Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AHANI MSIBA WA MZEE MASAUNI YUSUFU MASAUNI ZANZIBAR

Written by mzalendo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki dua na familia ya Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Hamad Masauni alipokwenda kuhani kufuatia kifo cha Baba yake Mzee Masauni Yussuf Masauni aliyefariki dunia tarehe 23 Februari, 2024. Rais Samia amekutana na familia hiyo nyumbani kwao Migombani, Zanzibar tarehe 03 Machi, 2024.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na familia ya Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Hamad Masauni alipokwenda kuhani kufuatia kifo cha Baba yake Mzee Masauni Yussuf Masauni aliyefariki dunia tarehe 23 Februari, 2024. Rais Samia amekutana na familia hiyo nyumbani kwao Migombani, Zanzibar tarehe 03 Machi, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Hamad Masauni alipokuwa akitoa shukrani kwa Mhe. Rais kwa kuwatembelea na kuwafariji kufuatia kifo cha Baba yake Mzee Masauni Yussuf Masauni aliyefariki dunia tarehe 23 Februari, 2024. Rais Samia amekutana na familia hiyo nyumbani kwao Migombani, Zanzibar tarehe 03 Machi, 2024.
 Baadhi ya Ndugu na Jamaa wa Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Hamad Masauni waliojumuika wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokwenda kuhani kufuatia kifo cha Baba yake Mzee Masauni Yussuf Masauni aliyefariki dunia tarehe 23 Februari, 2024. Rais Samia amekutana na familia hiyo nyumbani kwao Migombani, Zanzibar tarehe 03 Machi, 2024.

About the author

mzalendo