slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

jojobet giriş

NervEase

sapanca escort

google algoritma hack

escort sapanca

jojobet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

marsbahis

pusulabet giriş

jojobet giriş

grandpashabet

film izle

1xbet giriş

1xbet

gameofbet

madridbet

marsbahis

artemisbet giriş

artemisbet giriş

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

noktabet, noktabet giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

timebet

trimology review

jojobet

jojobet

deneme bonusu

meritking giriş

holiganbet

jojobet

casinolevant

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

celtabet

dinamobet giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

Pusulabet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet giriş

artemisbet

kavbet

matbet

savoybetting

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

cratosroyalbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

mavibet

imajbet

artemisbet

klasbahis

artemisbet giriş

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

timebet giriş

casibom giriş

meritking

jojobet

trust score weak 3

jojobet giriş

slot siteler

tipobet giriş

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

meritbet giriş

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

casibom

deneme bonusu veren siteler

primebahis

betingo, betingo giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

meritking

timebet

Piabet

tipobet

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

padişahbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

vdcasino

sekabet

grandpashabet

matbet

grandpashabet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

queenbet

Featured Kitaifa

SWEDEN KUSAIDIA UJENZI WA SGR

Written by mzalendo
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akimkabidhi zawadi Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo ya Kimataifa na Biashara ya Nje wa Sweden Mhe. Diana Janse, baada ya kumaliza kikao kilichojadili kuhusu ushirikiano kati ya nchi hizo mbili na utekelezaji wa miradi ikiwemo elimu, usawa wa kijinsia, mazingira na masuala ya miundombinu hususan reli ya SGR kilichofanyika jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiongoza ujumbe wa Tanzania katika kikao na Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo ya Kimataifa na Biashara ya Nje wa Sweden Mhe. Diana Janse (hawapo pichani) kilichofanyika jijini Dodoma. Kikao hicho kimehudhuriwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha , Bi. Jenifa Christian Omolo, Balozi wa Sweden nchini Tanzania Mhe. Charlotta Ozaki Macias na baadhi ya Makamishna wa Wizara ya Fedha na baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Ubalozi wa Sweden nchini Tanzania, kilichofanyika jijini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Jenifa Christian Omolo, akiteta jambo na Kamishna Msaidizi Idara ya Usimamizi wa Madeni Bw. Omary Khama (kushoto) na Kamishna Msaidizi Idara ya Fedha za Nje Bw. Robert Mtengule (katikati) wakati wa kikao kilichowahusisha Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), na Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo ya Kimataifa na Biashara ya Nje wa Sweden Mhe. Diana Janse (hawapo pichani) kilichofanyika jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), (watano kulia) na Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo ya Kimataifa na Biashara ya Nje wa Sweden Mhe. Diana Janse (wanne kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika kwa kikao kilichojadili ushirikiano na utekelezaji wa miradi ikiwemo miundombinu ya reli SGR kilichofanyika jijini Dodoma. Kikao hicho kimehudhuriwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Jenifa Christian Omolo (wanne kulia),  Balozi wa Sweden nchini Tanzania Mhe. Charlotta Ozaki Macias (wa pili kushoto) na baadhi ya Makamishna wa Wizara ya Fedha na watumishi wa Ofisi ya Ubalozi wa Sweden nchini Tanzania kilichofanyika jijini Dodoma.

Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiagana na Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo ya Kimataifa na Biashara ya Nje wa Sweden Mhe. Diana Janse, baada ya kumalizika kwa kikao kilichojadili kuhusu ushirikiano kati ya nchi hizo mbili na utekelezaji wa miradi ikiwemo elimu, usawa wa kijinsia, mazingira na masuala ya miundombinu hususan reli ya SGR kilichofanyika jijini Dodoma.
.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano  Serikalini, WF, Dodoma)
Na Benny Mwaipaja, Dodoma
 
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo ya Kimataifa na Biashara ya Nje wa Sweden, Mhe. Diana Janse, jijini Dodoma, ambapo Naibu Waziri huyo, amemweleza Mhe. Dkt. Nchemba kuwa, nchi yake inaandaa Mkakati Mpya wa Ushirikiano kati ya nchi hizo mbili unaolenga kuongeza ushirikiano katika Nyanja za kiuchumi na kibiashara.
 
Katika mazungumzo yao, Mhe. Dkt. Nchemba aliishukuru Sweden kwa kusaidia maendeleo ya nchi kupitia miradi mbalimbali ya maendeleo iliyotekelezwa na inayoendelea kutekelezwa katika sekta za nishati, elimu, maendeleo ya Jamii kupitia Mfuko wa TASAF pamoja na mradi wa ujenzi wa reli ya Kisasa SGR, kipande cha Morogoro hadi Makutupora mkoani Singida ambacho ujenzi wake umekamilika kwa zaidi ya asilimia 96.
 
Aidha, Dkt. Nchemba ameishukuru Sweden kwa kuonesha nia ya kutoa zaidi ya dola za Marekani milioni 580 kwa ajili ya ujenzi wa kipande cha tatu na cha nne cha reli ya kisasa SGR, fedha ambazo nchi hiyo itazitoa hivi karibuni baada ya kukamilika kwa tathimini ya mazingira ya mradi huo.
 
Kuhusu Mkakati Mpya wa Ushirikiano kati ya nchi hizo mbili, Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Nchemba aliahidi kuwa Tanzania itashiriki kikamilifu katika kufanikisha mkakati huo na kuwakaribisha wawekezaji kutoka Sweden kuja kuwekeza mitaji na teknolojia hapa nchini ili kuchochea akuaji wa uchumi, ajira na maendeleo ya nchi kwa ujumla.
 
Naibu Waziri huyo wa Ushirikiano wa Maendeleo ya Kimataifa, Mhe. Diana Jense, alisema kuwa nchi yake inatambua kuwa mradi wa Reli ya Kisasa ni moja ya miradi ya kipaumbele kwa Tanzania na kwamba nchi yake iko tayari kushiriki katika ujenzi wa mradi huo.
 
Alisema pia kuwa mwelekeo mpya wa ushirikiano wa kimataifa kati ya Tanzania na Sweden utajielekeza zaidi katika masuala ya kiuchumi na kibiashara ambapo utalenga zaidi kuvutia uwekezaji kupitia sekta binafsi.
 
Aidha, katika mkutano huo uliohudhuriwa pia na Balozi wa Sweden Nchini Tanzania, Mhe. Charlotta Ozaki Macias na naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Jenifa Chriastian Omolo, Viongozi hao walijadili kuhusu uwekezaji katika mradi wa mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Salaam ambapo nchi hiyo inataka kuwekeza kupitia kampuni ya Scania, hatua inayolenga kupunguza changamoto ya usafiri katika jiji hilo la kibiashara.

About the author

mzalendo