Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

avrupabet

vipslot

betcool

betlivo

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

kareasbet

hazbet

betra

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

betra

gobahis

casival

casival

betcool

avrupabet

celtabet

jojobet

Hacklink panel

norabahis

kingroyal

Google

holiganbet

marsbahis

luxbet

hepbet

millibahis giriş

gobahis

vipslot

betface

elitbahis giriş

betcool

primebahis

betturkey

betturkey giriş

otobet

otobet giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

robinbet giriş

betpark giriş

holiganbet

betpark

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

betewin

jojobet

vipslot

betnis

betmarino giriş

aresbet

aresbet

avrupabet giriş

betface

luxbet

betmarino

casival giriş

betlivo giriş

realbahis

gallerbahis

gallerbahis

aresbet giriş

parmabet

betnis

elitbahis

marsbahis

betra giriş

celtabet giriş

parmabet giriş

vipslot giriş

hazbet giriş

elitbahis

luxbet giriş

hepbet

lordcasino

parmabet

lordcasino

kareasbet

betcool giriş

realbahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

cratosroyalbet

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

parmabet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

madridbet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

jojobet

grandpashabet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

marsbahis

sweet bonanza

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

betlivo

millibahis

millibahis

celtabet

millibahis

parmabet giriş

mavibet giriş

jojobet

coinbar

mislibet giriş

mavibet

parmabet giriş

parmabet

jojobet güncel giriş

mavibet

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

betsat

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

betcio

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis

marsbahis

betturkey giriş

Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS AONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 102 TANGU KUZALIWA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE

Written by mzalendo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa Maadhimisho ya Kitaifa ya Miaka 102 tangu kuzaliwa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jiji la Dodoma. Tarehe 13 Aprili 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikabidhiwa tuzo na Mwenyekiti wa Taasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mzee Paul Kimiti kwaajili ya kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuliongoza Taifa kwa mafanikio makubwa mwaka 2021-2024. Tuzo hiyo imetolewa katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Miaka 102 tangu kuzaliwa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jiji la Dodoma. Tarehe 13 Aprili 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akionesha tuzo iliyotolewa kwaajili ya kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuliongoza Taifa kwa mafanikio makubwa mwaka 2021-2024. Tuzo hiyo imetolewa katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Miaka 102 tangu kuzaliwa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jiji la Dodoma. Tarehe 13 Aprili 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na wawakilishi wa Mataifa ya Zimbabwe, Namibia, Msumbiji na Uganda walioshiriki Maadhimisho ya Kitaifa ya Miaka 102 tangu kuzaliwa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jiji la Dodoma. Tarehe 13 Aprili 2024.

Na Mwandishi Wetu, Dodoma.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewataka Vijana kumuenzi Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa kushiriki katika shughuli mbalimbali za maendeleo ikiwemo uongozi, uhifadhi na matumizi endelevu ya rasilimali za Taifa pamoja na utunzaji wa mazingira.

Makamu wa Rais ametoa wito huo wakati wa Maadhimisho ya Kitaifa ya Miaka 102 tangu kuzaliwa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jiji la Dodoma. Amesema Maendeleo ya Taifa lolote duniani yanategemea vijana na ushiriki wao katika shughuli mbalimbali za maendeleo ikiwemo uongozi kama ambavyo Baba wa Taifa alivyofanya.

Amewahimiza Vijana kuendelea kuweka mkazo katika kupata elimu kama Mwalimu Nyerere alivyosisitiza elimu kama njia ya kupambana na umasikini. Amewataka vijana wote wa kitanzania kufanya jitihada za kuelewa misingi na faida za Muungano na kuwa mstari wa mbele katika kuulinda na kuuenzi muungano huo adhimu. Makamu wa Rais amesema ni muhimu kwa vijana wa kitanzania kuelewa kuwa Tanzania ilishiriki ukombozi wa nchi za Kusini mwa Afrika kwa kutambua kuwa uhuru na usalama wa Tanzania unategemea pia uhuru wa nchi nyingine za Afrika.

