchi za Afrika la Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) (The Executive Director of the IMF– Africa Group 1 Constituency (AfG1), Bw. Willie Nakunyada, wakati wa mikutano ya Majira ya Kipupwe (Spring Meetings) ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) yenye kauli mbiu ya “Vision to Impact” inayoendelea jijini Washington D.C, nchini Marekani. Katika kikao hicho tathmini ya mwenendo wa uchumi wa Tanzania ilijadiliwa pamoja na utekelezaji wa program ya IMF chini ya mpango wa “Extended Credit Facility-(ECF)” inayofanikisha utekelezaji wa Sera za kiuchumi na upatikanaji wa mikopo nafuu kwa nchi kutoka kwa wahisani wa maendeleo.  Wengine katika picha ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (kulia) na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar, Dkt. Juma Malik Akil (kushoto)., Washington D.C.

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (Kulia), akiagana na  Mkurugenzi Mtendaji wa Kundi la Kwanza la Nchi za Afrika la Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) (The Executive Director of the IMF– Africa Group 1 Constituency (AfG1), Bw. Willie Nakunyada, baada ya kikao chao wakati wa mikutano ya Majira ya Kipupwe (Spring Meetings) ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) yenye kauli mbiu ya “Vision to Impact” inayoendelea jijini Washington D.C, nchini Marekani. Katika kikao hicho tathmini ya mwenendo wa uchumi wa Tanzania ilijadiliwa pamoja na utekelezaji wa program ya IMF chini ya mpango wa “Extended Credit Facility-(ECF)” inayofanikisha utekelezaji wa Sera za kiuchumi na upatikanaji wa mikopo nafuu kwa nchi kutoka kwa washirika wa maendeleo. 

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (Katikati), Mkurugenzi Mtendaji wa Kundi la Kwanza la Nchi za Afrika la Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) (The Executive Director of the IMF– Africa Group 1 Constituency (AfG1), Bw. Willie Nakunyada (wapili kushoto), Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (wa pili kulia),Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar, Dkt. Juma Malik Akil (wa kwanza kushoto), na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba (wa kwanza kulia) wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kikao chao wakati wa mikutano ya Majira ya Kipupwe (Spring Meetings) ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) yenye kauli mbiu ya “Vision to Impact” inayoendelea jijini Washington D.C, nchini Marekani. Katika kikao hicho tathmini ya mwenendo wa uchumi wa Tanzania ilijadiliwa pamoja na utekelezaji wa program ya IMF chini ya mpango wa “Extended Credit Facility-(ECF)” inayofanikisha utekelezaji wa Sera za kiuchumi na upatikanaji wa mikopo nafuu kwa nchi kutoka kwa washirika wa maendeleo. 
 
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Washington)

Na Benny Mwaipaja, Washington D.C

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), ameliambia Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwamba utekelezaji wa  Bajeti Kuu ya Serikali unaathiriwa na hali mbaya ya hewa inayosababishwa na mabadiliko ya tabianchi ambapo kiasi kikubwa cha fedha ambacho kingeelekezwa kwenye utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya wananchi kinaelekezwa kukabiliana na athari za mafuriko yaliyotokea katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania kufuatia mvua za el nino zinazoendelea kunyesha.

Dkt. Nchemba ameyasema hayo alipoongoza ujumbe wa Tanzania katika kikao na Mkurugenzi Mtendaji wa Kundi la Kwanza la Nchi za Afrika wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Bw. Willie Nakunyada, kando ya mikutano ya Majira ya Kipupwe (Spring Meetings) ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) inayoendelea jijini Washington D.C, nchini Marekani. 

Alisema kuwa wakati wa utekelezaji wa Bajeti inayoendelea ya mwaka 2023/2024 mabadiliko ya tabianchi yameathiri mtiririko wa utoaji wa fedha kwenda kwenye miradi ambayo ingesaidia kwa kiasi kikubwa kuchachua shughuli za kiuchumi badala yake zinatumika krekebisha miundombinu iliyoharibuwa na mafuriko ikiwemo madaraja, barabara, na miundombinu mingine ya huduma za jamii.

Alitoa wito kwa washirika wa Maendeleo likiwemo Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kusaidia   namna ya kusaidia bajeti ya Serikali ili kukabiliana na majanga hayo pamoja na kufanikisha mipango ya Serikali ya kuimarIsha uchumi wake na kuhudumia wananchi.

Aidha, Dkt. Nchemba alisema kuwa uchumi wa Tanzania unaendelea kuimarika ambapo alisema mwa hu 2024 unatarajiwa kukua kwa wastani wa asilimia 5.4 pamoja na kudhibiti mfumuko wa bei ukua kw wastani wa asilimia 3.0 licha ya changamoto mbalimbali zilizojitokeza duniani ikiwemo athari za mabadiliko ya tabianchi, UVIKO-19, mizozo ya kisiasa na vita vinavyoendelea sehemu mbalimbali duniani.

Katika kikao hicho, Mkurugenzi Mtendaji wa AfG1, Bw. Willie Ndakunyada ametoa pole kwa Serikali kufuatia madhara ya mvua yanayotokea kutokana na athari za mabadiliko hayo ya tabianchi. 

Aidha, ameishauri Serikali kufanya tathmini ya kina ya athari iliyosababishwa na mafuriko na kuishirikisha IMF chini ya mpango wa ECF ili ione namna ya kusaidia utekelezaji wa bajeti ya serikali katika kutatua changamoto hizo. 

Katika kikao hicho tathmini ya mwenendo wa uchumi wa Tanzania ilijadiliwa pamoja  na utekelezaji wa program ya IMF chini ya mpango wa “Extended Credit Facility-(ECF)” inayofanikisha utekelezaji wa Sera za kiuchumi na upatikanaji wa mikopo  nafuu kwa nchi kutoka kwa wahisani wa maendeleo. 

Mkutano huo umehudhuriwa pia na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Natu El-maamry Mwamba, Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar, Dkt. Juma Malik Akil, Kamishna Msaidizi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania- TRA, Bw. Mcha Hassan Mcha, Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba, Mshauri wa Mkurugenzi Mtendaji wa IMF AfG1 Bw. Dickson Lema, na Viongozi waandamizi wa Wizara ya Fedha na Benki Kuu ya Tanzania.

About the author

mzalendo