marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

marsbahis giriş

NervEase

kocaeli escort

izmit escort

escort bayan

matbet

sekabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

bahiscasino

betoffice

marsbahis

perabet giriş

imajbet

grandbahis

betpipo giriş

imajbet

betpipo

grandbahis giriş

marsbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

betgar, betgar giriş

betparibu, betparibu giriş

zirvebet, zirvebet giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

meritking giriş

meritking

jojobet

holiganbet

meritking güncel giriş

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betine

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

betosfer

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

aaa

Starzbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

kıbrıs escort

casibom giriş

jojobet güncel giriş

ilbet

ilbet giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

bets10 giriş

Milanobet

jojobet

grandpashabet

deneme bonusu

İkimisli

onwin

bets10

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10 giriş

pokerklas

lordcasino

lordcasino giriş

imajbet

betmarino giriş

perabet

betmarino

belugabahis

belugabahis giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

ankara escort

grandpashabet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

pokerklas

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

cratosroyalbet

vdcasino

bets10

perabet

perabet

perabet giriş

imajbet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

elitbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10 giriş

casibom

holiganbet giriş

jojobet

jojobet

trust score weak 3

jojobet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

imajbet

imajbet giriş

jojobet

casibom

casibom

jojobet güncel giriş

casibom

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

vipslot

deneme bonusu 2026

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

xslot

xslot giriş

xslot

xslot giriş

deneme bonusu

1xbet

casibom giriş

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

Kimataifa

WAZIRI MKUU WA HAITI AJIUZULU

Written by mzalendo

Kiongozi wa jumuiya ya kikanda na rais wa Guyana amesema Waziri Mkuu wa Haiti Ariel Henry amejiuzulu kama kiongozi wa taifa la Caribbean siku ya jana Jumatatu Machi 11,2024.

Henry, daktari wa upasuaji wa neva mwenye umri wa miaka 74 amekuwa akishikilia nafasi hiyo ambayo siyo ya kuchaguliwa, tangu mauaji ya mwaka 2021 ya rais wa mwisho wa nchi hiyo, Jovenel Moise.

“Tunatambua kujiuzulu kwake baada ya kuanzishwa kwa baraza la rais la mpito na kumtaja waziri mkuu wa muda,” alisema mwenyekiti wa Jumuiya ya Caribbean (CARICOM) Irfaan Ali, akimshukuru Henry kwa utumishi wake kwa Haiti.

Henry alisafiri hadi Kenya mwishoni mwa mwezi uliopita kujadili uongozi wa nchi hiyo ya Afrika Mashariki kwa ujumbe wa kimataifa wa usalama unaoungwa mkono na Umoja wa Mataifa kusaidia polisi wa Haiti kupambana na magenge yenye silaha, lakini ongezeko kubwa la ghasia katika mji mkuu, Port-au-Prince, wakati wa kutokuwepo kwake lilimfanya kukwama kayika jimbo laPuerto Rico.

Ali alisema baraza la rais litakuwa na waangalizi wawili na wajumbe saba wa kupiga kura, wakiwemo wawakilishi kutoka miungano kadhaa, sekta binafsi, mashirika ya kiraia na kiongozi mmoja wa kidini.

Baraza hilo limepewa mamlaka ya “haraka” kumteua waziri mkuu wa muda, aliongeza, na yeyote ambaye ana nia ya kugombea katika uchaguzi ujao wa Haiti hataweza kushiriki.

Kujiuzulu kwa Henry kunajiri wakati viongozi wa eneo hilo walikutana mapema Jumatatu katika nchi jirani la Jamaica kujadili mfumo wa mpito wa kisiasa, ambao Marekani ilitka wiki iliyopita “uharakishwe” huku magenge yenye silaha yakitaka kupindua serikali yake.

Viongozi wa kanda, wakizungumza na wawakilishi kutoka sekta mbalimbali za jamii ya Haiti, wameangazia kuanzisha baraza la mpito linalonuiwa kufungua njia kuelekea uchaguzi wa kwanza tangu 2016.

Henry, ambaye raia wengi wa Haiti wanamchukulia kuwa fisadi, alikuwa ameahirisha uchaguzi mara kwa mara, akisema lazima usalama urejeshwe kwanza.

Muhula wa mwisho wa maseneta wa Haiti uliisha mwanzoni mwa 2023.

“Sote tunajua kwamba hatua za haraka zinahitajika katika safu za kisiasa na kiusalama,” Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken alisema mapema Jumatatu, akitoa wito wa kuundwa kwa “baraza la urais chenye makao yake makuu, jumuishi na huru.”

Blinken alikuwa amesema baraza hilo litakuwa na jukumu la kukidhi “mahitaji ya haraka” ya watu wa Haiti, kuwezesha ujumbe wa usalama kutumwa na kuhakikisha hali ya usalama, ambao ni muhimu kwa uchaguzi huru.

Haiti ilitangaza hali ya hatari mwezi huu huku mapigano yakiharibu mawasiliano na kupelekea wafungwa kutoroka mara mbili kutoka gerezani baada ya Jimmy “Barbeque” Cherizier, kiongozi wa muungano wa makundi yenye silaha, kusema kwamba wangeungana na kumpindua Henry.

Blinken Jumatatu aliahidi msaada mwingine wa dola milioni 133 kwa Haiti, akisema mzozo uliokithiri nchini humo unaonyesha dharura ya kupeleka kikosi cha kimataifa.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken.

Akihutubia mkutano wa dharura wa nchi za eneo la Caribbean huko Jamaica, Blinken alisema Marekani itatoa msaada mwingine wa dola milioni 100 kwa kikosi cha kimataifa na msaada mwingine wa kibinadamu wa mara moja wa dola milioni 33, na hivo ahadi za jumla za Marekani kwa Haiti zikiwa sawa na dola milioni 333.

Haiti imekumbwa kwa miongo kadhaa na umaskini uliokithiri, majanga na mzozo wa kisiasa lakini mambo yamekuwa mabaya zaidi tangu kuuawa kwa rais Jovenel Moise mwaka wa 2021.

Magenge ya wahalifu wenye silaha yanayodhibiti sehemu kubwa ya nchi na sehemu kubwa ya mji mkuu yalizidisha mashambulizi tangu wiki iliyopita.

Chanzo #Voaswahili.

About the author

mzalendo