Makamu wa Rais amesema katika kumuenzi Baba wa Taifa aliyehimiza matumizi ya kiswahili katika kuwaunganisha watanzania wakati wa kupigania uhuru na baada ya kujitawala pamoja na kudumisha utamaduni wa mtanzania, hapana budi vijana wa kitanzania kutambua nafasi ya pekee kujivunia lugha ya kiswahili na utamaduni wa mtanzania. Amewataka kutumia fursa zilizopo katika lugha hiyo ikiwemo ukalimani, uandishi wa vitabu vya kiada na ziada na vitabu vingine, ufundishaji wa kiswahili katika nchi mbalimbali, tafsiri ya vitabu vya lugha nyingine kwa kiswahili na matumizi ya kiswahili katika sanaa na muziki.

Makamu wa Rais amehimiza Mamlaka za Hifadhi za Taifa na watanzania kwa ujumla kuongeza jitihada za kulinda hifadhi na kutunza mazingira kwa manufaa ya kizazi cha sasa na vizazi vijavyo ili kumuenzi Baba wa Taifa ambaye aliweka mkazo katika kuhifadhi rasilimali za Taifa. Amewasihi watanzania kuwa wazalendo, kudumisha amani na kuepuka ubaguzi kwa misingi ya rangi, dini, itikadi za kisiasa au kabila kama ambavyo Mwalimu Nyerere alisisitiza wakati wote wa uhai wake.
Halikadhalika Makamu wa Rais ameielekeza Wizara ya Maliasili na Utalii na Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo kuendelea kulinda, kutunza na kuhifadhi Malikale ikiwa ni pamoja na zilizokuwa nyumba na kambi za wapigania uhuru wa nchi za Kusini mwa Afrika hapa nchini. Aidha ametoa rai kwa Taasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kuangalia uwezekano wa kufanya kazi na wadau wengine kuangalia namna bora ya kuhifadhi kumbukumbu za Baba wa Taifa kama inavyofanyika kwa waasisi wa mataifa mengine.

Kwa upande wake Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Dastun Kitandula amesema kwa kutambua umuhimu wa kuhifadhi na kutangaza urithi wa Baba wa Taifa Mwal. Nyerere kutoka kizazi kimoja hadi kingine Wizara ya Maliasili na Utalii imeandaa mpango wa kitaifa wa miaka 10 wa kuenzi na kutangaza urithi huo kwa mwaka 2021/2022 – 2031/2032.

Aidha amesema mpango huo unalenga kukusanya na kuhifadhi na kutangaza urithi wa Mwalimu Nyerere, kujenga na kuboresha miundombinu stahiki katika maeneo yenye historia ya Mwalimu Nyerere, kuratibu na kushirikisha wadau katika kumuenzi Mwalimu Nyerere pamoja na kuendeleza tunu za Taifa zilizoasisi na Mwalimu Nyerere.

Naibu Waziri amesema tayari Wizara imepata kiwanja eneo la Chisinjili Jijini Dodoma kwaajili ya ujenzi wa Makumbusho ya Marais ambayo itakuwa na sehemu maalum ya historia na mchango wa Mwalimu Nyerere kitaifa na kimataifa.

Awali Mwenyekiti wa Taasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mzee Paul Kimiti ametoa rai ya wananchi kuendelea kumuenzi Mwalimu Nyerere na kuhakikisha fikra zake zinaishi kwa vizazi vyote. Amewasihi Watanzania kuwa na ushirikiano katika kutekeleza masuala mbalimbali ya maendeleo pamoja na kutatua changamoto.

Maadhimisho hayo yameenda sambamba na kumpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa miaka mitatu ya uongozi wake pamoja na Miaka 60 ya Muungano.

Imetolewa na
Ofisi ya Makamu wa Rais
13 Aprili 2024
Dodoma.

About the author

mzalendo